gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,616
Tu
Makahaba wanajulikana tu temana nae
Kahaba yeyote atakaye pata ushauri huu atakusifia
Makahaba wanajulikana tu temana nae
Kahaba yeyote atakaye pata ushauri huu atakusifia
So what!! I seduced election is over. Kampeni za nn na ushindi nshapata.
Wanawake wapo ambao tunawakomoa na ni makusudi. Kabla hujamtia mikononi mwako mnaringa sana, Maneno ya dharau na kutubatiza mimajina kibao.
Dawa ya mwanamke jeuri ni kumfanyia kitu hatasahau rest in life
Vitabu vya dini mnavikiuka
Hii ya kusahau nadhani wanawake ndio inawahusu zaidi.umeongea jambo jema mamy....ila jamani wanaume mkifanikiwa msiwasahau waliosaidia kwa namna moja au nyingine kwenye hayo mafanikio.......
Any comments?
I guess ladies will always be ladies just like men will always be men.hii comment inaondoa credibility ya uzi na mleta uzi......thought ur smart too!!i suppose i was wrong!
Itabidi tumpeleke huyo mgonjwa wako kwa psycologist/shrink anahitaji ushauri wa kifikra.....na kama ameshaanza kupata anxiety(ile anajiona anapapatika hayupo in peace) sobril itamtuliza inbetween maana asije kuburn down the house buree... maombi pia yatasaidia my dear!God is always there for us!!
Kweli kabisaaa.....tu maneno tudogo tu kama well done, am proud of you and keep going....you can achieve more....its not the end of the road akishindwa....basi anatoka home akiwa kifua mbele...lol....sasa umspoil PAW alafu ndio awe mkali hapa uone....lol
Not skyfall?
i used to be a woman of your views above but men have changed, i have to change so as to be in a datum of men's behaviour
So what!! I seduced election is over. Kampeni za nn na ushindi nshapata.
Wanawake wapo ambao tunawakomoa na ni makusudi. Kabla hujamtia mikononi mwako mnaringa sana, Maneno ya dharau na kutubatiza mimajina kibao.
Dawa ya mwanamke jeuri ni kumfanyia kitu hatasahau rest in life
Vitabu vya dini mnavikiuka
When people around you change, you dont have to change too. You should keep your values above average. By the way, kufanya mambo mema inakufanya ujisikie vizuri. You do it foe yourself, utajisikia mtu bora sana. Hata kama mwenza wako anakufanyia mabaya mia, akufanya jema moja ukalisifia itampa moyo na atagundua hata wanawake wazuri bado wapo na wewe ni mmojawapo
Heheh tutawakumbuka atii
Hatuwezi kusahau kale kamsemo ka "nyuma ya mwanaume aliyefanikiwa kuna mwanamke"
gorgeousmimi penda sana babu pia!Ngoja nitafute TUKI yangu chapchap sana nifanye mambo hapa.... mimi penda wewe sana siwezi kukuacha hivihivi bila kukufikisha kileleni, naam kwenye kilele cha hoja.
na mie dahDah!!!!