Mkuu hyo ni DAV DZ 350?miyangu nilinunuwa 880000 43 mwanza iko vizur sana ila sio smat maana simat naninyo sim
Mkuu hapa tutapona sasa?Yeah mi pia nina hakika ilo swala lazma lipo na mie nimeuziwa copy, sio original. Ubaya mi nilimtuma mtu anichukulie mzigo ila ningeenda physically ningeweza gundua hata kwa upigaji wake tu maana naujua mziki wake halisi.
Mzigo wa sony unapiga deep dynamic bass halafu nmekumbuka pia speaker yake ya subwoofer ina kitovu katikati ila haya ma copy hayana kitovu yapo flat. Pia hata ile logo ya Sony juu ya deki imekaa kishamba pia hamna stickers za kuonesha features kama bluetooth ready,dvix,5.1 channel av system n.k
Siku ya kwanza naifungua tu na kuinstall nitest nilijua tu hii sio Sony original. Ila nmeona ni usumbufu kuanza kurudi nyuma na mzigo wenyewe umetumwa kwa shida toka dar yani nikaona nipotezee tu. Inapiga kwa wastan, not that loud until niiboost na equalizer ya simu.
NB: Umefanya vema kufuatana na mtu anaezijua original sony. Kama tu kwa kutumia sikio lake anajua ku spot upi mziki Original na upi feki basi huyo sina shaka nae kabisa. Maana mziki wa hizo theatre ni outstanding. Yani ukiiskia sony OG ni tofauti kabisa na hometheatre zote ambazo unazifahamu. Sauti yake ni ya kipekee.
Nashauri usinunue sony isiotoka Malaysia mkuu. Fanya research tu nenda hata kwa dealers wa sony OG upate kusikia ile kitu OG kisha ingia madukani hapo mjini utaweza ku spot Original sound na feki. Ila maduka ya wahindi nadhani ndio wanazo za kutoka malaysia ambazo ndo OG fanya hivyo mkuu.Mkuu hapa tutapona sasa?
Nitafanya hivo mkuu..mana 700 kupotea hivi hivi sio poaNashauri usinunue sony isiotoka Malaysia mkuu. Fanya research tu nenda hata kwa dealers wa sony OG upate kusikia ile kitu OG kisha ingia madukani hapo mjini utaweza ku spot Original sound na feki. Ila maduka ya wahindi nadhani ndio wanazo za kutoka malaysia ambazo ndo OG fanya hivyo mkuu.
Yeah muhimu sana.Nitafanya hivo mkuu..mana 700 kupotea hivi hivi sio poa
Yeah, 32'hii yako ni smart au... nchi ngap
Huu ni upumbavu. Hizo inches " ni upana wa kioo sió kopo. Sasa iweje zote zíwe na 43" halafu ya TCL iwe kubwa.Tv za TCL ni nzuri na zina ubora. Halafu zina upana zaidi kuliko vipimo vya hizi TV nyingine.
Ukichukua Samsung 43” ukiweka na TCL 43”, TCL inakua na upana zaidi ya Samsung.
Mkuu nimenot kitu hapo. Umesema MKV inatumika kwenye piracy. HOW na ni format gani nyingine amabazo sio official recognized.mkuu nimecheki manual yake inakubali mp4, sony wanatengeneza movies hivyo sidhani kama watasuport format ambazo mara nyingi zinatumika kwenye piracy kama vile .mkv. jaribu kutafuta video converter then convert video hata moja iende mp4 ya kawaida yaani x264 then uangalie kama itaplay.
kuhusu audio pia test na mp3 yenye quality kubwa ya 320kbps uone still itakuwa na quality mbaya?.
manual yake utaipata hapa
Support for DAV-DZ650 | Downloads, Manuals, Tutorials and FAQs | Sony UK
na naona watu wengi wanasifia quality ya sauti ya hio hometheatre, umeifanyia configuration kwa usahihi chanell zote ziwe sawa?
Huu ni upumbavu. Hizo inches " ni upana wa kioo sió kopo. Sasa iweje zote zíwe na 43" halafu ya TCL iwe kubwa.
Nyie ndo huwa mnasema kati ya kilo ya manyoya ya kuku na kilo ya mawe kuwa kuwa kilo ya Mawe ni nzito
Mkuu ilikuwepo tangu 2014,,tatizo haikuwa inatangazwaUsiseme kwa ajili ya africa tu maana TCL kwa USA ndio brand inayouza sana baada ya LG,Samsunga na Sony. Huku bongo ukifatilia TCL haina zaidi ya miaka 3 toka wafanyabiashara waanze kuzileta.
Toa maelezo hapo. Iweje 43" ya TCL iwe kubwa kuliko 43" LG???Usione watu wengine wana akili ndogo kama wewe.
Toa maelezo hapo. Iweje 43" ya TCL iwe kubwa kuliko 43" LG???
Hizi ndio tunaita imani za kishirikina
Sifanyi utafiti wa kijinga na huku vipimo vinaonekana. Huo utafiti kafanye weweFanya tafiti, hizo imani za kishirikina mnazo uko kwenu.
Mkuu ilikuwepo tangu 2014,,tatizo haikuwa inatangazwa
Huenda jamaa amechanganywa kingo za kwenye T.V husika mkuu. Unajua wakati tv zinaanza toka hasa hizi LCD TV baadhi zilikuwa na kingo pana sana hasa Samsung series 4, LG, Sony Bravia.Huu ni upumbavu. Hizo inches " ni upana wa kioo sió kopo. Sasa iweje zote zíwe na 43" halafu ya TCL iwe kubwa.
Nyie ndo huwa mnasema kati ya kilo ya manyoya ya kuku na kilo ya mawe kuwa kuwa kilo ya Mawe ni nzito
Kaka nimekutana na TCL used imetoka US sidhani km ni kweli zimetengenezwa maalumu kwa Africa tu.LG ni international brand. TLC ni Chinese product kwa ajili ya Africa
Nicheki 0658 18 47 97 unapata mpya na free delivery kama upo dar. Mkoan tunatuma bureeAsante sana Meku mwisho wa mwezi naivuta chap sana...