Si bure...una lako jambo,Katiba ya tls inasemaje kuhusu Kiongozi wake anaposhindwa kutimiza majukumu yake kwa sababu za kiafya?
Je, kuna uchaguzi aka uteuzi mwingine utafanyika inakuwaje?

Si bure...una lako jambo,Katiba ya tls inasemaje kuhusu Kiongozi wake anaposhindwa kutimiza majukumu yake kwa sababu za kiafya?
Je, kuna uchaguzi aka uteuzi mwingine utafanyika inakuwaje?

Kesho atakuja na thread mbona lissu kaingia bungeni anachechemea....wanaweweseka vibaya..huyu kunasiku aliandika koment kuwa LISSU si wa kurudi leo wala kesho nikamshangaa sana
Kawe ww rais waoKatiba ya tls inasemaje kuhusu Kiongozi wake anaposhindwa kutimiza majukumu yake kwa sababu za kiafya?
Je, kuna uchaguzi aka uteuzi mwingine utafanyika inakuwaje?
Katiba ya TLS ilitayarishwa na wasomi si wanasiasa kama ya ccm....hilo halipo ataongoza makamu mpaka rais wake atakapoingia ofisini..Kiongozi wake sio mgonjwa, alijeruhiwa na wenye nia mbaya! Au ndio hao wenye kuhitaji nafasi yake itangazwe kuwa wazi ili waichukue?
Albadir hizo mkuu zinawajibika ipasavyo....Yeye sio Mungu...na ataaibika balaa
Ni shida yaani..anavyozidi kumuombea mabaya ndio TL anazidi Kubarikiwa zaidiAlbadir hizo mkuu zinawajibika ipasavyo....
Katiba ya tls inasemaje kuhusu Kiongozi wake anaposhindwa kutimiza majukumu yake kwa sababu za kiafya?
Je, kuna uchaguzi aka uteuzi mwingine utafanyika au inakuwaje?
Katiba ya tls inasemaje kuhusu Kiongozi wake anaposhindwa kutimiza majukumu yake kwa sababu za kiafya?
Je, kuna uchaguzi aka uteuzi mwingine utafanyika au inakuwaje?
Umeanza kukata mauno kweli albadir ni kwikwiKatiba ya tls inasemaje kuhusu Kiongozi wake anaposhindwa kutimiza majukumu yake kwa sababu za kiafya?
Je, kuna uchaguzi aka uteuzi mwingine utafanyika au inakuwaje?
inasikitisha sana aisee huyo jamaa sijui yupoje...Ana siasa za chukiunajuaje hapo anapoandika huu uzi sio half crazy siasa kitu gani mpaka umombee mwanadamu mwenzi kifo?
namchukia kuliko kimba la kitimoto huwa akili hana anajifanyaga kuandika mambo ya nje ya nchi ya kukopy na kupaste huku kichwani akiwa mweupee kwanza ngoja nimuweke kwenye group ya watu nawaignore akaungane na kina cocochanel hukoKati ya watu ambao siwapendi hapa JF ni pamoja na haka ka Dada! Huwa kanatoa pointi utafikri kamefunikwa maku kichwani!
Huyo ni mchicha mwiba wa lumumbainasikitisha sana aisee huyo jamaa sijui yupoje...Ana siasa za chuki
Mtoa mada katokea wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiKatiba ya tls inasemaje kuhusu Kiongozi wake anaposhindwa kutimiza majukumu yake kwa sababu za kiafya?
Je, kuna uchaguzi aka uteuzi mwingine utafanyika au inakuwaje?
Katiba ya tls inasemaje kuhusu Kiongozi wake anaposhindwa kutimiza majukumu yake kwa sababu za kiafya?
Je, kuna uchaguzi aka uteuzi mwingine utafanyika au inakuwaje?
Tena bila nguoWachawi wameshaanza kuwanga hadharani yani wakae wanawaza uchaguzi mtu yupo mahututi hospitali? Kwani kuna wakili aliyekuja kukulalamikia?