To ''love'' and ''feel loved''...!

Plse my dear
For deep clarification, PM AD
I cant say more while da responsible madam is around


You have to do better than that... wewe ndo uliniambia sio AD... Si hata atanishangaa nim PM na we are together hapa... at the same time she is not the one who told me but you... STOP running from moto ulowasha..... Please zima mwenyewe...
 
CPU Kuna sehemu umeniacha kwenye mataa... Hivi unampango wa kunivusha au ndo nitalala hapo hapo.....

Wewe tena nisikuvushe??
Hebu panda basi mgongoni nikuonyeshe . . .
 
You have to do better than that... wewe ndo uliniambia sio AD... Si hata atanishangaa nim PM na we are together hapa... at the same time she is not the one who told me but you... STOP running from moto ulowasha..... Please zima mwenyewe...

Hata ninapoandika ripoti zangu, kama kuna participant hajaelewa huwa natumia references kuelewesha.
Yaani kama uthibitisho wa nilichokiandika ktk ripoti yangu haujaanzia kwangu, basi huwa natoa njia elekezi mbadala ambayo naona itamsaidia muuliza swali aelewe.
Tunakwenda proffesionally bana au sio.

Nimekupa njia elekezi ambayo itakusaidia kupata uelewa zaidi. Pengine labda una utata mwingine na hiyo njia niliyokuelekeza
 


my dear sipi youu

nimefurahi sana kupokea barua yako yenye maneno matamu na ya ku huzunisha sana
ningefahamu mapema ya kwamba ulikuwa unanipenda labda sasa hivi
tungekuwa na maisha tofauti, iliniuma sna kwa mimi kufanya nililofanya kukuonyeshea
upendo wangu, lakini reaction na majibu yako yakuwa yanani katisha tamaa
kila toungeapo unanieleza kuhusu merry , hata siku moja hujawahi niambia ni jinsi gani
ungependa ku spent some time with me , sababu wewe uko busy na merry..
hii ndo sababu iliyonifanya niupende mto wangu kuliko kitu chochote sababu kila nitoapo
chozi ajili ya uchungu wa kukosa upendo wako huwa naenda kuukumbatia
na unanipa faja tena, nikiwa na hasira nau punch na hasira zangu zinaondoka zote....
sasa naona umerudi kwa gia zote baada ya kuuteesa moyo wangu na akili
swali
kuna second chance kwenye upendo??
 
Reactions: CPU

Duuuuuh
What a sweet barua to me jamani . . . .
Ngoja niongee na HISIA zangu kupitia MOYO wangu uweze fikiria na kufanyia kazi ulichouliza
Maana sitaki KICHWA, TUMBO wala MWILI wangu vifanye maamuzi
Nataka maamuzi yatoke MOYONI kupitia ktk HISIA husika
 



Duh!!! Full utata...
 
<br />

Duuuh,ur point has left me speechless,Hekima kama Suleiman!!

Ngoja nijazilizie kimtaa; Wanaopenda kiduchu ndiyo huwa wanasubiria "Feedback" ya mapenzi waliyotoa,Those who love abundantly wao wanajua jambo moja tu,KUPENDA,period,hawana time na fdbck!
 

Lizzy darling.................................
Naamini mimi na wewe tumemwelewa mfalme wa amani kwa upeo mmoja. Teamo anazungumzia upendo in general, lakini wengine wamekonsetreit na upendo wa mapenzi ya kulalana kitandani.

Kizazi hiki, ngono ni somo kuu, halikwepeki!
 
Haya sasa baada ya kutoa mwongozo wote ule.... Nini kifanyike???

Kwa mimi
Anaejua maana ya mapenzi hapaswi kuhesabu feedback alizopewa kutokana na kupenda kwake.
Na anaejua maana halisi ya mapenzi anajua wajibu wake (Mapenzini unawajibika)

Mimi nakupenda wewe Asha D
Basi nitapaswa nikuonyeshe ninavyokupenda
Ngoja niwaze sasa nimfanyie nini huyu Asha D kwa leo
" . . . Asha D anapenda sana utunzi wa mashairi, ngoja leo nitatunga shairi halafu nitamvizia ametulia tuliii naanza kumuimbia"
"Ngoja leo nimpelekee hizi nguo nyekundu, sijui atazipenda???"

"Aaaaaaaah, nishakumbukaaaaa
Anapendaga blauzi za pinki, pale "NEW ARRIVALS WEAR" zipo, wanauza elfu 80. Ngoja niende benki nikaongeze salio"

"Mmmmmmh . . . lakin ngoja kwanza! Nakumbuka dada ake aliwahi kuniambia kwamba alivyokuwa mdogo alikuwa anapenda sana kucheza rede. Ngoja leo nitengeneze ka-mpira kangu nakashona vizuuuuuri na uzi halafu nam-saplaiz nataka tucheze rede"

"Mengine ntamfanyia siku nyingine"
 
Sasa kama usingekuwa huo upendo wa kitandani unadhani wewe ungekuwepo leo? kwanza nahisi wangekuwa Adamu na Eva tu dunia nzima.
 
Hahahahaha babu bwana....ukiendelea kua mchokozi wajukuu watakupiga mawe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…