To all good and hardworking men out there

Thread nzuri sana sana Gourgeous.

Kwakuwa leo umeongelea wajibu wetu kwa wanaume zetu basi na mimi nisistize tu kuwa Biblia takatifu imetoa muongozo wa namna ambavyo mwanamke/mke mwema anapaswa kuwa. Mithali 31:10-31.

Hilo ndilo neno wanawake wa kikristo hutumia kuwafundisha watoto wao kabla ya kuwaruhusu sasa mwanangu nenda ukaolewe..... na katika hilo neno kwenye ishu ya kujiamini,nakubaliana na wewe kuwa wanawake kwa namna moja au nyingine tumekuwa sababu ya wanaume kutokujiamini.

Kwanza: Kuwabagua,kuwa nataka mwanaume mwenye hiki na kile,unakuta mwanaume ana miaka 27 lakini anatakiwa kuwa na mali ambazo mwanaume wa miaka 45-50 kiuhalisia ndio anaweza kuwa nazo. Wanachanganyikiwa kwa hili,manake kiukweli wote wanataka vilivyo vizuri machoni pao kuona kwamba anakosa kwa kitu ambacho baada ya muda akiwajibika atakuwa nacho inaumiza na kukatisha tamaa na mwishowe anakosa kujiamini.

Pili: maneno ya karaha pale ambapo mwanaume anashindwa kufikia malengo aliyotarajiwa,hili husababisha kutokujiamini sana kwa wanaume. waliofikia kusema kuwa nyuma ya mwanaume mwenye mafanikio kuna mwanamke walielewa wajibu wetu kwenye kujenga au kubomoa. Kuna siku nilimtizama mke wa Rais mteule wa Nigeria, mama Buhari,pamoja na tofauti kubwa aliyonayo ya kiumri na mumewe lakini unaona heshima,imani na kunia pamoja kati yake na mumewe. ndivyo wanawake tunavyopaswa kuwa.

Mwisho nanukuu maneno yaliyotafsiriwa ya Mithali 31: 10-......!
Kitabu cha mithali 31 kuanzia msitari wa 10 hadi 31 kimeelezea sifa mbalimbali za mke mwema, tuangalie kwa uchache sifa hizo kwa kuzichambua katika maeneo tofauti.
1. Imani
Mithali 31:26, 29, 30
Mke mwema anayashika na kuyafanyia kazi maneno ya Mungu na ni mtu ambaye anamtumikia Mungu kwa moyo wake wote na akili yake yote. Anatafuta makusudi ya Mungu katika maisha yake na kuyafuata. Zaburi 119;15

2. Ndoa
Mithali 31:11-12, 23, 28
Mke mwema humuheshimu mume wake na anahakikisha anamtendea mambo mema siku zote za maisha yake. Ni wa kuaminika na msaidizi kwa mume wake. Efeso 5:22-24, 1Petro 3

3. Malezi
Mithali 31: 26, 28
Mke mwema anawafundisha watoto wake njia za Mungu na pia anawatunza kwa upendo. Huwafundisha kwa hekima na kuwaelekeza njia iwapasayo kuiendea. Mithali 22:6

4. Huduma
Mithali 31:12-15, 17, 20
Mke mwema anamhudumia mume wake na familia yake yote kwa ukarimu na upendo. Anahakikisha wanapata chakula kilicho bora na chenye afya. Ni mtu mwenye huruma na ukarimu.

5. Mali
Mithali 31:14, 16, 18
Mke mwema anatafuta kwanza ushauri wa mumewe kabla ya kutumia fedha na pia anafanya manunuzi kwa hekima. Ni muangalifu kununua bidhaa zenye ubora kulingana na mahitaji ya familia yake.Efeso 5:23

6. Nyumba
Mithali 31:15, 20-22, 27
Mke mwema ni mtu anayeifanya nyumba iwe mahali pa kuishi. Anatengeneza mazingira ya kuvutia kwa familia yake na wageni wote na anawahudumia watu wake wote kwa ukarimu. 1pet 4:9, Ebrania 13:2

7. Muda
Mithali 31:13, 19, 27
Hutumia muda wake vizuri na kuhakikisha anakamilisha kazi zake za kila siku. Kamwe hapotezi muda katika kufanya mambo ambayo hayampendezi Mungu na yasiyo na faida.

8. Uzuri / Urembo
Mithali 31:10, 21-22, 24
Ni mrembo na mwenye thamani, ana uzuri wa ndani unatoka kwa Yesu Kristo. Anatumia ubunifu wake na utanashati wake kuleta uzuri katika maisha yake na ya watu wake.

Mungu atusaidie ili maisha yetu yaonyeshe kweli tunamjua na kumwamini yeye.

I can "smell" the wisdom in u...... wanawake wangekuwa na mtazamo kama wako nina hakika duniani pangekuwa mahala salama mno kuishi na kufurahia.
By the way thumb up for an appealing article.
 
WANAUME WA SIKU HIZI ACHENI KUWA FULL OF EXCUSES!!!!!!! Being born a man is a PRIVILEGE! Full fill the expectation tat comes with your birth right! Mama akilamba dumeee, anaona keshatoka kimaisha nusu, angejua utakuja kuwa mkubwa uwe SOFTY and full of excuses angebadilishana na jike. Mwanaume yake matokeoooo, wanawake zetu propagandaa. Ukiwa me unaendekeza propaganda UMELIWAAAAAAAAAAAA! A MAN IS A PERSON THAT CAN MAKE SHIT HAPPEN!

IN THIS LIFE WE GET FEW CHANCES IF YOU DONT GEAB THOSE CHANCES BY THE BALLS YOU WILL END UP WONDERING HOW YOU BECAME SECOND RATED IN LIFE. :lol:

Make shit happen men, enough with the excuses. BECOME STRONGER THAN YOUR STRONGEST EXCUSES.

hahhahhahahah lara 1 wewe ni nyokkkoooooo
 
Last edited by a moderator:
thread nzuri sana sana gourgeous.

Kwakuwa leo umeongelea wajibu wetu kwa wanaume zetu basi na mimi nisistize tu kuwa biblia takatifu imetoa muongozo wa namna ambavyo mwanamke/mke mwema anapaswa kuwa. Mithali 31:10-31.

Hilo ndilo neno wanawake wa kikristo hutumia kuwafundisha watoto wao kabla ya kuwaruhusu sasa mwanangu nenda ukaolewe..... Na katika hilo neno kwenye ishu ya kujiamini,nakubaliana na wewe kuwa wanawake kwa namna moja au nyingine tumekuwa sababu ya wanaume kutokujiamini.

Kwanza: Kuwabagua,kuwa nataka mwanaume mwenye hiki na kile,unakuta mwanaume ana miaka 27 lakini anatakiwa kuwa na mali ambazo mwanaume wa miaka 45-50 kiuhalisia ndio anaweza kuwa nazo. Wanachanganyikiwa kwa hili,manake kiukweli wote wanataka vilivyo vizuri machoni pao kuona kwamba anakosa kwa kitu ambacho baada ya muda akiwajibika atakuwa nacho inaumiza na kukatisha tamaa na mwishowe anakosa kujiamini.

Pili: Maneno ya karaha pale ambapo mwanaume anashindwa kufikia malengo aliyotarajiwa,hili husababisha kutokujiamini sana kwa wanaume. Waliofikia kusema kuwa nyuma ya mwanaume mwenye mafanikio kuna mwanamke walielewa wajibu wetu kwenye kujenga au kubomoa. Kuna siku nilimtizama mke wa rais mteule wa nigeria, mama buhari,pamoja na tofauti kubwa aliyonayo ya kiumri na mumewe lakini unaona heshima,imani na kunia pamoja kati yake na mumewe. Ndivyo wanawake tunavyopaswa kuwa.

Mwisho nanukuu maneno yaliyotafsiriwa ya mithali 31: 10-......!
kitabu cha mithali 31 kuanzia msitari wa 10 hadi 31 kimeelezea sifa mbalimbali za mke mwema, tuangalie kwa uchache sifa hizo kwa kuzichambua katika maeneo tofauti.
1. Imani
mithali 31:26, 29, 30
mke mwema anayashika na kuyafanyia kazi maneno ya mungu na ni mtu ambaye anamtumikia mungu kwa moyo wake wote na akili yake yote. Anatafuta makusudi ya mungu katika maisha yake na kuyafuata. Zaburi 119;15

2. Ndoa
mithali 31:11-12, 23, 28
mke mwema humuheshimu mume wake na anahakikisha anamtendea mambo mema siku zote za maisha yake. Ni wa kuaminika na msaidizi kwa mume wake. Efeso 5:22-24, 1petro 3

3. Malezi
mithali 31: 26, 28
mke mwema anawafundisha watoto wake njia za mungu na pia anawatunza kwa upendo. Huwafundisha kwa hekima na kuwaelekeza njia iwapasayo kuiendea. Mithali 22:6

4. Huduma
mithali 31:12-15, 17, 20
mke mwema anamhudumia mume wake na familia yake yote kwa ukarimu na upendo. Anahakikisha wanapata chakula kilicho bora na chenye afya. Ni mtu mwenye huruma na ukarimu.

5. Mali
mithali 31:14, 16, 18
mke mwema anatafuta kwanza ushauri wa mumewe kabla ya kutumia fedha na pia anafanya manunuzi kwa hekima. Ni muangalifu kununua bidhaa zenye ubora kulingana na mahitaji ya familia yake.efeso 5:23

6. Nyumba
mithali 31:15, 20-22, 27
mke mwema ni mtu anayeifanya nyumba iwe mahali pa kuishi. Anatengeneza mazingira ya kuvutia kwa familia yake na wageni wote na anawahudumia watu wake wote kwa ukarimu. 1pet 4:9, ebrania 13:2

7. Muda
mithali 31:13, 19, 27
hutumia muda wake vizuri na kuhakikisha anakamilisha kazi zake za kila siku. Kamwe hapotezi muda katika kufanya mambo ambayo hayampendezi mungu na yasiyo na faida.

8. Uzuri / urembo
mithali 31:10, 21-22, 24
ni mrembo na mwenye thamani, ana uzuri wa ndani unatoka kwa yesu kristo. Anatumia ubunifu wake na utanashati wake kuleta uzuri katika maisha yake na ya watu wake.

mungu atusaidie ili maisha yetu yaonyeshe kweli tunamjua na kumwamini yeye.

liked it!
 
Thread nzuri sana sana Gourgeous.

Kwakuwa leo umeongelea wajibu wetu kwa wanaume zetu basi na mimi nisistize tu kuwa Biblia takatifu imetoa muongozo wa namna ambavyo mwanamke/mke mwema anapaswa kuwa. Mithali 31:10-31.

Hilo ndilo neno wanawake wa kikristo hutumia kuwafundisha watoto wao kabla ya kuwaruhusu sasa mwanangu nenda ukaolewe..... na katika hilo neno kwenye ishu ya kujiamini,nakubaliana na wewe kuwa wanawake kwa namna moja au nyingine tumekuwa sababu ya wanaume kutokujiamini.

Kwanza: Kuwabagua,kuwa nataka mwanaume mwenye hiki na kile,unakuta mwanaume ana miaka 27 lakini anatakiwa kuwa na mali ambazo mwanaume wa miaka 45-50 kiuhalisia ndio anaweza kuwa nazo. Wanachanganyikiwa kwa hili,manake kiukweli wote wanataka vilivyo vizuri machoni pao kuona kwamba anakosa kwa kitu ambacho baada ya muda akiwajibika atakuwa nacho inaumiza na kukatisha tamaa na mwishowe anakosa kujiamini.

Pili: maneno ya karaha pale ambapo mwanaume anashindwa kufikia malengo aliyotarajiwa,hili husababisha kutokujiamini sana kwa wanaume. waliofikia kusema kuwa nyuma ya mwanaume mwenye mafanikio kuna mwanamke walielewa wajibu wetu kwenye kujenga au kubomoa. Kuna siku nilimtizama mke wa Rais mteule wa Nigeria, mama Buhari,pamoja na tofauti kubwa aliyonayo ya kiumri na mumewe lakini unaona heshima,imani na kunia pamoja kati yake na mumewe. ndivyo wanawake tunavyopaswa kuwa.

Mwisho nanukuu maneno yaliyotafsiriwa ya Mithali 31: 10-......!
Kitabu cha mithali 31 kuanzia msitari wa 10 hadi 31 kimeelezea sifa mbalimbali za mke mwema, tuangalie kwa uchache sifa hizo kwa kuzichambua katika maeneo tofauti.
1. Imani
Mithali 31:26, 29, 30
Mke mwema anayashika na kuyafanyia kazi maneno ya Mungu na ni mtu ambaye anamtumikia Mungu kwa moyo wake wote na akili yake yote. Anatafuta makusudi ya Mungu katika maisha yake na kuyafuata. Zaburi 119;15

2. Ndoa
Mithali 31:11-12, 23, 28
Mke mwema humuheshimu mume wake na anahakikisha anamtendea mambo mema siku zote za maisha yake. Ni wa kuaminika na msaidizi kwa mume wake. Efeso 5:22-24, 1Petro 3

3. Malezi
Mithali 31: 26, 28
Mke mwema anawafundisha watoto wake njia za Mungu na pia anawatunza kwa upendo. Huwafundisha kwa hekima na kuwaelekeza njia iwapasayo kuiendea. Mithali 22:6

4. Huduma
Mithali 31:12-15, 17, 20
Mke mwema anamhudumia mume wake na familia yake yote kwa ukarimu na upendo. Anahakikisha wanapata chakula kilicho bora na chenye afya. Ni mtu mwenye huruma na ukarimu.

5. Mali
Mithali 31:14, 16, 18
Mke mwema anatafuta kwanza ushauri wa mumewe kabla ya kutumia fedha na pia anafanya manunuzi kwa hekima. Ni muangalifu kununua bidhaa zenye ubora kulingana na mahitaji ya familia yake.Efeso 5:23

6. Nyumba
Mithali 31:15, 20-22, 27
Mke mwema ni mtu anayeifanya nyumba iwe mahali pa kuishi. Anatengeneza mazingira ya kuvutia kwa familia yake na wageni wote na anawahudumia watu wake wote kwa ukarimu. 1pet 4:9, Ebrania 13:2

7. Muda
Mithali 31:13, 19, 27
Hutumia muda wake vizuri na kuhakikisha anakamilisha kazi zake za kila siku. Kamwe hapotezi muda katika kufanya mambo ambayo hayampendezi Mungu na yasiyo na faida.

8. Uzuri / Urembo
Mithali 31:10, 21-22, 24
Ni mrembo na mwenye thamani, ana uzuri wa ndani unatoka kwa Yesu Kristo. Anatumia ubunifu wake na utanashati wake kuleta uzuri katika maisha yake na ya watu wake.

Mungu atusaidie ili maisha yetu yaonyeshe kweli tunamjua na kumwamini yeye.

Mwenye masikio na asikie,,,, Roho wa Bwana anena nasi......enyi wanawake/dada zetu, mama zetu na mwisho ni WAKE ZETU, mkayasome hayo halafu mtafakari njia zenu kabla hamjaanza kurukia njia zetu...Amen.
 
We´ll my lady thats the problem with most women,We want everything!And the fact is that we cannot get everything!Its either one way or the other...Its a bumpy road you know!!!You cant expect to be served everything on the silver plater....You my lady need to work to earn your achievements,even if it is the man of your life!No sweets without sweat.

Nataka nichangie kitu tatizo kingledha hakipandi.

Nna bahati mbaya mi mbabu mimi?
 
Thread nzuri sana sana Gourgeous.

Kwakuwa leo umeongelea wajibu wetu kwa wanaume zetu basi na mimi nisistize tu kuwa Biblia takatifu imetoa muongozo wa namna ambavyo mwanamke/mke mwema anapaswa kuwa. Mithali 31:10-31.

Hilo ndilo neno wanawake wa kikristo hutumia kuwafundisha watoto wao kabla ya kuwaruhusu sasa mwanangu nenda ukaolewe..... na katika hilo neno kwenye ishu ya kujiamini,nakubaliana na wewe kuwa wanawake kwa namna moja au nyingine tumekuwa sababu ya wanaume kutokujiamini.

Kwanza: Kuwabagua,kuwa nataka mwanaume mwenye hiki na kile,unakuta mwanaume ana miaka 27 lakini anatakiwa kuwa na mali ambazo mwanaume wa miaka 45-50 kiuhalisia ndio anaweza kuwa nazo. Wanachanganyikiwa kwa hili,manake kiukweli wote wanataka vilivyo vizuri machoni pao kuona kwamba anakosa kwa kitu ambacho baada ya muda akiwajibika atakuwa nacho inaumiza na kukatisha tamaa na mwishowe anakosa kujiamini.

Pili: maneno ya karaha pale ambapo mwanaume anashindwa kufikia malengo aliyotarajiwa,hili husababisha kutokujiamini sana kwa wanaume. waliofikia kusema kuwa nyuma ya mwanaume mwenye mafanikio kuna mwanamke walielewa wajibu wetu kwenye kujenga au kubomoa. Kuna siku nilimtizama mke wa Rais mteule wa Nigeria, mama Buhari,pamoja na tofauti kubwa aliyonayo ya kiumri na mumewe lakini unaona heshima,imani na kunia pamoja kati yake na mumewe. ndivyo wanawake tunavyopaswa kuwa.

Mwisho nanukuu maneno yaliyotafsiriwa ya Mithali 31: 10-......!
Kitabu cha mithali 31 kuanzia msitari wa 10 hadi 31 kimeelezea sifa mbalimbali za mke mwema, tuangalie kwa uchache sifa hizo kwa kuzichambua katika maeneo tofauti.
1. Imani
Mithali 31:26, 29, 30
Mke mwema anayashika na kuyafanyia kazi maneno ya Mungu na ni mtu ambaye anamtumikia Mungu kwa moyo wake wote na akili yake yote. Anatafuta makusudi ya Mungu katika maisha yake na kuyafuata. Zaburi 119;15

2. Ndoa
Mithali 31:11-12, 23, 28
Mke mwema humuheshimu mume wake na anahakikisha anamtendea mambo mema siku zote za maisha yake. Ni wa kuaminika na msaidizi kwa mume wake. Efeso 5:22-24, 1Petro 3

3. Malezi
Mithali 31: 26, 28
Mke mwema anawafundisha watoto wake njia za Mungu na pia anawatunza kwa upendo. Huwafundisha kwa hekima na kuwaelekeza njia iwapasayo kuiendea. Mithali 22:6

4. Huduma
Mithali 31:12-15, 17, 20
Mke mwema anamhudumia mume wake na familia yake yote kwa ukarimu na upendo. Anahakikisha wanapata chakula kilicho bora na chenye afya. Ni mtu mwenye huruma na ukarimu.

5. Mali
Mithali 31:14, 16, 18
Mke mwema anatafuta kwanza ushauri wa mumewe kabla ya kutumia fedha na pia anafanya manunuzi kwa hekima. Ni muangalifu kununua bidhaa zenye ubora kulingana na mahitaji ya familia yake.Efeso 5:23

6. Nyumba
Mithali 31:15, 20-22, 27
Mke mwema ni mtu anayeifanya nyumba iwe mahali pa kuishi. Anatengeneza mazingira ya kuvutia kwa familia yake na wageni wote na anawahudumia watu wake wote kwa ukarimu. 1pet 4:9, Ebrania 13:2

7. Muda
Mithali 31:13, 19, 27
Hutumia muda wake vizuri na kuhakikisha anakamilisha kazi zake za kila siku. Kamwe hapotezi muda katika kufanya mambo ambayo hayampendezi Mungu na yasiyo na faida.

8. Uzuri / Urembo
Mithali 31:10, 21-22, 24
Ni mrembo na mwenye thamani, ana uzuri wa ndani unatoka kwa Yesu Kristo. Anatumia ubunifu wake na utanashati wake kuleta uzuri katika maisha yake na ya watu wake.

Mungu atusaidie ili maisha yetu yaonyeshe kweli tunamjua na kumwamini yeye.

Mjukuu mwema.... hii material imetoka kichwani mwako au umeinyonya sehemu?

Kama vipi nipange mahari mapema kabisaaaa
 
Santeee Babu....hekima za bibi hizo
Kuanzia hapo niliposema na nukuu nimenukuu mafundisho kabla ya hapo ndio maelezo yangu Babu.
Nina neno rohoni nawe!
 
Ahsante kwa mchango wako mpenzi Michelle!I hope na wengine watapata kitu hapa!!
 
Last edited by a moderator:
Habari za saa hizi wapendwa wangu,

Leo marafiki ningependa tuongelee kuhusu insecurities za wanaume wetu wa kisasa.

Inawezekana wanawake sisi ndio chanzo cha wanaume wengi wasijiamini kwasababu walio wengi hawajafikia expectations zetu.Lakini wanaume mjiamini please dont let any woman put you down.If you are insecure na hujiamini hakuna mwanamke atakayekutaka.

Speaking from a woman´s perspective we women need men who provides security to us,who will guide us and protect us.We need men who will be there for us and stand out there for us.And when i say guidance,sio maguvu wala madharau na kejeli,"Mind your words they can make and break anything"

You might not have it now but if you stand to achieve your goals you will reach them.Its not about the money or other materialistic stuff its aboutyouand how you place yourself out there.Hakuna mwanamke anayetaka mwanaume kigeugeu asojielewa.Kuwa na msimamo,jua nini unataka na pigania kukipata.Dont expect to grow roses while you are busy planting lillies.

Wanawake tuwe wavumilivu na wenye subira.Kama jamaa hajafikia standard guide him through it na najua wanaume zetu hawarekebishiki mpaka watake but usikate tamaa, ua lako kama unataka listawi lipalilie.Its your man walk with him through it. Only the strongest will survive.

At last if you are a good guy learn to appreciate,respect and cherish good people who are there for you.
Not only all day are Rainy neither Sunday.

Wasalaam, gorgeousmimi
Wassalaam,hapa namkumbuka mtu
 
Hahaaaaa! Kwa hip nisijue ili mnione mwerevu afu mkishaniona mwerevu nitapata nini? This bich ain't dumbing down for nobody! And by nobody I mean NO WALKING BODY.

either you raise your bar to my level or I look down on you

Mmmmh! Nilisahau kama Niko madhabahuni. Haya back to the pulpit.

Lol!fearless!I admire ur guts gal
 
Back
Top Bottom