Yeah mkuu, hapo umenena vema, kimfano hata hii jf ukiitumia kwenye dark mode huwa chaji haisumbui, watu wengi wqnatumia display vibaya, unakuta mwanga wa dsply utadhani mtu kawasha tochi! Vibration kwenye touch pad na notifications! Na kingine kikubwa kuna app nyingine ambazo kwa wakati flan huhitaji kuzitumia lakini zipo kwenye cm na zinakula chaji, nenda setting, Disable app yeyote unayoona kwa muda flan hauhitaji kuitumia betri yako itaishi vzr. Mimi huwa sizimi data na ninatumia sim kuamzia asubui mpaka ninapoenda kulala mida ya 5 au 6 usiku"