Mimi sio TISS MM wewe
Tiss hawa recruit mafala kama mimi [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu[emoji23]Naona we upo stand unawachora tu na kasimu kako ka nokia
Sio kweli nini mkuuSio kweli
Sio kweli nini mkuu
ndio mimi si mmoja wao chief hawa recruit watu kama mimi ndugu yanguSentesi ya pili
Ila TISS ni mfumo tu wa malipo ya kibenki tanzania kama sikoseiWakuu.
Poleni na ugonjwa huu wa #covid19.Hili nalo litapita tu.Tuzidi kumuomba Mungu na kuchukua tahadhari.
Hawa watu wa intelijensia Tanzania,TISS,wanapataje watu wao? Sababu sijui kama kuna utaratibu wa kujiunga nao moja kwa moja.Kuna mtu aliniambia kuwa wenyewe ndo wanafuata watu na sio watu kuwafuata wao.Kama hiyo nadharia ni ya kweli,wanaangalia vitu au vigezo gani kuwapata watu wanaowahitaji?
Na pia ningependa kufahamu kama wana watu wao nchi zilizoendelea za dunia ya kwanza kama US,UK,Japan n.k.
Tusaidiane ujuzi,Asanteni.
#ChukuaTahadhari.
#StaySafe.
Haya maswali Dr Shika ana majibu tatizo siku hizi amepoteaWakuu.
Poleni na ugonjwa huu wa #covid19.Hili nalo litapita tu.Tuzidi kumuomba Mungu na kuchukua tahadhari.
Hawa watu wa intelijensia Tanzania,TISS,wanapataje watu wao? Sababu sijui kama kuna utaratibu wa kujiunga nao moja kwa moja.Kuna mtu aliniambia kuwa wenyewe ndo wanafuata watu na sio watu kuwafuata wao.Kama hiyo nadharia ni ya kweli,wanaangalia vitu au vigezo gani kuwapata watu wanaowahitaji?
Na pia ningependa kufahamu kama wana watu wao nchi zilizoendelea za dunia ya kwanza kama US,UK,Japan n.k.
Tusaidiane ujuzi,Asanteni.
#ChukuaTahadhari.
#StaySafe.
Acha utotoSawa utapata
Mk54
Huyo angekuwa na maelezo mazuri sana.
Ni Taasisi ya Intelijensia na ujasusi Tz
Ila wanaziishi hela kama wafalme....Hiyo ni Kazi ya Kitumwa achana nao nayo!
.
Nenda pale osterbay ulizia ofisi zao zilipo ingia ndani ukiwa na kadi ya ccm waambie nimekuja kujiunga na wasiojulikana.
Baada kutoka huko utakuja unishukuru