Heshima yako bibi aiseee upo deep na haya mambo... nakupenda sana.. AminSababu kubwa ya meli ya Titanic kuzama ni kufuru.
Walioitengeneza meli hiyo walikufuru kwa kusema hii meli ni "unsinkable" ikimaanisha kuwa "haizami" wala "haizamishwi".
Hawakuishia hapo, walifikia hadi kukufuru kuwa hata "Mungu hawezi kuizamisha".
Mengine yatabaki kuwa ni stori tu, Mwenyezi Mungu akawaonesha kuwa Yeye pekee ni muweza wa kila kitu.
Kumbuka kuwa hata jina Titanic ni kufuru pia, linamaanisha mfano wa "Mungu" ambae hashindwi katika hilo alilotarajiwa.
Mwenyeezi Mungu akawaonesha asiyeshindwa ni Yeye pekee, asiyezaa wala kuzaliwa.
Mpaka leo cjapata jibu sahihi kuhusu kuzama kwahiyo meli kubwa dunia kuzama na kwanini waokoaji walichelewa kuja kuokoa watu na kupelekea watu wengi kupoteza maisha.
Unaweza kuona ni bahati mbaya lakini mambo ya Mungu yako kiroho zaidi mwanadamu hawezi kuona au kutambua kwa akili yake ndogo aliyopewa na huyohuyo Mungu.Kama umemdhihaki Mungu wewe kwa uelewa wako ulitaka Mungu afanye nini ili ujue kuwa umemchukiza!ACHENI porojo
Melissa hii ilipita bahati mbaya karibu na iceberg ikaweka tundu likaingiza maji mpaka ikazidiwa
Wee si umeangalia movie, sasa wenzako wamesoma kama hujui kaa kimya kabisa.ACHENI porojo
Melissa hii ilipita bahati mbaya karibu na iceberg ikaweka tundu likaingiza maji mpaka ikazidiwa
Sababu kubwa ya meli ya Titanic kuzama ni kufuru.
Walioitengeneza meli hiyo walikufuru kwa kusema hii meli ni "unsinkable" ikimaanisha kuwa "haizami" wala "haizamishwi".
Hawakuishia hapo, walifikia hadi kukufuru kuwa hata "Mungu hawezi kuizamisha".
Mengine yatabaki kuwa ni stori tu, Mwenyezi Mungu akawaonesha kuwa Yeye pekee ni muweza wa kila kitu.
Kumbuka kuwa hata jina Titanic ni kufuru pia, linamaanisha mfano wa "Mungu" ambae hashindwi katika hilo alilotarajiwa.
Mwenyeezi Mungu akawaonesha asiyeshindwa ni Yeye pekee, asiyezaa wala kuzaliwa.
Kweli nzi angeacha ufala angetengeneza asali safi kabisa.Sababu kubwa ya meli ya Titanic kuzama ni kufuru.
Walioitengeneza meli hiyo walikufuru kwa kusema hii meli ni "unsinkable" ikimaanisha kuwa "haizami" wala "haizamishwi".
Hawakuishia hapo, walifikia hadi kukufuru kuwa hata "Mungu hawezi kuizamisha".
Mengine yatabaki kuwa ni stori tu, Mwenyezi Mungu akawaonesha kuwa Yeye pekee ni muweza wa kila kitu.
Kumbuka kuwa hata jina Titanic ni kufuru pia, linamaanisha mfano wa "Mungu" ambae hashindwi katika hilo alilotarajiwa.
Mwenyeezi Mungu akawaonesha asiyeshindwa ni Yeye pekee, asiyezaa wala kuzaliwa.
Kjiama kuna ck umewahi kuifanya kwa kila kiungo ni leo
Kweli nzi angeacha ufala angetengeneza asali safi kabisa.