TLS bila Kiongozi mpaka lini?

TLS bila Kiongozi mpaka lini?

Ni jambo baya na mawazo mabaya ambayo ccm na viongozi wake wanawawazia wapinzani wao, lakini kila kenye mwanzo lina mwisho. Na ukipanda chuki utavuna chuki
Mungu hakusaidie sana
 
ALIYEPITA mlisema alisafiri sana nje ya nchi mara tezi dume, mara kuomba msaada,mara kuuza sura, mbona hamkutaka tuchague mwingine???

Kwenye hili tena mi naliita SHAMBULIO LA AIBU ndio mnamuhesabia siku MR LISSU???

NI BORA MUHESABU SIKU NGAPI KABLA HAJAWA RAIS WA JMT.....
hoyoooooooooooooooooo apone agomee tumpe kura za ndioooooooooo mzalendo pekee shujaa pekee historia imeandikwa
 
Katiba ya tls inasemaje kuhusu Kiongozi wake anaposhindwa kutimiza majukumu yake kwa sababu za kiafya?

Je, kuna uchaguzi aka uteuzi mwingine utafanyika inakuwaje?
Hiyo ndio imeshakwenda. Tundu Lisu kwa sasa ni mahututi hadi muhula wake uishe.
 
Wachawi wameshaanza kuwanga hadharani yani wakae wanawaza uchaguzi mtu yupo mahututi hospitali? Kwani kuna wakili aliyekuja kukulalamikia?
 
Mtu mwenye mawazo kama yako hashindwi kubeba bunduki akamcharaza mwenzie risasi.kuna watu mna roho mbaya dunia hii sjui mlizaliwaje.
 
Limwakyembe riritishia kukifuta na wewe una muunda wako!!
 
Mtoa post we na family yenu wote ni wachawi kabisa
 
Katiba ya tls inasemaje kuhusu Kiongozi wake anaposhindwa kutimiza majukumu yake kwa sababu za kiafya?

Je, kuna uchaguzi aka uteuzi mwingine utafanyika inakuwaje?
Ewe Mwenyezi Mungu muumba mbingu na dunia shusha pigo takatifu kwa kiumbe huyu ili ajifunze kwamba Mungu hadhiakiwi.

Nimeomba nakushuru Amen.
 
Katiba ya tls inasemaje kuhusu Kiongozi wake anaposhindwa kutimiza majukumu yake kwa sababu za kiafya?

Je, kuna uchaguzi aka uteuzi mwingine utafanyika inakuwaje?
Kasome katiba ya TLS
 
huyu kunasiku aliandika koment kuwa LISSU si wa kurudi leo wala kesho nikamshangaa sana
Ukamshangaaje mkuu si alisema ukweli? Kwani kamanda wetu Lissu uonavyo ww ni wa kurejea ktk mapambano siku za usoni?
 
Kweli yataka moyo wa chuma kuandika nyuzi nyingine. Kama hii! Dah! Sidhani kama imeandikwa na mtu bali Belzebuli mkuu wa mashetani.
Mwenzio yupo hoi, operesheni ya 15 mwili mmoja huo huo, leo unatamani urais wake wa TLS!! Thus us too much. Namshukuru Mungu hakunipa kauwezo. Ningeamuru bunduki ikufyatukie bila sababu nawe upelekwe nairobi, huku tumvizie mkeo.
 
Pumbavu, unadhani hakuna makamu na viongozi wengine waandamizi? Mavi ya ng'ombe weee
 
Katiba ya tls inasemaje kuhusu Kiongozi wake anaposhindwa kutimiza majukumu yake kwa sababu za kiafya?

Je, kuna uchaguzi aka uteuzi mwingine utafanyika inakuwaje?
Hapo ndio dozi ya albadir imeanza hadi mwaka unaisha mtajitaja kwa majina na kusagameno
 
Katiba ya tls inasemaje kuhusu Kiongozi wake anaposhindwa kutimiza majukumu yake kwa sababu za kiafya?

Je, kuna uchaguzi aka uteuzi mwingine utafanyika inakuwaje?
Katiba inasema hata kiongozi akishindwa kutimiza majukumu yake kwa sababu za kiafya hata kama ni miaka 100 ataendelea kuwa kiongozi..nadhani nimeshakujibu
 
Katiba ya tls inasemaje kuhusu Kiongozi wake anaposhindwa kutimiza majukumu yake kwa sababu za kiafya? Je, kuna uchaguzi aka uteuzi mwingine utafanyika inakuwaje?
Hapo sasa, kama vile maisha hayaendelei! TLS ishakuwa tawi la...
 
Back
Top Bottom