Tizama tawi letu la CHADEMA

Tizama tawi letu la CHADEMA

mshikachuma

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
2,853
Reaction score
638
image.jpg

Tumechangishana,tumethubutu na hatimae tumeweza...hili ndiyo tawi la Chadema mtaani kwetu.

Je,wewe mwenzangu mtaani kwenu mnakitu kama hiki? Na kama hamna je mnasubiri nini?
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    340.9 KB · Views: 535
Tuko kwenye finishing ya mwisho kuelekea siku ya ufunguzi wa tawi letu.

Karibuni sana!
 
Badala mchangishane mfungue biashara nyinyi mnajenga hako kakibanda? Kweli waafrika tuna akili za mkopo, naamini akili zenu mtakuwa mmerejesha kwa aliye wakopesha by now. Dah!!
 
Hongereni! Ila naona mlango wa mbao upo juu juu kama vile suruali fupi !!!
 
Safi sana. Mungu awajaalie kheri, ili mchukue mitaa yote, kata zote na hilo jimbo, kisibaki kitu ccm
 
Badala mchangishane mfungue biashara nyinyi mnajenga hako kakibanda? Kweli waafrika tuna akili za mkopo, naamini akili zenu mtakuwa mmerejesha kwa aliye wakopesha by now. Dah!!

Kwani umeona mahala popote jamaa amelalamika kuwa ni KULA KULALA kama wewe?? Njaa yako na kukosa biashara kwako wewe ni kwa sababu ya uvivu na upuuzi wako wa kutojishugulisha. Wenzio wametambua umuhimu wa ukombozi wa nchi yao kutoka kwa mkoloni mweusi CCM, wewe bakia na umaskini wako
 
Mtaani kwangu huwezi kukuta tawi la CHADEMA. Kila mtu anaichukia hiyo CHADEMA, wanasema ni chama cha kusaidiana cha watu wa Kaskazini.

Wachaga tuna kitu tunaita vyama (vikundi) vya ukoo vile vya kusaidiana wanaUkoo wakati wa shida na raha sasa wanahisi CHADEMA ni chama cha kusaidiana koo zote za Kilimanjaro.
 
Hongereni sana, CCM wakae chonjo maana ofisi na majengo yote iliyojengwa enzi za chama kimoja lazima vitarudishwa serikalini...mark my word...
 
Mtaani kwangu huwezi kukuta tawi la CHADEMA. Kila mtu anaichukia hiyo CHADEMA, wanasema ni chama cha kusaidiana cha watu wa Kaskazini.

Wachaga tuna kitu tunaita vyama (vikundi) vya ukoo vile vya kusaidiana wanaUkoo wakati wa shida na raha sasa wanahisi CHADEMA ni chama cha kusaidiana koo zote za Kilimanjaro.
Ikifika tar 5 mwezi wa 6 ukiwa sawa chinja kondoo.
 
Kweli kama hazimo hazimo kabisa, kwa hiyo hiyo michango ya kujenga tawi umewafadhili wewe au unafikiri wamezoa kama mchanga tu bila kuwa na kitenga uchumi? Acha ulo.fa wahi kwa Nape upewe T-shirt na buku tano ukacheze ngoma.

Badala mchangishane mfungue biashara nyinyi mnajenga hako kakibanda? Kweli waafrika tuna akili za mkopo, naamini akili zenu mtakuwa mmerejesha kwa aliye wakopesha by now. Dah!!
 
Badala mchangishane mfungue biashara nyinyi mnajenga hako kakibanda? Kweli waafrika tuna akili za mkopo, naamini akili zenu mtakuwa mmerejesha kwa aliye wakopesha by now. Dah!!

Biashara tutafungua baada ya kupata mabilioni ya JK. Vp mwenzetu umeshapata?
 
Kamanda mshikachuma, Hongereni sana , Huu ni Mfano wa Kuigwa kwa Kweli.

Makamanda wenzangu, Mzito Kabwela a.k.a Mzito K, Mtoto Wa Mbale Hanipha Musri Ulukolokwitanga, Ta Muganyizi Kyamkwikwi
Naona Vijana wa Lumumba washaingia Kazini, wanatfutaga Thread kama hizi, waingilie kati, wa Deviate Mjadala na Kupoteza Lengo.
Then Jion wapeleke Feedback Lumumba ili wapate Mkate wao wa Leo.
Tusipoteze Muda Kujibizana nao, sie tuendeleeni Kujadili Umuhimu na Namna ya Kuboresha CHAMA.
Mkuu mshikachuma, please ni inbox MPESA number yenu nichangie kidogo kwenye Finishng
 
Last edited by a moderator:
Badala mchangishane mfungue biashara nyinyi mnajenga hako kakibanda? Kweli waafrika tuna akili za mkopo, naamini akili zenu mtakuwa mmerejesha kwa aliye wakopesha by now. Dah!!

Mbona humshauri raisi wako aache kwenda kuchangisha na kupiga magoti kwa wazungumwasaidie bajeti...kaaibikamjuzi kaenda holland kapokelewa na waziri..shame
 
Back
Top Bottom