mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
- Thread starter
- #41
Some where ndani ya Mbezi near Rainbow Club kama unapandisha njia ya rami kuelekea Tangibovu (katikati hapo)hapo kwenu ni wapi tuje kujifunza?. mia
Some where ndani ya Mbezi near Rainbow Club kama unapandisha njia ya rami kuelekea Tangibovu (katikati hapo)hapo kwenu ni wapi tuje kujifunza?. mia
Kama wewe unavyoliwa na NapeAma kweli wajinga ndio waliwao.
Mtaani kwangu huwezi kukuta tawi la CHADEMA. Kila mtu anaichukia hiyo CHADEMA, wanasema ni chama cha kusaidiana cha watu wa Kaskazini.
Wachaga tuna kitu tunaita vyama (vikundi) vya ukoo vile vya kusaidiana wanaUkoo wakati wa shida na raha sasa wanahisi CHADEMA ni chama cha kusaidiana koo zote za Kilimanjaro.
Ahsante sana! Kwani mabadiliko ni kama Nature' Hayakwepeki.hongereni makamanda
Kama sikosei hapo kijijini kwenu kutakuwa na misitu mingi sana, na lazima kutakuwa na changamoto kama vile za madawati, vitabu na vitanda kwenye wodi za hospitali.
Mngeweza kuitumia hiyo pesa mliyo changa kujengea hata madawati, vitanda kwa ajili ya matumizi ya zahanati na hata kununulia vitabu kwa ajili ya vijana wetu kujisomea, angalau mchango wenu kwa jamii ungeonekana.
Ila sio kusimamisha kibanda hiko ili na nyinyi mpate posho tu na kujipendekeza kwa Mbowe ili awajue kama mnaipenda SACCOSS ya mzee Mtei.
"HAKIKA WATANZANIA TUKISHIKAMANA KWA PAMOJA, TUTAWEZA KUIJENGA NCHI"
Msemo huo hapo juu hauwezi kutekelezeka kama kuna watu wenye fikra kama za mleta mada, tujitahidi kushiriki kwa hali na mali kuiendeleza Tanzania yetu, na sio kuiendeleza CHADEMA maana ina wafadhili kutoka nchi za magharibi, ukombozi wa nchi yetu ulishapatikana tangu mwaka 1961, kilichobaki ni kuijenga nchi.
Hakika umemuuliza maswali ya msingi sana! Unajua huyu SUMU na Ritz wa JF hawa jamaa wanachukia watu wa kaskazini hasa hasa wachaga...na sijui kwanini wanakuwa na fikra kama hizi.Niliwahi kukuuliza swali na bahati mbaya hukulijibu.Naomba nikuulize tena safari hii yapo matatu au manne:
1.Wachagga walikufanyia nini kiasi kwamba umekuwa na chuki nao?
2.Mchagga hastahili kuwa mwanasiasa au mwanachama wa chama cha siasa?
3.Mchagga hana haki yakuwa mwanzilishi wa chama cha siasa?
4.Wachagga walioko CCM ni pia wanachama wa CHADEMA?
Mwisho rudi kwenye katiba ya nchi na pia maelekezo ya vyama vya siasa,hala fu ukamuulize Tendwa ni kwa nini CDM ni chama cha siasa na siyo chama cha ukoo kama ulivyoweka bandiko lako linalochochea ukabila.
Mkiambiwa CCM ni wachochezi mnakataa sasa hebu lisome vizuri bandiko lako halafu uone kama wewe siyo mkabila.
Umeishajaribu pia kukikagua kitengo cha Dr.Slaa cha mitandaoni au macho yako mboni zake zimefungwa upande mmoja.Mfano hai wa Kazi za Vijana wa Lumumba
Join Date : 23/March/2013
Leo ni 28/April/2013
Average ni kama una 35 Days Hapa JF
Total Number of Posts ni 409
Ukichukua Average, Simple Maths, Total Post/ Days in JF = 409/35 is approximately 11
Thats is to Say,Kwa Wastani, kwa siku una post JF kama mara 11.
Sasa Content ya Thread zako ndo zinatia Kichefu chefu
Good work
cc Nape Nnauye
KANU ya Kenya,CCM ya Zambia,Gadaffi na Hosni Mubarak walikuwa na wapambe na wafia ufisadi kama wewe.Kama sikosei hapo kijijini kwenu kutakuwa na misitu mingi sana, na lazima kutakuwa na changamoto kama vile za madawati, vitabu na vitanda kwenye wodi za hospitali.
Mngeweza kuitumia hiyo pesa mliyo changa kujengea hata madawati, vitanda kwa ajili ya matumizi ya zahanati na hata kununulia vitabu kwa ajili ya vijana wetu kujisomea, angalau mchango wenu kwa jamii ungeonekana.
Ila sio kusimamisha kibanda hiko ili na nyinyi mpate posho tu na kujipendekeza kwa Mbowe ili awajue kama mnaipenda SACCOSS ya mzee Mtei.
"HAKIKA WATANZANIA TUKISHIKAMANA KWA PAMOJA, TUTAWEZA KUIJENGA NCHI"
Msemo huo hapo juu hauwezi kutekelezeka kama kuna watu wenye fikra kama za mleta mada, tujitahidi kushiriki kwa hali na mali kuiendeleza Tanzania yetu, na sio kuiendeleza CHADEMA maana ina wafadhili kutoka nchi za magharibi, ukombozi wa nchi yetu ulishapatikana tangu mwaka 1961, kilichobaki ni kuijenga nchi.
KANU ya Kenya,CCM ya Zambia,Gadaffi na Hosni Mubarak walikuwa na wapambe na wafia ufisadi kama wewe.
Lakini jiulize leo wako wapi? Wamesambaratika wote kwanzia watawala hadi wapambe wao'sembuse CCM ya Bongo?
Mkuu, Mabadiliko ni kama Nature...hayakwepeki. Mark my word!
Badala mchangishane mfungue biashara nyinyi mnajenga hako kakibanda? Kweli waafrika tuna akili za mkopo, naamini akili zenu mtakuwa mmerejesha kwa aliye wakopesha by now. Dah!!
Wametuita kwa zaidi ya miaka 50 na tumechangia sana na kutoa idea zetu...lakini hadi leo hakuna chochote zaidi ya kutupatia maumivu tu na misongo ya mawazo.Wakiitwa kwenye shughuli za maendeleo wanasusa wakidhani wanaikomoa serikali...
Kweli ndege wafananao huruka pamoja na kweli losers like to stay together, naona kwenye huo mtaa watu wenye uelewa unaofanana juu ya hali ya siasa nchini mmeamua kujikusanya sehemu moja. Endeleeni hivyo hivyo till when you realize that you are outliers.Mtaani kwangu huwezi kukuta tawi la CHADEMA. Kila mtu anaichukia hiyo CHADEMA, wanasema ni chama cha kusaidiana cha watu wa Kaskazini.
Wachaga tuna kitu tunaita vyama (vikundi) vya ukoo vile vya kusaidiana wanaUkoo wakati wa shida na raha sasa wanahisi CHADEMA ni chama cha kusaidiana koo zote za Kilimanjaro.
Wakiitwa kwenye shughuli za maendeleo wanasusa wakidhani wanaikomoa serikali...
Wametuita kwa zaidi ya miaka 50 na tumechangia sana na kutoa idea zetu...lakini hadi leo hakuna chochote zaidi ya kutupatia maumivu tu na misongo ya mawazo.
Kwahiyo solution ndio kujenga kijengo cha hadema?