Timu zilizoongoza kwa mapato ya mlangoni 2020/21 Vpl na Fdl hizi hapa

Apa vzur tuweke takwimu sawa tuchukue misim ata mitatu au minne tujue nan anaongoza kwa ujumla sio kutumia msimu mmoja tu kuanza kujidai
Nyie si mnasemaga hamtaki mambo ya historia mnataka current issues??
leo utamu wa historia umetoka wap??
 
Hivi mwezi huu nyie Makolo FC wa humu jf mmeandika maandiko mangapi mabaya dhidi ya Yanga halafu unasema wanayanga ndo wanashindana...sio nyie ndo mnashindana na hii timu kubwa?

Sasa kama hapa na hizi takwimu unataka kubisha pia...NI UZUNI KWAKWELI
Paukwaaas,pakawaaa kuelekea dabi ya kariakoo.
 
Haji alichofanya ni kuwatukana hao utopolo wengi wakawa hawaingii mechi za Simba,ila Simba wanaingia sana mechi za Yanga.

Hata huku mtaani tunaona siku ya mechi ya Simba washabiki wachache sana wa Yanga wanakuwepo,ila siku yanga anacheza Wapenzi wa Simba wanakuwepo kwa wingi ule ule.
Kuna mmiliki wa bar mmoja aliwahi kusema mbona mechi za yanga mapato ya vinywaji yanakuwa makubwa kuliko mechi za Simba!Alivyofatilia akagundua siku za mechi ya Simba washabiki wa Yanga huja kwa uchache sana.

Mashabiki wa Simba wanapenda mpira,mashabiki wa yanga wanapenda timu
Nyinyi si mlikua mnakazania Haji ndo alikua anaita mashabiki wa Simba uwanjani!.
haya sasa majibu ndo hayo apo Yanga mnaongoza kwa mapato ya mlangoni.Haji akuwa na nguvu ya kuita mashabiki Simba.
 
Nyie si mnasemaga hamtaki mambo ya historia mnataka current issues??
leo utamu wa historia umetoka wap??
Kuweka kumbukumbuka sawa si dhambi tungalie kutoka mwaka 2017 ad leo nan aliongoza kuingiza mashabik na nan aliongoza kuingiza mapato ,maana kuna wengine wanajaji kama vile ili suhala ni geni kumbe ni data tu zinabadilika kwa msimu,lkn tukirud ktk ukwel hiz data zimepikwa kuna timu zipo mikoan simba na yanga zinaenda cha ajabu zinakosa ata watu elf 20 ebu niambie mechi gan ambayo simba au yanga anaenda uko alaf mashabik hawafik ata elf 10
 
Sitaki kuamini hii taarifa na kama ni kweli basi kuna upigaji mzito usio na chembe ya aibu. Timu yangu ya simba sitaki kabisa kuamini hizi figure. TFf oneni aibu tokeni mkanushe hizi habari haraka
 
Back
Top Bottom