Usiseme kwa ajili ya africa tu maana TCL kwa USA ndio brand inayouza sana baada ya LG,Samsunga na Sony. Huku bongo ukifatilia TCL haina zaidi ya miaka 3 toka wafanyabiashara waanze kuzileta.LG ni international brand. TLC ni Chinese product kwa ajili ya Africa
Karibu anytime kiongozi.Aminia kaka asante kwa ushauri mzuri.. nautafakar ntaufanyia kazi boss.. nashukuru
Ninatumia TCL 55' smart TV, pia ninayo TCL 32' ...ni TV imara, wapo vizuri, hata kwenye ubora wa picha, kuna mtu wa karibu nilimnunulia Bruhm 32' pia ipo vizuri sijaona tofauti na hizo LG, jamaa wamewekeza kwenye technology msiwachukulie poa ni world wide brand siyo kama tecno for africa
Sio LG tu mi nilikuwa natumia sony bravia nikaiona haina ishu ingawa bei yake ni mkasi nikaingia kwa tclMkuu usilinganishe lg na tcl, unakosea sana
Hahahah, uliuziwa sony bomu ww, sony bravia iwe mbaya kuliko tcl? Ngoja uchekweSio LG tu mi nilikuwa natumia sony bravia nikaiona haina ishu ingawa bei yake ni mkasi nikaingia kwa tcl
Anicheke nani ndugu wakati kitu nachotumia mwenyewe hakijajitosheleza, nimeelezea juu kuwa ilikuwa haisoma baadhi ya mafile ma ilikuwa haina uwezo wa kusoma external hdd yenye uwezo mkubwa sasa hata kama ungekuwa ni wewe ungefanyeje?Hahahah, uliuziwa sony bomu ww, sony bravia iwe mbaya kuliko tcl? Ngoja uchekwe
inategemea na model na model, hapo umefananisha smart tv ya TLC na tv ya kawaida ambayo probably ni ya kizamani ya sony. lazima TCL atashinda. ila ukipata sony yenye Android TV nayo itaplay kila kitu utakachoitupia.Anicheke nani ndugu wakati kitu nachotumia mwenyewe hakijajitosheleza, nimeelezea juu kuwa ilikuwa haisoma baadhi ya mafile ma ilikuwa haina uwezo wa kusoma external hdd yenye uwezo mkubwa sasa hata kama ungekuwa ni wewe ungefanyeje?
Natumia LG ya Mtumba inch 32 mwaka sasa iko safi kabisaKama mtu ameshawah tumia angalau miez 6 atupe feedback... tusije nunua tukajuta
The creation life (TCL) ni bora zaidi hata kama huna decoder unawez tumia antenna ina mfumo wa (DTV) free to air,bei ni cheap kuliko LGyani nimegoogle hilo jina results zote za Kitanzania tu. itakuwa ni re brand, kuna mtu kaenda china kanunua tv kaeka jina lake.
hata LG, samsung na watengeneza tv wengine wanayo hio feature. karibia tv zote siku hizi zinakuja na built in king'amuzi.The creation life (TCL) ni bora zaidi hata kama huna decoder unawez tumia antenna ina mfumo wa (DTV) free to air,bei ni cheap kuliko LG
Hilo takataka nakupa miez 6, kuna mtoto Wa chuo sasahiv anatafuta mteja baada ya kulipeleka kwa fund, yapo ma subufer yake na radio kichaa kabisa no kikampuni kinacho anza kiko pale kkooMie nilinunua aboder 32nch sijui itakuwaje mie niliipenda make kioo cha nje ni kigumu tofauti na hizi nyingine ambazo kuna karatasi ngumu
Mkuu hio ni takataka ipo pale kkoo jamaa anatoa China direct, wamachinga waziuza sana cos cheapyani nimegoogle hilo jina results zote za Kitanzania tu. itakuwa ni re brand, kuna mtu kaenda china kanunua tv kaeka jina lake.
Naomba ushauri kwa wenye expirience kutumia TLC tvs ziko vipi zinadumu? na quality yake vp na kama zinausumbifu...
zinaeza kuizidi lg kwa ubora ntashukuru sana.
Namjua huyo muuzaji TV,,, nataka nifumbe macho nkanunue Samsung 40'... Hvii inawezekana kumshusha bei?Hela nyingi sana hio, nenda amazing lifestyle kwa 1.7 wanakuuzia hio tv. Mi nilinunua TCL nchi 49 smart tv na sony home theatre kwa pamoja january mwanzoni vyote kwa 1.8m
Mkuu hiyo ilikua defective,Anicheke nani ndugu wakati kitu nachotumia mwenyewe hakijajitosheleza, nimeelezea juu kuwa ilikuwa haisoma baadhi ya mafile ma ilikuwa haina uwezo wa kusoma external hdd yenye uwezo mkubwa sasa hata kama ungekuwa ni wewe ungefanyeje?
Takataka? Hiyo ni lugha ya kuudhi.Mkuu hio ni takataka ipo pale kkoo jamaa anatoa China direct, wamachinga waziuza sana cos cheap