To all good and hardworking men out there

To all good and hardworking men out there

you expect a lot from us, and sometimes your expectations go waaay beyond our capabilities, then problems rise up and that will automatically make a man feel insecure. Na katika dunia ya leo of science and technology, we have a right re-act that way
 
I think it depends on the kind of women most men are approaching!Ulichosema ni kweli mambo yamebadilika na wachache walobakia mwenye mtazamo kama huu wanapaswa washikamane ili this so called perspective isipotee!Walio wengi wameweka pesa mbele kutokana na mifano tofauti wanayoiona kwenye jamii.Hata enzi za zamani mwanaume alikuwa provider but of course wanawake wamebadili definition ya providing na wanaimisuse!

Nimependa ushauri wako gorgeousmimi na ninafikiri ushauri huu hauwahusu wale "multi bodies" ambao wao men means customers and money is the means of payment. Utawatambua kwa comments zao.
 
THE HOLLY BOOKS ARE THE ONLY TRUE WAY OF LIFE!!!!!!!! Aint nothing adventitious about them. THEY JUST SATE THE WORD OF GOD, THE ONLY WORD OF LIFE.

So now YOU AGREE I AM SUPPOSED TO BE PROVIDED! It is a good start! Atleast you aint challenging God himself.

Why should he be a Kapuku IF HE BELIEVES IN OUR ONLY TRUE GOD? He is not God of poverty, God of failure, God of despair. HE IS THE GOD OF ABRAHAM, GOD ELIJAH, GOD OF ISACK, GOD OF EZEKIEL. DO YOU SEE AN FAILURE NAME IN THE MIDDLE? Even dry bones raised again. Didnt they? IF GOD SAID THEY SHOULD LABOUR FOR FOOD HE KNOWS HE WILL GIVE THEM FOOD ONLY IF THEY IS NOT LAZY AND LABOR FOR IT? THOUGH SHOULD HAVE FAITH IN GOD, OUR TRUE GOD AND HE WILL SURELY MAKE THEM RICH! Ndo mwana mwanamke mda mwingine unahangaikaaa kumlisha mwanaume hata hubarikiwi kwasababu huo HAUKUWA MPAGO WA MUNGU. Mipango yenu wenyewe wanadamu. Mungu hamtupi mwanaume mhangaikaji hata siku moja. Muhangaike wewe mdada mwanaume ukione cha mtema kuni. Hupati ngooooo, mta tanga tanga mpaka basi.

It is not anyones hard work only GODS MERCY thee is read made.

WE CAN GET ANYTHING IN LIFE, ALL WE HAVE TO DO IS ASK GOD! OUR TRUE GOD!

I aint working for shit! You my friend need to find God!!!!!!!

Toka lini kinywa hiki kikamhubiri Mungu, you don't know the bible and its teachings. This shit you wrote is not christian teaching though you tried to immitate some christian words.
 
Hahahaaaaaaaa! We unaweza kuona nawamba ngoma lakini nawaambi ukweli.Kuna mtu alikuwa kila siku anaomba Mungu ampe hela amnunulie mumewe kigariiii.Mumewe mvivu wa mwishooo dunianii. Kazi kulelewa tu na mkewe. Kila siku anaomba walau apate hio gari amuhonge mumewe. HOLAAAAAAAAA! Mi nikawambie MWANAMKE KUMUHUDUMIA MWANAUME SIO MPANGO WA MUNGU asilaniii, hio mipango yetu binadamuuu. Muombe hio gari uipate wewe wanaowafaidi mjini hapa, na weka nadhiri hutomuhonga hio gari, utabakia nalo wewe na wanao. Akakubali. Akaja kuniambia vilianza kutokea visafari, Over time, bonus, mpaka zimetosha gari, na hampi. SEE MY POINT????????????????? Mkeo hawezi kukubebea msalaba wako wa KULA KWA JASHO hata ajitahidi vipi. KILICHOANDIKWA KIMEANDIKWAA - Ponsio Pilato.

Kahaba yeyote atakaye pata ushauri huu atakusifia
 
Natumia Holly Bible ya2001, Lutheran English version (I prefer Roman version since i am Catholic ila hii ya wa protestants ndo ipo karibu, it will have to do.) English version ina originality zaidi sababu maana bado haijapotea in translation.

Kuna mmbo umeya overlook either purposely or hukufunguliwa na bwana kuyaongea jioni hii. Your piece is good because it is the word of our living God it cant be other wise THOUGH HIGHLY BIASED. Scripture za wanaume hazimooo, Lucky for you nazileta.

Ephasians / Waefeso 5:25-31,33 "NYINYI WANAUME WAPENDENI WAKE ZENU KAMA KRISTU ALIVOLIPENDA KANISAAA AKAJITOA MWENYEWE SADAKA KWA AJILI YAKE." (Nimenukuu kupingana na mstari huu ni BLASPHEMY) Upendo wa kristo kwa kanisa haukuwa ROMANTIC, wa kungojea kanisa lijiongezee afu ndo yeye Bwana nae ndo alipende. Alilipenda regardless what. Sijui mnanisomaaa. Kristu alijitoa sadaka sio sadaka ilijitoa kwa kristu. WANAUME WA SAHIVI MNANGOJA WAKE ZENU WAJITOE KWENU BADALA NYINYI MJITOE KWA WAKE ZENU. Mnaonaaa hapo mnavo haribu????? Hata mkeo akionesha kutokukupenda unatakiwa mapenzi yako yawe pale pale kama mapenzi ya Kristu kwa kanisaaaa. Can i get a big AMEN from women.

1 Peter 3:7 " KADHALIKA NANYI WANAUME KATIKA KUISHI NA WAKE ZENU MNAPASWA KUTAMBUA KWAMBA WAO NI DHAIFU NA HIVO KUWATENDEA KWA HESHIMAAA ." (Kabla hujasonya kimya kimya kumbuka BLASPHEMYYYYYYYYY) Nadhani hapo mmenisomaaa ushaambiwa mtu DHAIFU hivo usitake makubwa kwake. Wakosai 3:9 "NANYI WANAUME WAPENDENI WAKE ZENU MSIWE WAKALI KWAO" Mambo hayooooo!

1 Corinthians 7: 3 -5 Swahili version imefumba fumbaa maana tunenda english version "A husband also shows love by expressing affection and fulfilling the wife's sexual needs" Aminaaaa watumishiiiiiiiiiii?:shocked:

Genesis/ Mwanzo 3: 17-19 Mwanaume atakula kwa jasho lakeeeee. imesisitizwa tena kwa WATESALONIKE au Thessalonian 3:10

1:Timothy 5:8 Kama kichwa cha familia A MAN SHOULD NOT PROVIDE FOR HIMSELF BUT FOR THE WHOLE HOUSEHOLD. Aminaaaaaaaaaaaa watumishiiiiiiii?????????? Tazama tena Ephasians 5:28 na wa 29. Sio mimi huyooo, Waefeso hao.

Romans 12: 17- 21, pitia na Luke 6:26-35 Sitonukuu ila nitatafsiri. IF A WIFE FAILS TO FULFILL HER DUTIES AS A WIFE IT DOES NOT JUSTIFY THE HUSBAND FAILING TO FULL FILL HIS DUTIES AS A HUSBAND!!!!!!!! Naombeni Amina zenu hapo.

NAISHIA HAPO KWA LEO. ROHO WA BWANA AWE NANYI JIONI HIII. anaebisha afungue biblia ajiridhishe.

kwanza nimpongeze super woman Dr.Gourgeousmimi kwa thread nzuri pamoja na yote ameleta kitu cha tofauti chenye hadhi ya kujadiliwa na watu wenye akili na busara na kwa utulivu mkubwa.

pili, asante kwa kuleta upande mwingine wa shilingi kuhusu wanaume. daima sitabadili maneno ya kitabu kitakatifu.
kwenye comment yangu niliweka wazi kabisa kuwa thread inahusu wajibu wa mwanamke kwa mwanaume kama Dr alivyoiweka. Sija over look chochote na sina sababu ya kufanya hivyo. Umeamua kuongeza pale nilipoacha kuweka ni sahihi kabisa...ndio maana tuko JF, ni sehemu ambayo watu wanatoa maoni,na thread inakuwa na comment hata mia tatu,siwezi kumaliza kila kitu mimi na sifahamu kila kitu mimi.

Tatu,Suala la kufunguliwa na Bwana sio langu kulijadili,kila kitu kina nafasi yake na wakati wake. Ikimpendeza Mungu kuniongezea na hilo la kufunguliwa katika baraka nyingi alizonipa nitazidi kumshukuru.

Kama mwanamke nimefundishwa kujua wajibu wangu na kuusimamia ipasavyo,kwa uanamke wangu napaswa kumuomba au kumshukuru Mungu kwa mwanaume ambaye anaufahamu wajibu wake, na pale naposhindwa au yeye kushindwa basi tuchukuliane,tuvumiliane na tusaidiane kufanya maisha mazuri.

Mithali 14:1"Kila mwanamke aliye na Hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu hibomoa kwa mikono yake mwenyewe"

Mwisho: Naomba Gourgeous uwe unatuletea vitu vya aina hii....unajua ukijazwa ujinga ukajipa muda kuusoma unawezaa kubadili muelekeo. JF kama social forum yabidi iwaweke watu kwenye mstari kama hivi. JF ya aina hii najivunia sana kuwa sehemu yake.

Umetukumbusha kitu muhimu sana. Wanawake tuna tabia ya kujipa haki na kusahau ku-appreciate wanaume walio katika maisha yetu. Ngoja nimspoil paw wangu wknd hii
Awwww thats a wonderful idea my lovely sister,Life is to live and live it to the fullest....Enjoy!!!
 
Umetukumbusha kitu muhimu sana. Wanawake tuna tabia ya kujipa haki na kusahau ku-appreciate wanaume walio katika maisha yetu. Ngoja nimspoil paw wangu wknd hii

Kweli kabisaaa.....tu maneno tudogo tu kama well done, am proud of you and keep going....you can achieve more....its not the end of the road akishindwa....basi anatoka home akiwa kifua mbele...lol....sasa umspoil PAW alafu ndio awe mkali hapa uone....lol
 
kwanza nimpongeze super woman Dr.Gourgeousmimi kwa thread nzuri pamoja na yote ameleta kitu cha tofauti chenye hadhi ya kujadiliwa na watu wenye akili na busara na kwa utulivu mkubwa.

pili, asante kwa kuleta upande mwingine wa shilingi kuhusu wanaume. daima sitabadili maneno ya kitabu kitakatifu.
kwenye comment yangu niliweka wazi kabisa kuwa thread inahusu wajibu wa mwanamke kwa mwanaume kama Dr alivyoiweka. Sija over look chochote na sina sababu ya kufanya hivyo. Umeamua kuongeza pale nilipoacha kuweka ni sahihi kabisa...ndio maana tuko JF, ni sehemu ambayo watu wanatoa maoni,na thread inakuwa na comment hata mia tatu,siwezi kumaliza kila kitu mimi na sifahamu kila kitu mimi.

Tatu,Suala la kufunguliwa na Bwana sio langu kulijadili,kila kitu kina nafasi yake na wakati wake. Ikimpendeza Mungu kuniongezea na hilo la kufunguliwa katika baraka nyingi alizonipa nitazidi kumshukuru.

Kama mwanamke nimefundishwa kujua wajibu wangu na kuusimamia ipasavyo,kwa uanamke wangu napaswa kumuomba au kumshukuru Mungu kwa mwanaume ambaye anaufahamu wajibu wake, na pale naposhindwa au yeye kushindwa basi tuchukuliane,tuvumiliane na tusaidiane kufanya maisha mazuri.

Mithali 14:1"Kila mwanamke aliye na Hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu hibomoa kwa mikono yake mwenyewe"

Mwisho: Naomba Gourgeous uwe unatuletea vitu vya aina hii....unajua ukijazwa ujinga ukajipa muda kuusoma unawezaa kubadili muelekeo. JF kama social forum yabidi iwaweke watu kwenye mstari kama hivi. JF ya aina hii najivunia sana kuwa sehemu yake.

I totally agree my dearest michelle this should be done much more often....Wanawake tujitambue tuone kama hatutoona wanaume wenye hadhi tunazozitaka,wapo chini ya pua zetu lakini hatuwaoni kwasababu tunajipumbaza kwa vitu ambavyo havina maslahi yoyote.
 
umeongea jambo jema mamy....ila jamani wanaume mkifanikiwa msiwasahau waliosaidia kwa namna moja au nyingine kwenye hayo mafanikio.......

So what!! I seduced election is over. Kampeni za nn na ushindi nshapata.

Wanawake wapo ambao tunawakomoa na ni makusudi. Kabla hujamtia mikononi mwako mnaringa sana, Maneno ya dharau na kutubatiza mimajina kibao.

Dawa ya mwanamke jeuri ni kumfanyia kitu hatasahau rest in life

Vitabu vya dini mnavikiuka
 
I totally agree my dearest michelle this should be done much more often....Wanawake tujitambue tuone kama hatutoona wanaume wenye hadhi tunazozitaka,wapo chini ya pua zetu lakini hatuwaoni kwasababu tunajipumbaza kwa vitu ambavyo havina maslahi yoyote.

Sasa Dr. nataka dawa,sijui twende kule kwenye ka-thread ketu ka magonjwa au iwe tu hapa....nina mgonjwa wangu ana tatizo ambalo kwa kiswahili sijui niliiteje ila kwa kiingereza tuseme inaiwa Excessive attention seeking and drama addiction....woi wengine wanaita attention deficit disorder?? sasa hii inamsababishia mahusiano mabovu sana....kuna dawa ya kitaalamu au basi iwe maombi tu??
 
Gourgeous please anza thread nyingine yenye mafunzo yenye hadhi kama haya....please! You are changing the world my gal....!! am proud...!!
And thats the plan to change the world girl,I´m strategized ...Another thread will be on air soon...Spreading all the love and wisdom around here :eyebrows::eyebrows::eyebrows:
 
Sasa Dr. nataka dawa,sijui twende kule kwenye ka-thread ketu ka magonjwa au iwe tu hapa....nina mgonjwa wangu ana tatizo ambalo kwa kiswahili sijui niliiteje ila kwa kiingereza tuseme inaiwa Excessive attention seeking and drama addiction....woi wengine wanaita attention deficit disorder?? sasa hii inamsababishia mahusiano mabovu sana....kuna dawa ya kitaalamu au basi iwe maombi tu??
Itabidi tumpeleke huyo mgonjwa wako kwa psycologist/shrink anahitaji ushauri wa kifikra.....na kama ameshaanza kupata anxiety(ile anajiona anapapatika hayupo in peace) sobril itamtuliza inbetween maana asije kuburn down the house buree... maombi pia yatasaidia my dear!God is always there for us!!
 
Itakuwa kazi sana kumkamata manake hajielewi kwanza kama ana tatizo na kuwa linatatulika.....unajua ile ugonjwa unakuua taratibu huku ukijivunia....critical stage aisee....anyway, ngoja tuone namna ya kumsaidia taratibu huku tukipanga tumpelekeje huko kwa wataalamu wa saikolojia.....aki-burn down the house kitaniuma sana manake nimejitoa kumsaidia....thanks Dr.
 
Sasa Dr. nataka dawa,sijui twende kule kwenye ka-thread ketu ka magonjwa au iwe tu hapa....nina mgonjwa wangu ana tatizo ambalo kwa kiswahili sijui niliiteje ila kwa kiingereza tuseme inaiwa Excessive attention seeking and drama addiction....woi wengine wanaita attention deficit disorder?? sasa hii inamsababishia mahusiano mabovu sana....kuna dawa ya kitaalamu au basi iwe maombi tu??

Hahahaaaaaaaaa! YOU CAN FOOL THESE PEOPLE BUT NOT ME!!!!!!!!! I know what i know!
 
Back
Top Bottom