MwanaDiwani
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 5,536
- 2,268
Kwani umeona mahala popote jamaa amelalamika kuwa ni KULA KULALA kama wewe?? Njaa yako na kukosa biashara kwako wewe ni kwa sababu ya uvivu na upuuzi wako wa kutojishugulisha. Wenzio wametambua umuhimu wa ukombozi wa nchi yao kutoka kwa mkoloni mweusi CCM, wewe bakia na umaskini wako
Nyani haoni kundule!.
Hata wewe michango yako hapa niya kivivu na kutokushughulisha akili yako kupanuka kifkra ili upate hekima na busara.
Endelea na uvivu wako wa kufikiri nchi bado iko chini ya koloni la mweusi.
