Timu zilizoongoza kwa mapato ya mlangoni 2020/21 Vpl na Fdl hizi hapa

Simba ndio iliyoingiza pesa nyingi msimu uliopita kwa Mkapa.

Ligi ya TPL yanga walituzidi Tsh, millioni 57 tu.

Hapo pesa za kiingilio cha mechi za Simba za Club Bingwa Afrika kuanzia hatua ya mtoano hadi makundi hadi robo fainali haijawekwa.
Hebu mtuwekee na hizo tuone nani kaingiza pesa nyingi kwa Mkapa msimu uliopita.

Hii ndio Simba.
Daah mtani umepagawa.! Tunaongelea mechi zinazosimamiwa na Bodi ya Ligi. Klabu bingwa kawatafte CAF
 
Pia Yanga ni Timu ya kwanza Duniani kuingia mkataba mfupi zaidi, (siku 3) kwa ajili ya utalii. Visit Kilimanjaro na Zanzibar
 
Simba ndio iliyoingiza pesa nyingi msimu uliopita kwa Mkapa.

Ligi ya TPL yanga walituzidi Tsh, millioni 57 tu.

Hapo pesa za kiingilio cha mechi za Simba za Club Bingwa Afrika kuanzia hatua ya mtoano hadi makundi hadi robo fainali haijawekwa.
Hebu mtuwekee na hizo tuone nani kaingiza pesa nyingi kwa Mkapa msimu uliopita.

Hii ndio Simba.
Umepanik ....
 
Huenda Yanga walifanikiwa kuingiza kiasi hicho kwasababu walikuwa na mashindano ya VPL pekee tofauti na Simba ambayo ilikuwa na mashindano ya kimataifa. Hapo lazima mashabiki wengi wataenda kuangalia mechi za kimataifa

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Mechi za Ligi za Simba, Yanga walikuwa wanakuja wachache sana.
Mechi za Yanga, Simba walikuwa wanaingia wengi tu.
Hii pia inaweza kuwa sababu mojawapo.
 
Hayo ni mapato, wala si idadi ya watazamaji. Kumbuka viingilio vinatofautiana kulingana na lengo la timu husika, Timu A inaweza ikaweka kiingilio cha chini sh. 3,000/= na timu B ikaweka sh. 5,000/=. Timu A wakiingia washabiki 1000 itapata sh. 3,000,000/= na timu B wakiingia mashabiki 700, itapata sh. 3,500,000/= Timu B itaonekana ina mapato mengi (sh. 3.5M) lakini imeingiza mashabiki wachache (700).

NB: Nimesema inategemeana na parameters nyingine
Hii ni bush logic, iwe iwavyo unaona Yanga wanafanya vizuri kimapato kuliko Simba.
 
Na data hizi zimetolewa Simba ikiwa na msimu bora huku Yanga wakiwa na msimu wa kawaida, msimu ukiwa mzuri mashabiki wa Yanga huwa hawakosi mechi. Nashawishika kuamini mashabiki wa Yanga ni wengi zaidi ya mara mbili ya mashabiki wa Simba.
 
Hizi ni takwimu za ligi ya ndani... Haishangazi Yanga kuongoza kwa sababu mashabiki wao hawakuwa na mashindano mengine makubwa ambayo wangeweza kuishuhudia timu yao ikicheza, na ndio maana walikuwa wengi kwenye kuangalia timu yao kwenye mechi za ligi. Simba walikuwa na klabu bingwa na mashabiki walikuwa wanajaa sana kwenye mechi hizo hasa kutokana na matokeo ya Simba na aina ya wapinzani aliyokuwa anakutana nao kwa mkapa. Kwa msimu uliyopita mashabiki wengi kipaumbele chao ilikuwa mechi za kimataifa.
 
Uwanja wa Sokoine upo top three katika kila kitu hapo,na timu za Mbeya zipo top ten hapo lakini cha ajabu serikali inaenda kujenga kiwanja Lindi na Chato inaacha Mbeya.
Mpira wa nchi hii itabaki Simba na Yanga tu.
Hatutakuja kuendelea.
 
Ili suhala limekua kubwa kama vile ndio limeanza mwaka huu ,kwel watanzania watu wa matukio,simba kaongoza karbu misimu miwil nyuma mwaka huu kuongoza yanga imekua ishu kubwa wakat ni jambo la kawaida data kubadilika kutokana na sababu mbali mbali
 
Watoto wa juzi wameaminishwa Simba ndio timu kubwa TZ, record zinawakataa wanakaza vichwa.
Kwaiyo ukiongoza kuchukua makombe ww ndio timu kubwa,so azam ni kubwa kuliko yanga kwa sababu anaongoza kuchukua mapinduzi,ata kama yanga itakua timu kubwa zipo sababu nyingine sio makomne tu au kuingiza mashabik maana mpra ni mchezo wa waz ukisema yanga anaongoza kwa kuchukua makombe lazma utaje makombe gan maana kuna makombe kazidwa na timu nyngne,pia ukisema yanga anaongoza kuingiza mashabil pia lazma utaje msimu gan maana kuna misimu anazidiwa na timu nyingine rud misimu miwili nyuma uone yanga aliongoza wap so sababu moja au mbil sio kigezo kusema timu fulan kubwa ,aston villa ina ad uefa lkn bado uwez kusema villa ni kubwa kuliko arsenal kwa sababu arsenal haina uefa cup
 
Hizi ni takwimu za ligi ya ndani... Haishangazi Yanga kuongoza kwa sababu mashabiki wao hawakuwa na mashindano mengine makubwa ambayo wangeweza kuishuhudia timu yao ikicheza, na ndio maana walikuwa wengi kwenye kuangalia timu yao kwenye mechi za ligi. Simba walikuwa na klabu bingwa na mashabiki walikuwa wanajaa sana kwenye mechi hizo hasa kutokana na matokeo ya Simba na aina ya wapinzani aliyokuwa anakutana nao kwa mkapa. Kwa msimu uliyopita mashabiki wengi kipaumbele chao ilikuwa mechi za kimataifa.
Apa vzur tuweke takwimu sawa tuchukue misim ata mitatu au minne tujue nan anaongoza kwa ujumla sio kutumia msimu mmoja tu kuanza kujidai
 
Hayo ni mapato, wala si idadi ya watazamaji. Kumbuka viingilio vinatofautiana kulingana na lengo la timu husika, Timu A inaweza ikaweka kiingilio cha chini sh. 3,000/= na timu B ikaweka sh. 5,000/=. Timu A wakiingia washabiki 1000 itapata sh. 3,000,000/= na timu B wakiingia mashabiki 700, itapata sh. 3,500,000/= Timu B itaonekana ina mapato mengi (sh. 3.5M) lakini imeingiza mashabiki wachache (700).

NB: Nimesema inategemeana na parameters nyingine
Umeniwahi jibu konki hili
 
Apa vzur tuweke takwimu sawa tuchukue misim ata mitatu au minne tujue nan anaongoza kwa ujumla sio kutumia msimu mmoja tu kuanza kujidai
Kwa takwimu, misimu mitatu ya nyuma ni Simba ndio anaongoza...
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom