Tips-jinsi ya kusafisha uke

namwaka sasa siingizi dole kumani na nipo safii,

fanya ivi,
1.ukienda kuoga chuchumaa chukua kitambaa laini na sabuni.
2.paka kitambaa sabuni na kiloweshae na maji.
3.pitisha kwenye K . hadi kwenye 07 yani fanya kama unaosha au unasugua kwa kutoa uchafu.
4.chukuwa maji safi osha ukiwa hivyo hivyo umechuchumaa

usisahau wakati wa kukojoa uwe unaenda na maji safi au WET WIPES.Nakuhakikishia hautakaa unuke papuchi.


Siku hizi wanawake wengi wana huo ugonjwa wa kunuka papuchi zao ni kwanini yani kama chemba ya choo sijui ni uchafu au ugonjwa
 
Njia pekee salama na safi ya kusafisha KIPAPA ni kujikanda kama waliojifungua. Chemsha maji yatokote kisha yaache yapoe kiasi ili mvuke upungue ukali hafu yaeke katika ndoo ndogo kisha ikalie ukiwa umepanua mapaja na kuhakiki mvuke unaingia KU3aNI. Utaona uchafu ukitoka na yale maji ya mvuke uliojaa ndani.

Epuka kujieka vidole ndani sana maana unaosokomea uchafu ndani zaidi. Hata katika mda wa kuheshimiana hakiki hupigwi finger yote na kila baada ya tendo kunywa maji mengi ili ukojoe na kusafisha njia.

*mleta uzi yaonekana ni kiazi, toka lini bikra akijisafisha uke kama hapigwi miti. By the way bikra wote wana shombo ya mikojo maana hawajajua thamani ya uchi na namna ya kuufanya umvutie mwanaume.
 
Kutokana na kuongezeka kwa matatizo ya sehemu za siri kwa wanawake wengi, huku kukiwepo na masomo ya kupotosha yanayosababishia wanawake wengi kutumia madawa yanayozidi kuwaletea matatizo, nimeona leo niwapeni tips muhimu jinsi ya kuweka eneo hilo muhimu salama.

Naombeni na wadau wengine mtoe ushauri wenu.

Thanks wadau.

MASWALI PIA YANARUHUSIWA.

Join me here..

===========

Maoni kutoka kwa mdau:



Kweli kabisa alivyosema mdau hapo juu
. Kutumia CHEMICALS pia sio sahihi kuoshea K. K haina tofauti na koo, kinachotakiwa kusafishwa kwenye K ni hapo juu juu tu, na K ina uwezo wa kujilinda sana.. Kila kinachoingia ukenini kama shahawa hutoka automatically baada ya muda fulani..

Hivyo ndiyo ilivyo, japo kuna baadhi ya watu hushauri kuosha na maji ya baridi, sijui moto, kuweka shabu, kuoshea asali nk,, lakini yote hayo mimi kama mimi siruhusu kwani nilisoma somo maalum kiafya na kuelewa zaidi.... Unaweza kuosha k yako kwa tumuima aina fulani ya kusex endapo basi unapenda kujitia kidole.

Swali: Kutoa utoko kwa kidole ukeni kuna madhara gani?

Jibu: Kuingiza kidole sio njia sahihi kwa maana kwamba kile kidole unachotumia sio kisafi na kinaweza kuwa na bakteria, na kuosha k kwa kuingiza kidole na kutoa ule ute ute ulioko ndani ya k, au wengine nimesikia wakiita ni utoko sio sahihi.

Utoko kama haunuki sio ugonjwa. K imetengenezwa na maji maji ambayo ni salama na ni maji ambayo huleta ulinzi kuweza kupambana na vijidudu.. Na wanawake wengi ambao huwa na utoko basi ni wale tu ambao, huosha sana k zao kwa kuingiza kidole sana, na kuuua baadhi ya walinzi ukeni.

Wagonjwa wa kisukari, pia huwa na huo utoko, wajawazito pia huwa na huo utoko, kwa maana kwamba kuna baadhi ya cellz ambazo hufa kutokana na sababu tajwa hapo awali.

Swali: Je, kwa mwanamke aliye bikra atawezaje kuingiza kidole na kujisafisha?
Vile vimjamaa vyeupe ndo utoko nini??.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom