Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,589
JF katika ubora wake.
Just God bless yo days
I owe u nothing than respect for this
The thread is open for everyone.No boundaries attached,usitukane tu 🙂!Sikujua kuwa kuna nyuzi mtu haruhusiwi kutia mguu. Napata picha sasa...! Ni personal grudges ndio zinafanya tusiruhusiwe kuchangia baadhi ya nyuzi au nini? Wanawake bwana!!!
The thread is open for everyone.No boundaries qttached,usitukane tu 🙂!
I don't have a whole lot to opine about but I must admit that I thoroughly enjoyed the shade directed at that teenybopper and her elementary (school)-like hijinks.
The allusion to her mental health or the complete lack thereof was right on the money.
And this line right here ("and someone fooled her that she is smart and oh whoever fooled her did a great job)" takes the cake.
The resultant discombobulation had the teenybopper deigning to even address her 'sworn enemy' by name after she vowed multiple times in this very forum to never do anything remotely close.
Jonesing for attention and drama at all costs is not so good.
It was hella fun watching.....
Habari za saa hizi wapendwa wangu,
Leo marafiki ningependa tuongelee kuhusu insecurities za wanaume wetu wa kisasa.
Inawezekana wanawake sisi ndio chanzo cha wanaume wengi wasijiamini kwasababu walio wengi hawajafikia expectations zetu.Lakini wanaume mjiamini please dont let any woman put you down.If you are insecure na hujiamini hakuna mwanamke atakayekutaka.
Speaking from a woman´s perspective we women need men who provides security to us,who will guide us and protect us.We need men who will be there for us and stand out there for us.And when i say guidance,sio maguvu wala madharau na kejeli,"Mind your words they can make and break anything"
You might not have it now but if you stand to achieve your goals you will reach them.Its not about the money or other materialistic stuff its about you and how you place yourself out there.Hakuna mwanamke anayetaka mwanaume kigeugeu asojielewa.Kuwa na msimamo,jua nini unataka na pigania kukipata.Dont expect to grow roses while you are busy planting lillies.
Wanawake tuwe wavumilivu na wenye subira.Kama jamaa hajafikia standard guide him through it na najua wanaume zetu hawarekebishiki mpaka watake but usikate tamaa, ua lako kama unataka listawi lipalilie.Its your man walk with him through it. Only the strongest will survive.
At last if you are a good guy learn to appreciate,respect and cherish good people who are there for you.
Not all days are Rainy neither Sunny days.
Wasalaam, gorgeousmimi
You are one in a million women..
sitarajii kama we ni muafrica..na kama ni muafrika basi absolutely we sio mtanzania.....in a rare and next to impossible chance kwamba unaweza ukawa mtanzania..basi u are a God-send
kama kweli anaishi katika haya maneno anayoyaongea..basi elimu haijamkomboa,ye ndo kaikomboa elimuKwenda Shule sio kuelimika,i do not knw hili Juha lara1 but one thing am sure of is hajitambui na hajaelimika
Given up souls. . . . . . . .
My beloved project supervisorNani huyo jamani?
Ujuaji ukizidi sana..mwishoni inakuwa stupidity..
Sasa Dr. nataka dawa,sijui twende kule kwenye ka-thread ketu ka magonjwa au iwe tu hapa....nina mgonjwa wangu ana tatizo ambalo kwa kiswahili sijui niliiteje ila kwa kiingereza tuseme inaiwa Excessive attention seeking and drama addiction....woi wengine wanaita attention deficit disorder?? sasa hii inamsababishia mahusiano mabovu sana....kuna dawa ya kitaalamu au basi iwe maombi tu??
samahani kama kwa kusema gorgeousmimi is smart nitakuwa nime-imply kwamba wanawake waliobaki wote ni mburura...actually katika muda niliospend JF nimemuona mwanamke mpumbavu mmoja tu...wengine wanaokosea it is just kwamba they are misguided
hii comment inaondoa credibility ya uzi na mleta uzi......thought ur smart too!!i suppose i was wrong!
Umenichekesha sana si vibaya ukimtaja huyo mpumbavu ingawa nahisi namjuwa.
Asipochafuka atajifunzaje?
Ilikuwa mpango Yuda Iskariot awepo ili wokovu utimie. Nilichojifunza ni kukubali mawazo tofauti na kuacha ku-personalize michango.
Binadamu tuna mawazo tofauti sana, na kila mmoja ana mbinu zake za kutetea hoja zake, tuchukuliane. Inafanya jukwaa kuwa na bashasha zaidi na mjadala kuwa mrefu na wa kujenga zaidi, uzuri hakuna ukomo wa michango kusema 'atqtumalizia nafasi ya michango mingine'
Mada: Umekumbusha jambo la msingi, unaweza msaidia spouse wako kuwa mtu bora zaidi, kwa kumpongeza anapofanya vizuri.
Tena hii ndio limbwata namba moja kwa baadhi ya wanamme🙂, kumtia moyo hasa anapokuwa amekwama.
Unaweza shangaa mtu kaolewa na average joe, miaka kadhaa, joe kawa mtamu kuliko mcharo.