To Jamii Forum Members and staffs

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Ni matumaini yangu wote hapa tuko salama tokea kuanza kwa mwaka huu wa 2010 ambao unafikia ukingoni hapo itakapofika saa 6:00am! Nashukuru sana kwa wale wote waliochangia mada zangu kama zilikua ni mgando potelea magomeni lakini pia sintaacha kuwashukuru wote kwa michango yao katika jahazi hili kwakweli kuna mengi nimejifunza ambayo nilikua siyajui kwa sasa nimeshayajua na yamenitoa mchanga wa machoni na kunifundisha na mengine ninaendelea kuyafanyia kazi, sintawacha kuwashukuru wahusika wakuu wa Jamii Forum kwa uongozi wao kwakweli wamezingatia yale ya muhumi kwenye kila thread ambayo wao wameyakubali na kuyaruhusu kuwepo na kwa yale ambayo waliona hayana umuhimu waliyawekea kufuli za SOLEX kwa manufaa ya jamii nzima kwaweli ni watu wenye kuzingatia heshima ya janvi hili, pia nawapa pole wale ambao walipewa Bunning kwa manufaa ya wana great thinkers hii imeonyesha pia kua nidhamu inzingatiwa ndani ya house hii. Asante sana wanaGREAT THINKERS wote nawatakia heri ya mafanikio katika mwaka unaofuata uwe na mafanikio kwa wana JF wote na tunasubiri kwa hamu na shauku kubwa ya kupata mada HOT HOT! Happy New 2011:peace:and :A S 41:
 
Back
Top Bottom