Tips-jinsi ya kusafisha uke

Tips-jinsi ya kusafisha uke

Akitumia ndimu au limao kusafisha uke hayo matunda ni kemikali?
Maana sifa kuu ya hiyo mimea inafanya uke kuwa kama bikra mzigo unasinyaa hata kama umezaa watoto 8
Hehehee mpwa unafanya nini huku?

Ukiweka ndimu havitanasana kama wale mahawara?

Ngoja nikaanzishe sredi ya jinsi ya kuusafisha mtarimbo bana....
 
babu leo tuanzie hapa ? hvi huwa tunaanza kuosha mwiko au sufuria?
 
Fidel80, hebu kanasue walionasana kule, tuachie mada yetu tufundishane sie!

Tayari wamesha nasuliwa jamaa kikojoleo kipo hoi sasa sijui huyu mwanamke iliyo nasia ndani asafishaje uke wake? Maana nikama siku 3 hivi hogo la jang'ombe linakohoa tu ndani
 
k inajisafisha yenyewe automatically .inayo hadi ac ndani
 
Thanks, somo zuri. Ila kujisafisha na vidole inawezekana ila ni kuhakikisha vidole ni visafi havina uchafu, usitumie kemikali kujisafisha inaleta madhara makubwa sana
 
Ukishika kinyesi mikono unatumia nini kuisafisha?
 
Thanks, somo zuri. Ila kujisafisha na vidole inawezekana ila ni kuhakikisha vidole ni visafi havina uchafu, usitumie kemikali kujisafisha inaleta madhara makubwa sana
thax kwa ushauri my dia
 
Hebu nijuzeni jamani, gal wangu sikuhizi nikiingiza2 mashine analia anasema anaumia. Mwanzo alikuwa haumii ila sasa2po mbali nae 2naweza 2sionane hata miezi 3. Anasema nikiingiza anaona kama nakata na kisu vile. Je itakuwa anasumbuliwa na nini?
 
Sidhani kama ni sahihi kutumia matunda kama ndimu au limao kujisafisha uke kwani yale matunda ni makali mno na yanaweza kusababisha michubuko sehemu za ukeni.

Kwani unayasokomeza mpaka yachubue? Wataalamu wanasisitiza kutumia vitu vya asili
 
Hebu nijuzeni jamani, gal wangu sikuhizi nikiingiza2 mashine analia anasema anaumia. Mwanzo alikuwa haumii ila sasa2po mbali nae 2naweza 2sionane hata miezi 3. Anasema nikiingiza anaona kama nakata na kisu vile. Je itakuwa anasumbuliwa na nini?
nadhani nakuwa na haraka kama kuku .humuandai vya kutosha.usiwe na haraka ya kumuingilia muandae kwanza deep kises,mahugs ya kufa mtu nk penetration iwe baada ya dkk 20 au na zaidi
 
Dk. 20 zote anasubiri nini? huyo demu nae anatakiwa aje amejiandaa mwenyewe-muda wa kupoteza uko wapi watu wanakimbizana na maisha!
 
Back
Top Bottom