abudist
JF-Expert Member
- Oct 25, 2009
- 854
- 784
Yaani simu nyingine ni za kufyatua kama za China etc..Ingawaje ni Samsung lakini haijatengenezwa na original manufacturer. Hivyo zitakusumbua tu hata ukibadilisha charge, cha msingi ni kununua simu ingine bora mkuu.Yaani quality kiaje mkuu?