To all good and hardworking men out there

To all good and hardworking men out there

sema kana ule ujuaji wa kibongo bongo kwamba anaandika au kuongea sana ndo anajua..na kuasume kama unishi kinondoni ni mjanja..ni tatizo maana mtu kuquote na kuweka nyuzi za kuprovork watu..ukipigwa unasema watu wanakufuatilia..na najiulza hivi mtu ukwa maarufu jf au social media izi inasaidia nini..yaani mtu kuwa maarufu jf inakusidia nini..? wabongo tuna safari ndefu sana...na reason nazisikia ni hizo oooho unaniuatilia ooh unanifanya maarufu..then what..? sijawahi ona ujinga hivi mkuu
ndo ujue ushamba sio kutoka shamba tu..hata mjini kuna washamba...na kuna tofauti kati ya ujinga na upumbavu mkuu..huu ni upumbavu...bora kuwa mjinga kuliko kuwa mpumbavu
 
sema kana ule ujuaji wa kibongo bongo kwamba anaandika au kuongea sana ndo anajua..na kuasume kama unishi kinondoni ni mjanja..ni tatizo maana mtu kuquote na kuweka nyuzi za kuprovork watu..ukipigwa unasema watu wanakufuatilia..na najiulza hivi mtu ukwa maarufu jf au social media izi inasaidia nini..yaani mtu kuwa maarufu jf inakusidia nini..? wabongo tuna safari ndefu sana...na reason nazisikia ni hizo oooho unaniuatilia ooh unanifanya maarufu..then what..? sijawahi ona ujinga hivi mkuu

Nafikiri nilooser flani hivi anayejipa matumaini......

Mfumo wake Wa maisha umekaa kitaarabu zaidi haya mambo nayaonaga kule Instagram kwa hawa maselebrite uchwara Wa bongo sasa chenyewe nacho kishajiona kimaarufu cha huku JF.hahahaha

Ukitaka kujua kama ichi kiburushuti hakina akili eti kinasema miaka yote watu wamekashindwa wamelose na yeye ndio mshindi na anaendelea kutambaa hahaha utafikiri kuna mashindano vile ....hapo ndio nagundua this is girls girls problem...
Kwa ujinga wake hajui hii ni sawa na mtu unaoga mtoni zen chizi anakuja kuchukua nguo zako unaanza kumkimbiza ili harudishe...sasa hapo chizi nani....ndio maana wenye busara unatulia tu haumkimbizi wala nini unamuacha tu chizi aondoke na nguo..sasa ukimuacha eti chizi anajiona mshindi....hahaha
 
Watanzania wengi huwa hatuna utamaduni wa kupima afya ya akili, lakini ukweli ni kwamba HIV inasababisha fungus ya ubongo na wale wadudu wakishapanda kichwani wanatafuna ubongo na unaharibikiwa.

Tujikinge na ukimwi ni ugonjwa hatari.
 
so touching watu wakiona wameishiwa hoja wanaanza ku attack mtu personaly sorry lara 1 and take it easy my dear
Wewe huna akili kichwani una kaswende ya ubongo.
At the least, I admire your confidence na misimamo. You always stand up to your word. Just that....
Nadhani kingereza kinanisumbuwa ila kama neno admire na confidence bado halijabadilishwa maana basi wewe ni Kenge kabisa na Omondi kabisa.
Mnajisikia raha gani mwenzenu anapoharibikiwa!?
 
Last edited by a moderator:
Watanzania wengi huwa hatuna utamaduni wa kupima afya ya akili, lakini ukweli ni kwamba HIV inasababisha fungus ya ubongo na wale wadudu wakishapanda kichwani wanatafuna ubongo na unaharibikiwa.

Tujikinge na ukimwi ni ugonjwa hatari.

Na hivi waamerica wegoma kutoa ARV'S za bure mbona hadi kufikia uchaguzi machizi watakuwa wengi....maana huku Pasada siwaelewi kabisa wanaachia tu wagonjwa sie...
 
SO!!!!!!!!!!!!!! Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa!:lol:
a person legally declared to be of unsound mind and who therefore is not held capable or responsible before the law :heh::heh::heh::heh::heh::heh:

Halafu seems like una dalili hizi hapa maana kila kukicha una badili id
Dissociative identity disorder (previously known as multiple personality disorder) is thought to be an effect of severe trauma during early childhood, usually extreme, repetitive physical, sexual, or emotional abuse.
 
When people around you change, you dont have to change too. You should keep your values above average. By the way, kufanya mambo mema inakufanya ujisikie vizuri. You do it foe yourself, utajisikia mtu bora sana. Hata kama mwenza wako anakufanyia mabaya mia, akufanya jema moja ukalisifia itampa moyo na atagundua hata wanawake wazuri bado wapo na wewe ni mmojawapo

Sense!
 
embu jisome tena..kama usipoon tatizo lako kesho wahi MNH dept. ya psychiatry watkuaidia..pole sana

Hahaaa! Mi tatizo sijaonaa zaidi ya nyie dogingi kunifata fata sijaonaa kwa kweli. Pole nyie mnojihangaisha na watu msiowajua. Na Kazi mnayooo. Kaka angu unajichoshaa tu. Maana ya kitu inaanzia maana anayopewa msemaji. Mimi maisha yenu hamnipi kunya wala pa kulala siwezi kuwaona Wa maana hata iweje na chochote utchoongea nakiona ovyo kama wewe msemaji. Upo hapo. Yaani ukisikia kiburi hapa ndo makao makuu.
We jichosheeee kuandika hapa ila nakuhakikishia hamna kitachobadilika. Mkitaka kunibadilisha anzeni kuninunulia bundle labda! Hahaaaa! Ila maneno yenu matupu hayavunji mfupa. Peaneni moyo hapa mkimaliza kojoeni mlale. Karibu Bia. Maneno yote mlioongea na bado via nimekunywa weekend hii. Hahaaaa! Kweli nyie fungu la kukosa.
 
a person legally declared to be of unsound mind and who therefore is not held capable or responsible before the law :heh::heh::heh::heh::heh::heh:

Halafu seems like una dalili hizi hapa maana kila kukicha una badili id
Dissociative identity disorder (previously known as multiple personality disorder) is thought to be an effect of severe trauma during early childhood, usually extreme, repetitive physical, sexual, or emotional abuse.

Hahaha! SASA WEWE KINACHOOKUUMA SANA NINI LABDA KWA MFANO? Nawashangaaaa! Mbona mnalazimisha kuwa relevant kwangu? Mbona Mimi sina mda mchafu Wa kujihusisha na chochote juu yenu? Hahahaaaa! NISHASEMA HIZO SHAURI ZENU SHAURIANENI NA WAKE ZENU WAWAPE TIGO KIDOGO MTAFAIDI. Hapa kwangu mnajishosha tuuu. Yaani mtahangaika mpaka mwisho Wa dahari hapa mmesanda.

Ni kama uingie ofsini afu mfagizi ajitie kutoa ushauri. Unampa tusi maisha yanaendelea kama hamna kilicho tokeaga. Ndo kama hivi nawapa mitusi afu basi. Ukichoka kutukanwa MIND YOUR BUSINESS.
 
Wewe huna akili kichwani una kaswende ya ubongo.

wewe mwenye akili umefanya kipi cha.maana zaidi ya kutukana mtandaoni shame on you

Hahaaa! We bull shit tu. Wanataka kukugeuza Simon Wa kirene kukubesha msalaba wangu.

Hawakupi kula wala pa kulala wanakusumbua nini kwa mfanoo.? Bundle ujiwekee bado wakupeleke peleke usiwape umuhimu wasiokuwa nao. Enjoy your weekend mwaya. Acha wafu wazike wafu wao.

Maneno hata kwenye khanga yapo. Ingekuwa maneno yanaua ningekuwa naoza sahivi.
 
lara 1 nashangaaa mtu anataka uandike kuwafurahisha wao ile comment ilikuwa special for you na mhusika umeielewa na kuijibu sasa hawa wengine sijui wametokea wapi from no where mtu anaanza ku attack?
I always write what my heart tells me but not to please others the so called wafu must note this
 
Hahaaaa! Mi si ndo mchawi wao! Wazoee tu twende nap hivo hivo. Huku nawakogesha matusi Kesho wakipost na like, ndo mambo ya binadamu tena hayooo.
IN THE END ONLY YOU DECIDES WHAT HAPPENS. They may shake you down but never let them dictate you what to do. ITS A FREE COUNTRY SINCE 1961. Utumwa Wa nchi nyerere aliukomboaa.
 
hahaha haukomboa umebugi meeen aliukomesha kabisa haupo tena lol hawa mi najua kuwahandle ni sawa na kelele za chura kwa tembo
 
Back
Top Bottom