Tisini na tisa

@kaby nimependa unavyompa Erick vidonge vyake manake amezidi uzushi.


@ Erick husband kapumzika kidogo, anasema kama umeleta ile hela alokukopesha mpe kaby.
Heeeee
Hela yenyewe jero....lol
kudhalilishana sitaki
 
Ishia hapohapo labda unamuongelea mtu mwengine huyu Kaba hana tabia hizo unazosisema hapa,thubutu eti umfanye kitu ? dogo angalia tu usifanywe wewe kitu lol!
Kuhusu small hausi ukiwa na mtu kama Kaba huwezi waza mambo hayo maana she is the complete package,kama una mawazo ya small hausi ujue mahusiano yenu na mwenza wako yana mapungufu.

Teh km unampenda mkeo utanisikiliza.
 
Back
Top Bottom