luvcyna
JF-Expert Member
- Feb 24, 2009
- 1,848
- 1,940
Bado nawashauri wana UKAWA kuna haja ya kuihoji tume watadhibiti vip upigaji kura zaidi ya mara moja kwenye vituo viwili tofauti hasa ukizingatia kura ya Uraisi inapigwa kwenye kituo chochote na matokeo kutangazwa hapo hapo kituoni. Muda wa ku reconcile waliopiga mara mbili am sure hautakuwepo