Lete michongo, idd el haj ilikuwa vipi pande zako, me kawaida sana kama kawa sijawa na mtoko leo. nimechil na JF, pamoja na kuperuzi mambo mengine.
Gud day people.
Lete michongo, idd el haj ilikuwavipi pande zako, me kawaida sana kama kawa sijawa na mtoko leo. nimechil na JF, pamoja na kuperuzi mambo mengine.
Gud day people.
Lete michongo, idd el haj ilikuwa vipi pande zako, me kawaida sana kama kawa sijawa na mtoko leo. nimechil na JF, pamoja na kuperuzi mambo mengine.
Gud day people.
mtoko wangu nilienda shamba nimeeudi na bamia na papai.nasasa
nimetulia hom tu.lakini nawaona watu shaz wanaelekea ufukweni.
mimi sina mzuka wakutembea kabisaaaaa.