Timu ya kampeni ya Dr. Magufuli yasambaratika

Timu ya kampeni ya Dr. Magufuli yasambaratika

Ndoto za mchana mbaya hasa hasa ukiwa umekunywa pombe za ndizi ukichnganya na viloba ndio maana jina lako mwaipungu!!!
 
Lowasa atawafilisi,wanapenda kuiga kila anachokifanya lowasa,mara mabadiliko,mara m4c,kwenye mafuriko ndo balaa zaidi wanakodi kila gari wanaloliona ili kusomba watu toka miji ya jirani,mfano waliokuwepo bukoba walikuwa wenyeji wa ngara,chato,bmlo,muleba nk,jana geita wametoa watu ngara,chato,nyang'ware etc
 
Labda m-k wako ndo umesambaratika.Umeambiwa na nani? je una uhakika? au unalopoka tu ili nawe uonekane unajua? nakupa poleeee...... usilolijua ni km ucku wa giza. so kama kitu hukijui tc better ukakaa kimya tuuu...Mzee wa kujinyea anaandaliwa nafasi kule gereza la segerea.
 
kuna taarifa kwamba bil 1.7 ya kampeni za magufuri imetoweka .
 
Ndoto za mchana mbaya hasa hasa ukiwa umekunywa pombe za ndizi ukichnganya na viloba ndio maana jina lako mwaipungu!!!

hutaki kukubali tu. hata kwa macho tu kwani umeona kile kikundi cha watu 32 wamepotelea wapi. namuona makufuli peke yake tu jukwaani haa
mkewe kamsaliti. pyee
 
....yasemwayo yanaonekana hata kwa macho ya nyama...
 
Kilio cha watanzania kinawatafuna na kitawatafuna ccm wote mpaka watakapoingizwa makaburini mwao.
 
mi hua sidharau taarifa kama hz,hua naziprint na kuzihifadhi kwenye mafile yangu for future
 
Timu ya ccm ipo imara sana NA inafanya kazi vizuri kuliko maelezo hata tafiti zinaonyesha welldone kinana
 
Watanzania msisahau Agenda yetu kuu, ni KATIBA YA WANANCHI. Chagueni Lowassa ili katiba pendekezwa ipotelee mbali kabisa.
 
Its a cheap story at last.how can magufuli be appointed a prime minister while he is not/he cannot be an elected MEMBER OF PARLIAMENT?
 
Labda m-k wako ndo umesambaratika.Umeambiwa na nani? je una uhakika? au unalopoka tu ili nawe uonekane unajua? nakupa poleeee...... usilolijua ni km ucku wa giza. so kama kitu hukijui tc better ukakaa kimya tuuu...Mzee wa kujinyea anaandaliwa nafasi kule gereza la segerea.

Tupa tupa ni ccm kada Wa chama isipokuwa yeye ni mrengo Wa kati..sisi ukawa tunamtegemea hapa kama chanzo cha huakika kutoka Lumumba jikoni..usimtusi sisi tunamheshimu.
 
Back
Top Bottom