Tizama tawi letu la CHADEMA

Tizama tawi letu la CHADEMA

Mtaani kwangu huwezi kukuta tawi la CHADEMA. Kila mtu anaichukia hiyo CHADEMA, wanasema ni chama cha kusaidiana cha watu wa Kaskazini.

Wachaga tuna kitu tunaita vyama (vikundi) vya ukoo vile vya kusaidiana wanaUkoo wakati wa shida na raha sasa wanahisi CHADEMA ni chama cha kusaidiana koo zote za Kilimanjaro.

Kwahiyo na wewe ni mtu wa kaskazini? mbona hauko chadema sasa?
 
safi sana hawa ndiyo vijana wa CHADEMA wanavyoonesha inawezekana big up
 
hongeleni sana, popote penye nia ujue njia ipo na mabadiliko ya kewli huanzia nyumbani. Kama kila mpenda maendeleo atajiunga na hizi harakati za ukombozi mlizozionyesha hakika halita salia jiwe juu ya jiwe mwaka 2015. makamanda msikate tamaa japo safari ni ngumu. ukizitambua haki zako hutokuwa muoga.
 
Back
Top Bottom