Titizo la kuisha chaji mapema

Shadrack K. Lwila

JF-Expert Member
Jul 17, 2016
4,925
14,285
Wakuu wanajf habar zenu

Hope mko poa simu yangu ni samsung galaxy j3 (6) inatatizo la kuisha chaji mapema yaani inachelewa kujaa (fully charged) na inaisha mapema sana nimejaribu kubadir chaji nyingine lakini tatizo likopalepale wakuu msaada wenu please

Shedede
 
Kuna simu zinaitwa infinix
Kwenye chaji sijapata ona ila inaweza isikidhi mahitaji kama ya kina mkwawa sijui mediatek(ambazo wanaona zina low performance) na nini nini huko ambayo kiujumla yanakunywa chaji na kumlazimisha mtumiaji kuchaj simu yake kila wakati au baada ya masaa machache
 
Yani acha tu. Ni ugonjwa wa wengi huu sio ww tu....Heb jaribu imagine smart phone inayo last a week without recharging.

Au zenye automatic solar charger.
 
Samsung ndio walipo feli, kwenye chaji wajipange upya!
umetumia samsung ipi?

samsung ni moja ya makampuni yanayoeka battery ndogo zinazokaa na chaji sana, mfano series zao za A za 2017 zinakaa sana na charge japo battery zake ni ndogo.

hii ni A3 ya 2017 ina 2350mah tu lakini angalia inavyokaa na charge
galaxy-a3-2017.jpg

unakuta mtu anatumia samsung ya miaka 5 au 6 iliopita na kulalamika simu haikai na charge, au kachagua perfomance over battery life.
 
Wakuu wanajf habar zenu

Hope mko poa simu yangu ni samsung galaxy j3 (6) inatatizo la kuisha chaji mapema yaani inachelewa kujaa (fully charged) na inaisha mapema sana nimejaribu kubadir chaji nyingine lakini tatizo likopalepale wakuu msaada wenu please

Shedede
nenda setting halafu battery hebu angalia nini inakula sana charge? eka screenshot au maelezo ya unachokiona.
 
Kuna simu zinaitwa infinix
Kwenye chaji sijapata ona ila inaweza isikidhi mahitaji kama ya kina mkwawa sijui mediatek(ambazo wanaona zina low performance) na nini nini huko ambayo kiujumla yanakunywa chaji na kumlazimisha mtumiaji kuchaj simu yake kila wakati au baada ya masaa machache
Iyo simu anatumia mshana jr ngoja aje atueleze
 
Sio kweli.
Me mbona nimetumia A8 now S7 hakuna matatizo hayo??
Tatizo kununua simi bila kuangalia specs...
Ukinunua simu nunua yenye betri kuanzia 3000mAh na kuendelea na uendelee kufurahia maisha.
Mkuu simu yangu ina mAh2600 lakini sasa ikiwa fully charged naitumia 5 hour betry low kabisa au matumiz yangu mabovu ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom