TNMC kulipisha wanachuo 30000 ili waapewe coupon za kufanyia mtihani na bado tena mwanafunzi analipishwa 150,000 kufanya mtihani.. Hili ni Janga upigaji kila Kona
Baraza la wauguzi na wakunga TNMCS imeendelea kutuma taarifa za kuzisambaza kwa wakuu wa chuo kimya kimya ikiwataka wanachuo wanaotegemea kufanya mitihani Yao ya leseni kuanzia Desemba hii yaani 2023 kuhakikisha wanalipia 30000 ili waweze kupata coupon ya kufanyia mtihani kutoka chuoni , nje na pesa ambayo inabidi tena mwanachuo ailipie. Ili afanye mtihani wake waa leseni ambayo ni 150,000/=
Utaratibu huu umeeanza mwaka huu na unachochewa sana kwa wakuu wa vyuo bila ufafanuzi rasm kutoka katika website Yao ya TNMCIS
Jamani wizara husika msaidir vijana pesa ni ngumu sana hizi pesa za kutaka coupon mbona miaka ya nyuma haikuepo watoe 150,000 ya mtihani bado tena na 30,000? Mbona miaka ya nyuma walikuwa wanafanya bila kulipia hiyo pesa? Watu hawana mikopo hali ngumu ya maisha
Nini hasa kipya cha kufanya hivyo ?