mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
- Thread starter
- #61
CCM ilizaliwa,ikakuwa,ikaishi maisha ya raha na tabu,imezeeka na sasa inakufa. Hutaki unaachaHv hujuwi ccm ni zaidi ya hvy vyama? CCM na ANC ni kitu ingine bhana na kama huamini omba afya njema ufike 2014 cyo 2015 utaona mambo na hutaamini unachokiamini maishani mwako. Kaa vivyo hivyo ulivyo ulipo hapo