Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,311
- 40,128
Na uwezo mkubwa wa akili sio kufaulu wao hata cheater anaweza kuwa wa msaada kwao kuliko 1st grade student
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana kabisa na sisi tunafundishwa techniques tu kipindi hakichukui mda mrefu kwani ukiulizwa ukasema nipo na. note wadeni wangu ni ajabu?Walikufundisha kwa muda gani hadi ukaanza kazi? Sasa inakuwaje unatake note kuhusu nini labda? na wateja wako wakikuona una take note unawaambiaje? Si lazima wataona ajabu
Kama mama Swalehe yupo vizuri usitie hofu nipo mimi mdogo wa wadogo wote humuhaya sasa wahuni wangu tuendelee sio lazima uyaamini haya by the way so usiniulize swali sintojibu, maana people listen to what they want to hear
hatua ya pili ni development sasa hapa afisa hata haja enda "shambani"
hatua hii inaweza kuchukua muda mfupi kutegemea na mambo kadhaa au yaweza kuchukua muda mrefu pia hadi hapo taasisi inakua haijafikiria kama imwajiri au laah huyo afisa Bali hufanya ufuatiliaji wa maendeleo pia " Vetting"
Hii ni process ndefu na ina gharama sana maana ina involve kujua nje ndani tabia ya afisa unajua hata kuchana kwako nywele, way unavolala, mwendo wake hujulisha tabia zako
Sasa kutokana na gharama kubwa unaweza ona umuhimu wa ku spot watu wakiwa tu mashuleni, kuepusha gharama kufuatilia mtu mzima ni kazi sana Itamaanisha kufuatilia watu wengi zaidi, yaani network yake nzima ya huyo mtu si ufala huu [emoji28] kazi ngumu mnooooo
matokeo ya jumla ya vetting ndo yataamua ajira ya afisa mtarajiwa nmesema matokeo ya jumla sababu hata akiajiriwa afisa huendelea kufanyiwa ufuatiliaji na mwajiri wake kwa muda wa utumishi wake pengine hadi pale atakapaoaga dunia hata ukitaka kuoa vetting hufanyika deep one
katika nchi zlzoendelea mfumo wa vetting huendana na teknohama tofauti na nchi zetu hzi za afrika ambazo mfumo wa kudhibiti taarifa za watu ni duni au haupo kabisa
lakin vetting inayotumia watu na tech huwa ni bora sana na nzuri mnoo, mtu anaweza gundua uongo wa mtu pale anapomhoji etc etc , assume wewe ni jasusi unatakiwa umrecruit jasusi kwenye nchi ya mwenzako hehe hehe hapa ni hatari [emoji51][emoji16]
tuachane napo
Sasa wa nafanyaje mpaka wakikufuata uskatae maana ni ngumu sana kukataa kazi hyo ( wapenda ujiko[emoji23]) au kwa nini watu wanavutiwa na fani ya watu ya ushushushu
moja kuna sheria YA CEMI NA RASCLS
CEMI ina maansha : coercion na compromise, ego na excitement, money, na Ideology
eehh mi nmechoka kutype niishie hapa
nikitekwa mtanitafta, kwanza nani atamlea Swalehe nikitekwa ndo naendelea [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm uwe na Genes za CCM hasa mzee au mama...Wakuu.
Poleni na ugonjwa huu wa #covid19.Hili nalo litapita tu.Tuzidi kumuomba Mungu na kuchukua tahadhari.
Hawa watu wa intelijensia Tanzania,TISS,wanapataje watu wao? Sababu sijui kama kuna utaratibu wa kujiunga nao moja kwa moja.Kuna mtu aliniambia kuwa wenyewe ndo wanafuata watu na sio watu kuwafuata wao.Kama hiyo nadharia ni ya kweli,wanaangalia vitu au vigezo gani kuwapata watu wanaowahitaji?
Na pia ningependa kufahamu kama wana watu wao nchi zilizoendelea za dunia ya kwanza kama US,UK,Japan n.k.
Tusaidiane ujuzi,Asanteni.
#ChukuaTahadhari.
#StaySafe.
Achana kabisa na sisi tunafundishwa techniques tu kipindi hakichukui mda mrefu kwani ukiulizwa ukasema nipo na. note wadeni wangu ni ajabu?
Natumia code's mkuu kama na andika ala za music za Roman zile dolemi n.kHua una take note kuhusu ishu gani? Sasa utasema unarekodi wateja kwani watakuwa hawaoni unacho andika?
wee mama swalehe kanikimbi kitambo mbonaKama mama Swalehe yupo vizuri usitie hofu nipo mimi mdogo wa wadogo wote humu
Natumia code's mkuu kama na andika ala za music za Roman zile dolemi n.k
Hapo sina utaalamu mkuu coz sijawahi kupita huko.Mega kidogo boss, mtu anawezajke ku-take note bila kujulikana ana take note? Mfano akiwa kwenye mkusanyiko au kijiweni kwake
Duuuh sasa nani anakutolea mahasira yako mkuu ukitoka kwenye yale mawaya utadhani DJ omy anasikiliza nyimbo ya Mond baba laoππππwee mama swalehe kanikimbi kitambo mbona
Naona we upo stand unawachora tu na kasimu kako ka nokiaAisee...
mawaya yapiDuuuh sasa nani anakutolea mahasira yako mkuu ukitoka kwenye yale mawaya utadhani DJ omy anasikiliza nyimbo ya Mond baba laoππππ
ππππRASCLS Ni kifupi cha maneno Reciprocation (kurejesha fadhila)
Authority (mamlaka), scarcity ( uhaba) commitment na consistency , liking na social proof
ntaelezea kwa uchache na haraka
Mfano authority, mtu anapofwata na kuambiwa anatakiwa ni ngumu kukataa sababu mamlaka sio tu tunaziogopa Bali pia tunaziheshimu, hivyo taasisi inapomvaa mtu humjengea taswira ya kwamba wao wana mamlaka makubwa hali hii hufanya mlengwa easy tu kukubali
pili scarcity ( uhaba) sababu kazi ya taasisi ya Usalama kuwa za nadra siku zote kitu chenye uhaba huwa na thamani sana kitu adimu huvutia watu wengi sababu hakipatikani kwa urahisi watu wengi sana mnatamni kwenda idarani [emoji28][emoji23] na wengine kujifanya maskini mwee [emoji28]
Na wengine kutapeliwa
kwenye likings hapo kwenye maisha tu nawapenda wanaotusaidia na kututhamini , katika kumshawishi taasisi inaweza ikajenga mazingira ya kumshawishi mhusika kwa kujenga mazingira ya kufa hamu mapendekezo ya mtarajiwa huyo na kisha taasisi kuyapenda mapendekezo sasa ukiona dah natahaminiwa basi "tiari"
mwisho kuhusu social proof " uthibitisho wa kijamii" afisa mtarajiwa huambiwa juu juu lakini baadhi ya mazuri yanayofanywa na mashushushu katika kuokoa jamii na kusaidia jamii, kuzuia matukio ya kigaidi kuilinda jamii yake
Hii hufanya afisa mtarajiwa kuona kazi hio ni tukufu na ina mchango mkubwa kwa usalama wa taifa hvo kukubali
wanataaluma wa ushushu husema RASCLS ni njia bora kuliko CEMI
SASA wakuu hii kazi ya hawa jamaa ni ngumu imegubikwa na shida, fear. giza nene
unaletewa taarifa kuna ugaidi unataka ufanyike hujui jinsia yuko wapi na ni nani
Sio rahisi kama unavoona kwenye muvi , maisha ya usiri sana
hutakiwi umwambie hata afisa mwenzako mambo yako yaani kufa kivyako kuna kitu kinaitwa " constant vigilance of an officer"
kukanwa na nchi yako au kujitoa uhai pale inapotakiwa ni mambo ya kawaida
Ningeeleza Jus ad bellom na Jus in Bello ila niishie hapa maana yote nlyo andika huko juu ni uongo [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
upendo wa MUNGU KWAKO WATOSHAππππ
Sawa lazima ucheze game kipindi hiki cha likizo bila ridhaa, ila ngoja corona iishe hadi mtu unatamani kusingizia leo naumwamawaya yapi
anyway nacheza ps4na mwanangu , movie , kusoma vitabu , mpira napika nalala
Ameenupendo wa MUNGU KWAKO WATOSHA