To be honest, I love Gadaffi...

Damu ya Watanzania waliouawa Kagera kwa sababu ya Gadafi kum-support Iddi Amini, inamlililia toka ardhini. Na yeye wakati wake umefika kuyanywa maji machungu. Anayemsupport akome kabisa! Mimi nilitamani awe ameondolewa mika 33 iliyopita, aliposhiriki kuwaua ndg zetu wa Kagera na watanzania kwa ujumla wao walioshiriki ktk vita kutetea mauaji.

Kama unamsaupport nenda kambi ya jeshi ya Lugalo, ukaone wazee wetu walioathirika na vita vile ambavyo wanazidi kuishi maisha ya kupungukiwa (angalau walio hai bado).

Sina maana ya sera ya jino kwa jino lakini mtu mwovu ataangamia kwa kadri ya uovu wake, auae kwa panga atakufa kwa panga.

kwa sababu ya kujenga misikiti ndo mnamwona ni mtu mwema???

Nasikitika amechelewa kuondoshwa!

Its an unfair end to the good man... Atleast ndio kiongozi aliyethubutu kuwaambia ukweli waarabu wenzie kuwa ni waoga na wanafiki..
Pia alitamani afrika iwe kitu kimoja na kuwa na sauti...
But the world does no longer need honest and free monded people...
Gadafi pole sana.

"america and europe are a friends of anyone and an enemy of everyone"

Hakuna mtu anayekubalika kwake, mfano mdogo nikuwa wakati idadi yawatanzania wengi wakiendelea kupoteza imani na Kikwete kuna nchi jirani watu wanamuona kama lulu

vita vya idi amin ni kizungumkuti wa kulaumiwa ni baba yetu aliyetupeleka kupigana vita kwa maslahi binafsi fuatilia ndugu ujue ukweli.........sie ndo tulilianzisha lile dude ndugu yangu
pole wewe
I SUPPORT GADAFI sawa hawezi kukosa mapungufu yake BUT UKWELI NI KWAMBA ALITTHUBUTU KUWA MADHUBUTI NA IMARA NA MWIBA KWA MATAIFA MAKUBWA.. na hii ni mbinu imepangwa ya kumuangushia mbali. INASIKITISHA
Hao waafrika aliotaka kuwaunganisha wakwapi kumtetea kama alikuwa anawapenda sana na kupendwa sana???
Iko wapi AU? wako wapi washkaji zake from africa?? au wakishatoa tamko ndo basi tena!!!

Naheshimu maoni ya waungaji mkono wa Gadhafi,lakini niko na shida na uelewa wetu kuhusu haya mambo ya siasa. Tatizo letu kubwa watanzania hatupendi kujisomea na kwa hiyo kupata maarifa zaidi. Ndiyo maana tunaongozwa kijinga,na bado unakuta mkoa wenye umasikini wa kutupwa ndiyo ngome ya chama tawala. Ujinga na Umasikini umetufanya kuwa mashabiki wa vitu vya ajabu. Alichokua anafanya Gadhafi ilikua ni ulevi wa madaraka. Alikwisha poteza muelekeo miaka mingi iliyopita.

Its an unfair end to the good man... Atleast ndio kiongozi aliyethubutu kuwaambia ukweli waarabu wenzie kuwa ni waoga na wanafiki..

Pia alitamani afrika iwe kitu kimoja na kuwa na sauti...

But the world does no longer need honest and free monded people...

Gadafi pole sana.

unampenda kiaje?? Ukikutana nae ungependa ufanye nini naye?? Napata wasiwasi kidogo

Alipowasaidia wapiganaji wa IRA kuna mtanzania gani aliyempinga?! Ajabu waasi wanaompinga wakisaidiwa inakuwa nongwa! Watu wanaojua kihalisia uzuri au ubaya wake ni walibya wenyewe, watu wa nje wamekuwa wakizisifia serikali za ccm wakati sisi ndo tunaoujua ubovu wa serikali hizi. Na inakera kweli mtu wa nje kukwambia serikali yako ni nzuri wakati wewe unaona ni mbovu.. Kumbe na wabongo tunaweza kuwaambia watu wa mataifa mengine uzuri wa viongozi wao na mazuri gani wamewafanyia kama vile wao hawayaoni!!

Its an unfair end to the good man... Atleast ndio kiongozi aliyethubutu kuwaambia ukweli waarabu wenzie kuwa ni waoga na wanafiki..
Pia alitamani afrika iwe kitu kimoja na kuwa na sauti...
But the world does no longer need honest and free monded people...
Gadafi pole sana.
pole sana!

Unafki mbaya sana..!si alikuwa anatoa misaada misikitini mbona allah hamsaidii muda huu anamwacha anakula kichapo ,nimeamini mungu wa Gadafi aka allah ni mdhaifu sana !inamaana kazi ya kujenga mosque that gadafi did ,mungu wake aka allah kaona ni ujinga tu na hakumpa thawabu'!poor gadafi !i hate gadafi ,killed my grandpa at kagera war with that fool Idi amini!

Unamshangaa Mungu wa Gaddafi amabaye hakumsaidia muumini wake? Mbona kuna habari za Mungu aliyeshindwa kujisaidia mwenyewe na akatundikwa msalabani huku akitapatapa na kulalamika kwamba 'ametupwa'!!

I love gadaff sana tu... wat hapnd in kagera is another story bt the man was a real leader. Walibya wanaoshangilia soon watalia wakiMkumbuka kwani mmeshasahau jeshi la marekan lilipotua baghdad wananchi walishangilia.., leo mbona washakoma.
Walibya wajue wanakaribsha wamarekani na washirika wake nchini mwao wataibiwa kila kitu na watapandikiza viongoz wao ka walivyofanya afghanstan na kwingneko.
Hivi hamjiulizi kwanini kila baada ya serikali kupnduliwa anaye kuwa rais ukifuatilia utakuta kaish sana USA au U.K.
Who is next to be taken by americans after gadaff?

Hao waafrika aliotaka kuwaunganisha wakwapi kumtetea kama alikuwa anawapenda sana na kupendwa sana???

Iko wapi AU? wako wapi washkaji zake from africa?? au wakishatoa tamko ndo basi tena!!!

Ndio ujue sasa wewe pamoja na viongozi wako ni sawa na Gagulo na Sidiria.
Yaani vyote ni nguo za ndani.

Gadaffi ni mwanaume na ukiwa Lijali basi wanao watakuja kumsoma kama Shujaa wa Bara hili zima la Afrika.

Gadaffi nitakusapoti na kukuenzi mpk siku naingia futi 6 ardhini au siku nitakayo poteza pumzi.

Gadaffi nitakusapoti na kukuenzi mpk siku naingia futi 6 ardhini au siku nitakayo poteza pumzi.

Lolongolongo nyingi. Kwa nini usifanye yote kwa kumkupuo na kwenda Tripoli kujiunga na wapiganaji wake? Njia iko wazi. Kwa mtaji huo, utakuwa ukipigia ndege wawili kwa jiwe moja: utafanikiwa kumuenzi huku ukiishia "futi 6 ardhini".

Naheshimu maoni ya waungaji mkono wa Gadhafi,lakini niko na shida na uelewa wetu kuhusu haya mambo ya siasa. Tatizo letu kubwa watanzania hatupendi kujisomea na kwa hiyo kupata maarifa zaidi. Ndiyo maana tunaongozwa kijinga,na bado unakuta mkoa wenye umasikini wa kutupwa ndiyo ngome ya chama tawala. Ujinga na Umasikini umetufanya kuwa mashabiki wa vitu vya ajabu. Alichokua anafanya Gadhafi ilikua ni ulevi wa madaraka. Alikwisha poteza muelekeo miaka mingi iliyopita.

Toa kwanza Mwiba wa Takoni kisha ndio ukae chini uutoe wa Mguuni.

tatua kwanza ya kwako na kisha ndio ukatatue ya walibya waliosomeshwa, walio ozeshwa, walio neemeshwa na kupewa good time na Baba Saify au Gadaffi.

Kumponda Gadaffi wakati nchini kwako kila kitu ni ushuzi mtupu ni sawa na kufikiri kwa kutumia Masaburi.

So funga bakuli lako na ukachukue kopo ukachambe.

Unamshangaa Mungu wa Gaddafi amabaye hakumsaidia muumini wake? Mbona kuna habari za Mungu aliyeshindwa kujisaidia mwenyewe na akatundikwa msalabani huku akitapatapa na kulalamika kwamba 'ametupwa'!!

Mpe dauwa huyo

Its an unfair end to the good man... Atleast ndio kiongozi aliyethubutu kuwaambia ukweli waarabu wenzie kuwa ni waoga na wanafiki..
Pia alitamani afrika iwe kitu kimoja na kuwa na sauti...
But the world does no longer need honest and free monded people...
Gadafi pole sana.
Pole mkuu. Kila kiongozi wa dola yoyote dunia hii lazima atakuwa na wanaompenda na wasiompenda. Wakti wake umewadia

Nenda memkwa kajifunze kuandika....ushuzi mkubwa wewe

"memkwa" ndiyo nini? Vijike kama wewe mmebakia kulialia na kubwatabwata humu kuhusu mapenzi yenu juu ya Gaddafi wakati wanaume wa kweli are putting their asses on the line every single day in Tripoli. Huoni haya? Kudadeki!

Its an unfair end to the good man... Atleast ndio kiongozi aliyethubutu kuwaambia ukweli waarabu wenzie kuwa ni waoga na wanafiki..

Pia alitamani afrika iwe kitu kimoja na kuwa na sauti...

But the world does no longer need honest and free monded people...

Gadafi pole sana.

Me to I love this man. Long live Colonel Muamar Gaddafi.

Back
Top Bottom