escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,472
- 2,867
mtani umepagawa, tunaongelea msimu wa 2020/21. halooooo amkaaaKwenda kiwanjan haimaanishi kwamba ndo una mashabik wengi View attachment 1948315View attachment 1948314
mtani umepagawa, tunaongelea msimu wa 2020/21. halooooo amkaaaKwenda kiwanjan haimaanishi kwamba ndo una mashabik wengi View attachment 1948315View attachment 1948314
Daah mtani umepagawa.! Tunaongelea mechi zinazosimamiwa na Bodi ya Ligi. Klabu bingwa kawatafte CAFSimba ndio iliyoingiza pesa nyingi msimu uliopita kwa Mkapa.
Ligi ya TPL yanga walituzidi Tsh, millioni 57 tu.
Hapo pesa za kiingilio cha mechi za Simba za Club Bingwa Afrika kuanzia hatua ya mtoano hadi makundi hadi robo fainali haijawekwa.
Hebu mtuwekee na hizo tuone nani kaingiza pesa nyingi kwa Mkapa msimu uliopita.
Hii ndio Simba.
Umepanik ....Simba ndio iliyoingiza pesa nyingi msimu uliopita kwa Mkapa.
Ligi ya TPL yanga walituzidi Tsh, millioni 57 tu.
Hapo pesa za kiingilio cha mechi za Simba za Club Bingwa Afrika kuanzia hatua ya mtoano hadi makundi hadi robo fainali haijawekwa.
Hebu mtuwekee na hizo tuone nani kaingiza pesa nyingi kwa Mkapa msimu uliopita.
Hii ndio Simba.
Aaahh...utavaambia nini hivi vitoto sana sana vitakutukana udhalilike,vikuchekeWatoto wa juzi wameaminishwa Simba ndio timu kubwa TZ, record zinawakataa wanakaza vichwa.
I wish utatuletea na ya 2020-2021...nakuaminia mkuu,nguvu mokoKwenda kiwanjan haimaanishi kwamba ndo una mashabik wengi View attachment 1948315View attachment 1948314
Ongeza na timu iliyokodisha ndege binafsi, jezi nzuri, kambi nzuri/Avic town,sajili nzuri moroko na yule kipa jina nimemsahau a.k.a mdaka mishale, kubwa zaidi semaji la ulimwengu haji manara tumemchukua,,Zione na uone utofauti ulivyo
View attachment 1948204
View attachment 1948235
View attachment 1948237
Hii ni bush logic, iwe iwavyo unaona Yanga wanafanya vizuri kimapato kuliko Simba.Hayo ni mapato, wala si idadi ya watazamaji. Kumbuka viingilio vinatofautiana kulingana na lengo la timu husika, Timu A inaweza ikaweka kiingilio cha chini sh. 3,000/= na timu B ikaweka sh. 5,000/=. Timu A wakiingia washabiki 1000 itapata sh. 3,000,000/= na timu B wakiingia mashabiki 700, itapata sh. 3,500,000/= Timu B itaonekana ina mapato mengi (sh. 3.5M) lakini imeingiza mashabiki wachache (700).
NB: Nimesema inategemeana na parameters nyingine
Kwaiyo ukiongoza kuchukua makombe ww ndio timu kubwa,so azam ni kubwa kuliko yanga kwa sababu anaongoza kuchukua mapinduzi,ata kama yanga itakua timu kubwa zipo sababu nyingine sio makomne tu au kuingiza mashabik maana mpra ni mchezo wa waz ukisema yanga anaongoza kwa kuchukua makombe lazma utaje makombe gan maana kuna makombe kazidwa na timu nyngne,pia ukisema yanga anaongoza kuingiza mashabil pia lazma utaje msimu gan maana kuna misimu anazidiwa na timu nyingine rud misimu miwili nyuma uone yanga aliongoza wap so sababu moja au mbil sio kigezo kusema timu fulan kubwa ,aston villa ina ad uefa lkn bado uwez kusema villa ni kubwa kuliko arsenal kwa sababu arsenal haina uefa cupWatoto wa juzi wameaminishwa Simba ndio timu kubwa TZ, record zinawakataa wanakaza vichwa.
Apa vzur tuweke takwimu sawa tuchukue misim ata mitatu au minne tujue nan anaongoza kwa ujumla sio kutumia msimu mmoja tu kuanza kujidaiHizi ni takwimu za ligi ya ndani... Haishangazi Yanga kuongoza kwa sababu mashabiki wao hawakuwa na mashindano mengine makubwa ambayo wangeweza kuishuhudia timu yao ikicheza, na ndio maana walikuwa wengi kwenye kuangalia timu yao kwenye mechi za ligi. Simba walikuwa na klabu bingwa na mashabiki walikuwa wanajaa sana kwenye mechi hizo hasa kutokana na matokeo ya Simba na aina ya wapinzani aliyokuwa anakutana nao kwa mkapa. Kwa msimu uliyopita mashabiki wengi kipaumbele chao ilikuwa mechi za kimataifa.
Ndio kombe lenu hilo vyuraMbna kemcho Fc Wamekuwa Wa 2 na Tambo zooote ziiiileee
Umeniwahi jibu konki hiliHayo ni mapato, wala si idadi ya watazamaji. Kumbuka viingilio vinatofautiana kulingana na lengo la timu husika, Timu A inaweza ikaweka kiingilio cha chini sh. 3,000/= na timu B ikaweka sh. 5,000/=. Timu A wakiingia washabiki 1000 itapata sh. 3,000,000/= na timu B wakiingia mashabiki 700, itapata sh. 3,500,000/= Timu B itaonekana ina mapato mengi (sh. 3.5M) lakini imeingiza mashabiki wachache (700).
NB: Nimesema inategemeana na parameters nyingine
Kwa takwimu, misimu mitatu ya nyuma ni Simba ndio anaongoza...Apa vzur tuweke takwimu sawa tuchukue misim ata mitatu au minne tujue nan anaongoza kwa ujumla sio kutumia msimu mmoja tu kuanza kujidai
Rudi kwenye kichwa cha mada ukielewe kwanza.Apa vzur tuweke takwimu sawa tuchukue misim ata mitatu au minne tujue nan anaongoza kwa ujumla sio kutumia msimu mmoja tu kuanza kujidai