Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,159
- Thread starter
- #21
Napita..
unaenda wapi?kuitafuta hiyo sh.moja?
Napita..
mhh yatakushinda wee mwanaume,yah mee mzima amy anaendeleaje?
Hahahahaaa!!!Ipo....
Kwani we ushawahi kusikia kuwa Shilingi moja haitumiki?
niliitumia enzi za mwalimu na kwa sasa imepotea kabisa hata haina thamani mdogo wangu
Hahahahaaa!!!
Mtoto una visa wewe!!!
Amy hajambo alikuwa Dubai ndo karudi leo...
Anakusalimia sana
Hahahahaaa!!!
Mtoto una visa wewe!!!
Teh teh siunajua huyu Kaby ukimwambia
30-0 jibu atasema 3
khaaa hiyo kali jamani,,hivi unaanzaje anzaje?
si ndo jibu au??
Napita..
My wi naona unapita kuanda msosi wa usiku msalimie braza
Hawakuamini!!!!!
Hahahahahaaaaa
nimekumbuka ile calculator yako haina 0
Teh kamwazime bagah
jamani lol,hata hivyo sijavisit pande za church longi kweli BW
Hi beb hiyo ni mbinu ya kibiashara wanayotumia wafanyabiashara wengi e.g. 99,999/- badala ya 100,000/-.
Ni mimi nayepatikana hapa uporoto@kabakabana.mtotomzuri.com
Hi beb hiyo ni mbinu ya kibiashara wanayotumia wafanyabiashara wengi e.g. 99,999/- badala ya 100,000/-.
Ni mimi nayepatikana hapa uporoto@kabakabana.mtotomzuri.com
Braza wako kamtosa ila SL hajajua bado....ila usimwambie
Halafu umekimbilia pande ipi uje nikuonyeshe 1
umemuandama huyo bagah mnamshare amy nini? Kalkuleta yangu inatumia juisi kuoperate.