Tips-jinsi ya kusafisha uke

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
Kutokana na kuongezeka kwa matatizo ya sehemu za siri kwa wanawake wengi, huku kukiwepo na masomo ya kupotosha yanayosababishia wanawake wengi kutumia madawa yanayozidi kuwaletea matatizo, nimeona leo niwapeni tips muhimu jinsi ya kuweka eneo hilo muhimu salama.

Naombeni na wadau wengine mtoe ushauri wenu.

Thanks wadau.

MASWALI PIA YANARUHUSIWA.

Join me here..

===========

Maoni kutoka kwa mdau:

- PRISHAZ: ''Kitu naweza kusema ni kuwa, wakati wa kusafisha uke haitakiwi kuweka kemiko yoyote nikimaanisha sabuni, uke unajisafisha wenyewe hauitaji msaada wa chemicals''.

Kweli kabisa alivyosema mdau hapo juu
. Kutumia CHEMICALS pia sio sahihi kuoshea K. K haina tofauti na koo, kinachotakiwa kusafishwa kwenye K ni hapo juu juu tu, na K ina uwezo wa kujilinda sana.. Kila kinachoingia ukenini kama shahawa hutoka automatically baada ya muda fulani..

Hivyo ndiyo ilivyo, japo kuna baadhi ya watu hushauri kuosha na maji ya baridi, sijui moto, kuweka shabu, kuoshea asali nk,, lakini yote hayo mimi kama mimi siruhusu kwani nilisoma somo maalum kiafya na kuelewa zaidi.... Unaweza kuosha k yako kwa tumuima aina fulani ya kusex endapo basi unapenda kujitia kidole.

Swali: Kutoa utoko kwa kidole ukeni kuna madhara gani?

Jibu: Kuingiza kidole sio njia sahihi kwa maana kwamba kile kidole unachotumia sio kisafi na kinaweza kuwa na bakteria, na kuosha k kwa kuingiza kidole na kutoa ule ute ute ulioko ndani ya k, au wengine nimesikia wakiita ni utoko sio sahihi.

Utoko kama haunuki sio ugonjwa. K imetengenezwa na maji maji ambayo ni salama na ni maji ambayo huleta ulinzi kuweza kupambana na vijidudu.. Na wanawake wengi ambao huwa na utoko basi ni wale tu ambao, huosha sana k zao kwa kuingiza kidole sana, na kuuua baadhi ya walinzi ukeni.

Wagonjwa wa kisukari, pia huwa na huo utoko, wajawazito pia huwa na huo utoko, kwa maana kwamba kuna baadhi ya cellz ambazo hufa kutokana na sababu tajwa hapo awali.

Swali: Je, kwa mwanamke aliye bikra atawezaje kuingiza kidole na kujisafisha?
 
Kutokana na kuongezeka kwa matatizo ya sehemu za siri kwa wanawake wengi ,huku kukiwepo na masomo ya kupotosha yanayosababishia wanawake wengi kutumia madawa yanayozidi kuwaletea matatizo nimeona leo niwapeni tips muhimu jinsi ya kuweka eneo hilo muhimu salama
naombeni na wadau wengine mtoe ushauri wenu.thax wadau
join me here
Wape ujuzi watu mbona hujasema lolote?
 
ndio love .ukiwa na chochote pia we can share

ooooh,kitu naweza kusema ni kuwa, wakati wa kusafisha uke haitakiwi kuweka kemiko yoyote nikimaanisha sabuni,uke unajisafisha wenyewe hauitaji msaada wa chemicals
 
Akitumia ndimu au limao kusafisha uke hayo matunda ni kemikali?
Maana sifa kuu ya hiyo mimea inafanya uke kuwa kama bikra mzigo unasinyaa hata kama umezaa watoto 8
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom