Tishio la Mende Majumbani

Tishio la Mende Majumbani

Habari wadau!

Tafadhali mwenye kujua dawa au suluhisho la mdudu mende tafadhali naomba anisaidie maana kila kukicha mende ndani wanaongezeka licha ya kupiga dawa kila mara ukiwa na moyo mdogo unaweza hisi wametumwa. Viko vijimende vidogovidogo na mibaba yao yaani ndani hakuna amani tena.

Nimegundua siko peke yangu wengi tunapata shida hiyo.

Tafadhali msaada.

Wewe utakua wale watu wachafu unajaza makorokoro ndani .. dawa ya Mende toa matakataka yote piga dawa zile za wadudu then fanya usafi utakaa utasahau mamende
 
Habari wadau!

Tafadhali mwenye kujua dawa au suluhisho la mdudu mende tafadhali naomba anisaidie maana kila kukicha mende ndani wanaongezeka licha ya kupiga dawa kila mara ukiwa na moyo mdogo unaweza hisi wametumwa. Viko vijimende vidogovidogo na mibaba yao yaani ndani hakuna amani tena.

Nimegundua siko peke yangu wengi tunapata shida hiyo.

Tafadhali msaada.
Hapo ni Dar?
 
*****************

Updates!

Aisee naomba niwape mrejesho wa mende walionisumbua hadi nikakosa amani. Baada ya maoni ya wadau nikajitosa Kariakoo nikakutana na dawa moja ya maji kwa ajili ya "famigesheni" inaitwa Lava.

Kiukweli baada ya kuja kupiga ile dawa ndani nimewazika mende wa kutosha sasa sina wasiwasi tena. Kitu kinaua hadi Mbu.

Asanteni sana wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom