Tisini na tisa

Heee sasa km wangu hajapatikana hadi sasa ntafanyaje?
Bora tukose wote.....
Hivi hujamuona kabisa leo?
Hahaha! nimecheka mpaka kidogo nianguke kwenye kiti,asante Erick ntakulipia kiburudisho Ambiance ijumaa kwa jinsi ulivyonifurahisha lol!
 
Hahaha! nimecheka mpaka kidogo nianguke kwenye kiti,asante Erick ntakulipia kiburudisha Ambiance ijumaa kwa jinsi ulivyonifurahisha lol!
Hahahaaaaa sawa aiseee
Nshaanza kusinzia....
See you...maana huwa sichelewi kulala na simu yangu mkononi!
 
Wala isikusumbue! Na kichwa kisikuume , kuitafuta hiyo mi9.
Mi9 yote hiyo ni mbwebwe na manjonjo ya biashara , hapo maana yake price ni kilo na nusu tu. Ama 149.500/- si vinginevyo .
 
Wala isikusumbue na kichwa kisikuume , kuitafuta hiyo mi9.
Mi9 yote hiyo ni mbwebwe na manjonjo ya biashara , hapo maana yake price ni kilo na nusu tu. Ama 149.500/- si vinginevyo .

basi wana mbwembwe nyiingi yani mee inanichosha kweli
 
Back
Top Bottom