Inawezekana wanawake sisi ndio chanzo cha wanaume wengi wasijiamini kwasababu walio wengi hawajafikia expectations zetu.
Wasalaam, gorgeousmimi
kwanza hongera kwa kutambua jambohili..
it is very true that we women ndio chanzo cha wanaume wengi kutokujiamini, na si hapo tuu ni chanzo cha roho mbaya na ukadli ndani ya wanaume walio wengi.. wanawake tumesahau kwanini mungu alituumba in the first place.. Mungu alimwona Adam kwamba he is lonely mind you not alone but lonely as he had kila kitu around him but he still was lonely ndipo Mungu akaamua kumfanyia msaidizi, mtu wa kumtoa upweke kumpa moyo, kumpa matumaini na KUMSAIDIA NOT KUMTAWALA katika majukumu yake ili aweze kutawala vyema and to prosper.
Know that huyu msaidizi alikuwa extra ordinary God created this woman from a man kutoka katika ubavu wa mwanaume hii ilifanyika kwa makusudi kabisa ili mkiwa pamoja muwe kamili yaani "ONE" .( maana yake tunayo uwezo wa ku influence na kumbadili mwanaume coz sisi ni sehem yao bila wanawake men can not do kila kitu) sasa shida ni kwamba hatujui wajibu tuliyopewa hapa duniani tumekalia tamaa,fujo na makelele na kutaka kutawala..
Sidhani kama kuna mwanaume anapenda kukaa na mke wa makelele hata bible says that ni kheri kukaa kwenye kona ya dari kuliko na mwanamke mwenye makelele. Kamwe huwezi kumlazimisha mwanume wako afanye kitu kwa kumfokea au kumsusia au kwa ugomvi balii tunaishia kuwavunja moyo, kuwarudisha nyuma kimaendeleo, kuwajengea roho mbaya na chuki kwasababu hawajaumbwa kutake orders from you and they are not created from you but you from them so wemen will always be under men na unless we accept this basii hamna kitu kitaendelea hapa kwenye hizi ndoa za kileo or relationships.
Mfano Ester alipotaka mumewe asamehe watu wake alitumia busara sana instead ya kwenda kupiga kelele kukejeli uamuzi wa mfalme na kuanza fujo aliandaa karamu akamfurahisha mumewe kwanza ndipo akasema haja yake, sidhani kama angeenda kwa njia zetu angefanikiwa..
love your men people speak to them with tongues of kindness and wisdom, give them hope and most of all obey them. let a man be a man yaani the head of the family , yaani watajikuta tuu wanakupenda na kufanya most of the things you want bila ya wao kujua! hata kama ni mbishi vipi atafanya tuu though it might take time. wataishia kusema limbwata tuu kumbe wapi.
A man is created to rule akishindwa kukutalawa wewe atatafuta paku tawala!!!