Tisini na tisa

Sarafu ya moja (kwetu shilingi moja) huwa haifutwi.
Kwa hapa kwetu ni kuwa haitumiki katika mzunguko wa pesa (acha mizunguko ya kielekronic) kutokana na kuporomoka kwa thamani yake, kwani kuitumia ni kubeba mzigo usi na lazima ndiyo maana zimeondolewa kwenye mzunguko.
Kuhusu hiyi Tisa tisini na tisa, ni matokeo ya kuitafsiri hela yetu kutoka kwenye USD.
Hutaipata mkononi ila kama unafanya electronic transaction unaweza kuipata kwenye account yako.
 
aiseee sikulijua hili,ahsante mkuu!
 
Hizo ni mbwembwe za kibiashara tuuu.. Unajiongeza na hako kamoja unapata kitu kamili..
N:B KAMA WEWE MTATA UNAWAPA 150,000 THEN UNAWAKOMALIA WAKUPE CHANGE YAKO
 
ndo nasaka hela nikanunue hiyo simu,nitadai chenji yangu aisee.
 
Back
Top Bottom