Its an unfair end to the good man... Atleast ndio kiongozi aliyethubutu kuwaambia ukweli waarabu wenzie kuwa ni waoga na wanafiki..
Pia alitamani afrika iwe kitu kimoja na kuwa na sauti...
But the world does no longer need honest and free monded people...
Gadafi pole sana.
Umenigusa sana na mada yako. Ninapoona waasi wanaosaidiwa na nchi za magharibi wakisonga mbele didhi ya Gadaffi huwa naumia sana. Binafsi naamini amefanya mengi mazuri sana. Ni kweli mapungufu yapo, na naamini hamna anaebisha kwamba kutawala watu wengi kama nchi ni lazima utumie aina fulani ya utawala kama (e.g. autocratic, democracy, leizure fair) kutemegemeana na situation ili mambo yaende. Alitumia mabavu kiasi fulani na mambo yakaenda kama tunavyosikia mambo yao ni mazuri ukianzia kilimo, elimu, infrustructure etc.
Nisingekuwa na shida sana kama hao waasi wangekuwa ni mawazo yao binafsi kinchi na sio mtazamo wa kifikra wa kimagharibi. Kuna gazeti sikumbuki ni lipi kati ya Tanzania daima au MwanaHalisi (mwenye habari kamili tafadhali naomba utujuze) liliwahi kutoa historia ya jinsi nchi za kimagharibi walivyofundisha waasi kwa nyakati tofauti ili wamng'oe Gadaffi tangu kipindi cha mwanzoni mwa miaka ya 80's.
Namalizia kwa kusema Change is Inevitable lkn inategemea ni mabadiliko ya namna gani na yenye nia gani