Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,301
- 4,681
"memkwa" ndiyo nini? Vijike kama wewe mmebakia kulialia na kubwatabwata humu kuhusu mapenzi yenu juu ya Gaddafi wakati wanaume wa kweli are putting their asses on the line every single day in Tripoli. Huoni haya? Kudadeki!
Haya uone wewe.
Mimi nitamsapoti Mheshimiwa wa ukweli barani Afrika mpaka pumzi yangu ya mwisho...
Mimi sio muoga na siyumbishwi.