Tips-jinsi ya kusafisha uke

Tips-jinsi ya kusafisha uke

Nilitaka nikuulize khs hivyo vifundo ambavyo huna uhakika.
Basi tuyaache.

Kama unavyojua uke kwa ndani ni mlaini ss unapoweka dole nakuanza kulizungusha wangosha unakua unatengeneza hvyo vifundo ni kama uchukue unga uliokandwa kwa ajili ya chapati upitishepo kidole lazima utaweka makunyanzi I can say something like kuvilia damu ss basi lile limtwangio likija likigusa hivyo vifundo ndo mwanzo wa michubuko dada
 
Kwanini dudu haitengenezi vifundo?
(Japo hata kwa kidole sijaonaga)
 
Kama unavyojua uke kwa ndani ni mlaini ss unapoweka dole nakuanza kulizungusha wangosha unakua unatengeneza hvyo vifundo ni kama uchukue unga uliokandwa kwa ajili ya chapati upitishepo kidole lazima utaweka makunyanzi I can say something like kuvilia damu ss basi lile limtwangio likija likigusa hivyo vifundo ndo mwanzo wa michubuko dada

Hapa nimekupata vizuriii
 
namwaka sasa siingizi dole kumani na nipo safii,

fanya ivi,
1.ukienda kuoga chuchumaa chukua kitambaa laini na sabuni.
2.paka kitambaa sabuni na kiloweshae na maji.
3.pitisha kwenye K . hadi kwenye 07 yani fanya kama unaosha au unasugua kwa kutoa uchafu.
4.chukuwa maji safi osha ukiwa hivyo hivyo umechuchumaa

usisahau wakati wa kukojoa uwe unaenda na maji safi au WET WIPES.Nakuhakikishia hautakaa unuke papuchi.
 
Ok safi sana Maana kuna Baadhi sisi wanume huwa tunapigwa kibuti kwa kusema ukweli
 
na harufu huwa zinasababishwa na nini ? maana mtu unapanda nae daladala unasikia kbs harufu ya faragha ya kike
 
Back
Top Bottom