Yaani unataka wanachama wakubaliane kwanza jinsi watakavyokuwa wanagawana mapato? Nchi hii ngumu sana 😁😁😁Bila kuwa Na makubaliano kuhusu namna ya kugawana mapato yatakayotokana Na uwanja uliojengwa Na wanachama Na mashabiki kwa michango yao ya mifukoni itakuja kutokea vurugu kubwa sana huko mbele ya safari...
Watu walikuwa wanaendesha timu kwa makapu sembuse kiwanja
MTU kwenye maono anajiandaa mapema Na yajayo. Watu wasitumie mihemko kujenga uwanja (kitega uchumi) kwa hela za watu mifukoni bila kuwa Na andiko kuhusu uwanja, matumizi, mapato Na matumizi Na ziada itakavyogawanywa. Je, waliochanga watakuwa Na haki gani?Yaani unataka wanachama wakubaliane kwanza jinsi watakavyokuwa wanagawana mapato? Nchi hii ngumu sana 😁😁😁
Kama viwanja kibao vimejengwa kwa nguvu ya wananchi lakini vipo chini ya umiliki wa CCM na maisha yanaendelea, itakuwa kwa umiliki wa klabu yao?MTU kwenye maono anajiandaa mapema Na yajayo. Watu wasitumie mihemko kujenga uwanja (kitega uchumi) kwa hela za watu mifukoni bila kuwa Na andiko kuhusu uwanja, matumizi, mapato Na matumizi Na ziada itakavyogawanywa. Je, waliochanga watakuwa Na haki gani?
Hilo unalosema linawezekana kwenye kuchangia harusi Na perishables, sio kwenye asset kama uwanja ambao utaingiza pesa. Unataka kusema wanachama na wachangiaji watakubali mapato yooooote ya uwanja wao yaende kwa Barbara Na familia yake bila kuhoji?Kiongozi mchango wa hiari siku zote huwa hauna return, mtu anachanga alichonacho kama ameguswa, sio lazima.
Hakuna atakayekushikia panga uchangie.
Lazima kuwe Na hisa, ili wachangiaji wanunue hisa ambazo zitakuja kurahisisha kwenye gawio kama faida itakujakuwepo huko mbele ya safari, vinginevyo uwanja utakujatiwa kiberiti Na waliochanga Leo.Uo mchakato lazima utakuwepo mambo yatawekwa wazi.
Zile ni fedha ambazo zililipa mishahara, nauli, chakula Na posho (utilities) Na kwisaha kabisa. Hii ni tofauti Na kujenga uwanja utakaodumu miaka 100 ukiingiza pesa.Ndio tumuulize mleta mada kipindi kile Young Africans wanatembeza bakuli mbona watu hawakuhoji kuhusu michango na mgawanyo wa faida, au Uwanja wa Simba unataka kuwatoa roho kwa kuwa hata ninyi hamjapta akili ya kujenga...
Iyo haina tofauti Na upatu, deci. Chamlevi kuliwa Na mgema. Huu sio mchango wa kusoma hitima au communion ya mtoto, hiki ni kitega uchumi, wacheni uzuzu Na mihemko.Ndio tumuulize mleta mada kipindi kile Young Africans wanatembeza bakuli mbona watu hawakuhoji kuhusu michango na mgawanyo wa faida, au Uwanja wa Simba unataka kuwatoa roho kwa kuwa hata ninyi hamjapta akili ya kujenga!?
Unataka Serikali iingilie kati fedha mtu anazotoa kwa mapenzi yake binafsi!?
Si umeona hapo, siku ccm ikishindwa uchaguzi viwanja vyooote hivi vitarudi kwa wananchi, maana vilijengwa Na wananchi. Lakini kama ccm itajenga kiwanja kipya sasa hicho kitakuwa ni cha ccm hata kama kitashindwa uchaguziKama viwanja kibao vimejengwa kwa nguvu ya wananchi lakini vipo chini ya umiliki wa CCM na maisha yanaendelea, itakuwa kwa umiliki wa klabu yao?
Haya sasa, kwa mfano huo, ikitokea siku kama hiyo kiwanja cha klabu kitatoka kwa nani kwenda kwa nani?Si umeona hapo, siku ccm ikishindwa uchaguzi viwanja vyooote hivi vitarudi kwa wananchi, maana vilijengwa Na wananchi. Lakini kama ccm itajenga kiwanja kipya sasa hicho kitakuwa ni cha ccm hata kama kitashindwa uchaguzi
Zile ni fedha ambazo zililipa mishahara, nauli, chakula Na posho (utilities) Na kwisaha kabisa. Hii ni tofauti Na kujenga uwanja utakaodumu miaka 100 ukiingiza pesa. Haiwezekani ni change Mimi lakini pesa ule we we? Je, kama timu ikifa uwanja unabaki kwa nani? Je kama uwanja utafanya faida pesa zitamnufaisha nani Na nani?
Shida hapo sio kiwanja, bali hela za kiwanja nilichochanga kujenga anakula nani? Maguli Na Bashiru walipowanyang'anya watu ulaji wa mali za ccm si uliona mwenyewe malalamiko?Haya sasa, kwa mfano huo, ikitokea siku kama hiyo kiwanja cha klabu kitatoka kwa nani kwenda kwa nani?