Ting waingia mitini

twatwatwa

JF-Expert Member
Sep 19, 2011
2,067
419
Hawa jamaa wameingia mitini hawapatikani tena kwenye sateliti walisema wanafanya marekebisho. Marekebisho gani hayo leo siku ya 6 naona wametutapeli kama gtv wabongo tumeliwa na mchungaji
 
Kuwa mvumilivu mkuu. I trust the best you can do ni kupiga customer care na kuwahoji wakueleze vizuri. Otherwise usijeaibika wakirejea na huduma kabambe baada ya marekebisho. Waulize tu mkuu, and let us know.
 
Kweli nashangaa signal yao imepotea kabisa, walinisidia sana kuipata chanel 10
 
Kuwa mvumilivu mkuu. I trust the best you can do ni kupiga customer care na kuwahoji wakueleze vizuri. Otherwise usijeaibika wakirejea na huduma kabambe baada ya marekebisho. Waulize tu mkuu, and let us know.
hawana lolote! watu wanataka burudani wao wanatangaza dini, nani atakaa muda woote kuangalia channels za dini tu. kwa upuuzi ule walio nao wapotee tu hata ving'amuzi vyao tumesha tupa jalalani.
 
Ting walikuwa wanadaiwa na Network provider wao,sizani kama wataurudi hewani.poleni wapendwa!
 
heeee jana tu nimelipia nikawasiliana nao wakasema watafungua mpaka leo hawajafungua hata huyo mtu hajajibuu khaaaa, hii sasa balaa
 
Mjini mipango,ukitapeliwa nawe tafuta wa kumtapeli kama uwezo unao na maisha yanaenda kama kawaida.
 
hawana lolote! watu wanataka burudani wao wanatangaza dini, nani atakaa muda woote kuangalia channels za dini tu. kwa upuuzi ule walio nao wapotee tu hata ving'amuzi vyao tumesha tupa jalalani.

Una haki ya kuongea. Ila ukiwahujajiandaa, basi ni bora ukae kimya
 
heeee jana tu nimelipia nikawasiliana nao wakasema watafungua mpaka leo hawajafungua hata huyo mtu hajajibuu khaaaa, hii sasa balaa

Yaani wamesitisha huduma hawajasitisha upokeaji wa mkwanja? LOL!
 
Back
Top Bottom