Tishio la Mende Majumbani

Tishio la Mende Majumbani

Kutakua na uchafu wa mabaki ya vyakula vyakula hapo kwako boss ndio yanaowaleta hao mende.
 
Hao wadogo wanaitwa mende sharobaro dawa yao weka ile kitu wanaita mayai ya mende nividawa vyeupe hivi zamani watu walikuwa wanaweka masandikuni na makabatini. Weka chini ya makabati chini ya fridge nyma ya compresor na popote walipo yaani hiyo kitu hawaipendi nakwambia watafungasha wote. Usiweke ndani ya fridge manake harufuyake inaingia kwa vyakula
 
Attachments

  • 20181223_161713.jpg
    20181223_161713.jpg
    151.7 KB · Views: 43
Habari wadau!

Tafadhali mwenye kujua dawa au suluhisho la mdudu mende tafadhali naomba anisaidie maana kila kukicha mende ndani wanaongezeka licha ya kupiga dawa kila mara ukiwa na moyo mdogo unaweza hisi wametumwa. Viko vijimende vidogovidogo na mibaba yao yaani ndani hakuna amani tena.

Nimegundua siko peke yangu wengi tunapata shida hiyo.

Tafadhali msaada.

Kumbe unamzungumzia mende mi nilifikiri Membe nilitaka kuchangia hoja. Nalog off.
 
Habari wadau!

Tafadhali mwenye kujua dawa au suluhisho la mdudu mende tafadhali naomba anisaidie maana kila kukicha mende ndani wanaongezeka licha ya kupiga dawa kila mara ukiwa na moyo mdogo unaweza hisi wametumwa. Viko vijimende vidogovidogo na mibaba yao yaani ndani hakuna amani tena.

Nimegundua siko peke yangu wengi tunapata shida hiyo.

Tafadhali msaada.
Pole sana mkuu. Kuna nyumba nilikuwa naishi ilikuwa na mende wengi balaa ila nilipata dawa moja hiv ya unga ni nzuri sana coz nilipohama nao nilihama nao wengi huwa wanajificha kwenye meza hada za jikoni. Ni dawa ya unga unga inaua had mayai. Tafuta ipo kwa wauza sumu za panya
IMG_20180427_191205.jpeg
 
Nishatumia hiyo mkuu naishia kukutana nao tu. Kama ukizima taa dakika mbili tu ukaweka mfano kitambaa cheupe kwenye kochi ukijawasha utadhani maua..dooo! Hatare tu.
I can imagine.... Haipendezi kabisa.... Hao wanaojipanga kama maua.... Waweza sema wametumwa .....
 
Tumia dawa zinazo tengenezwa mtaa,zinauwa vzr sana kikiko rungu,hit nk.
 
Puliza HIT ni dawa ya mbu. Inaua Kila kitu. Puliza Sasa kila sehemu uvunguni kwenye Kochi, kabati n.k baada ya nusu saa lete marejesho.
Kwako mtoa mada. Hili ndio jibu la tatizo lako. HiT ndio kiboko ya mende. Pulizia jioni moja tu kesho yake utaniambia.
 
Habari wadau!

Tafadhali mwenye kujua dawa au suluhisho la mdudu mende tafadhali naomba anisaidie maana kila kukicha mende ndani wanaongezeka licha ya kupiga dawa kila mara ukiwa na moyo mdogo unaweza hisi wametumwa. Viko vijimende vidogovidogo na mibaba yao yaani ndani hakuna amani tena.

Nimegundua siko peke yangu wengi tunapata shida hiyo.

Tafadhali msaada.
Acha kupika, watakosa msosi wahame, usiwe chakula chochote.
 
tumia ngao dawa ya mbu koroga maji chupa mbili kwenye beseni halafu chukua fagio nyunyizia maji yenye ngao maeneo yao utaona wanakufa wengi halafu wanatoka mafichoni wenyewe wanakufa tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom