Hebu fikiria tu kuwa umepokea PM yangu muda huu na nimekutongoza kwa aina yoyote ile
Inaweza kuwa tunafahamiana nje ya hapa au hatujawahi kuonana kabisa na nimejaribu kurusha ndoano [mtongozo]
Hebu niambie ni swali gani la kwanza utaniuliza?
Unaweza kuniambia na swali la pili na la tatu pia
Hebu niambie tafadhali nataka nijifunze jambo hapa leo hii