Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,153
- 137,160
Watanzania wengi huwa hatuna utamaduni wa kupima afya ya akili, lakini ukweli ni kwamba HIV inasababisha fungus ya ubongo na wale wadudu wakishapanda kichwani wanatafuna ubongo na unaharibikiwa.
Tujikinge na ukimwi ni ugonjwa hatari.
Hata background ya mtu pia inaweza kuleta mushkili katika afya ya akili ya mtu na kuvuruga hisia zake.
Watu ambao walikuwa abused, hawakuonyeshwa upendo na wazazi ama walezi wao na kuambiwa maneno ya kutia moyo kama 'nakupenda', 'u mzuri', 'unaweza kufanya A, B, C' na kadhalika, madhara yake hujitokeza baadae maishani.
Na ndo tunayoyaona sasa kwa hiki kiendawazimu cha humu chenye maadaui kisiowajua, ambacho kikipuuzwa kinajitangazia ushindi, ukikipa 'Like' au rep comment inayo-disapprove kilichoandika kinakuwa overly excited na kuona eti umekifuata na hivyo kujiona ni cha maana.
I mean, angalia tu hata kinavyoandika. Kinachanganya changanya uppercase na lowercase pasipo hata na sababu za kueleweka. Hiyo ni dalili za mtu aliye disturbed mentally na emotionally.
Halafu hapo hapo kinaweka vi smilies hata vitano kwa mpigo tena vi smilies vilevile. Mark my words, ipo siku mtasikia ama kameanza kuokota makopo jalalani au kamejifanyia kitu mbaya na kamejidhuru kenyewe.
Ingawa kana hitilafu kwenye dome lakini bado nadhani kana akili za kutosha kujifanya ka mwamba humu tovutini tu maana kitaa huwezi kuwa na attitude kama hiyo halafu bado uendelee kupeta tu huku ukiwa na meno yote (hata kama ni ya njano).