Timu ya kampeni ya Dr. Magufuli yasambaratika

Sishabikii haramu,ni mpumbavu tu hatajua nini ninachkieleza hapa.Haijalishi humpendi au unamchukia mtu kwa sababu zako binafsi,lakini bado kuna UTU na UBINADAMU.Kuna wengine hata shetani atatukana siku ya mwisho kwamba yeye hakututuma,basi tusifike huko.

Usilolijua ni kama usiku wa Kiza.Nani alijua yule kijana Katibu wa CCM wilaya ya Ilala angekufa juzi??Mbona bado kijana na afya tele??Kwanini asiwe huyu tunayemtukana majukwaani na mitandaoni???

Jamani UTU na UBINADAMU,UHAI na UZIMA atoaye ni aliyetuumba.

Leo akija akisema ajidhaniaye msafi na atupe mawe kumponda Lowassa hakika kuna watu tutarudi nyuma kwa kasi ya ajabu.

Tujufunze haya yaliyotokea,wote waliowatukana watu kwa umri na udhaifu wao leo hawapo duniani au hali zao ni Mbaya zaidi kuliko za waliyemchora na kumdhihaki,Mama Celina Kombani,John Komba,huyu Katibu wa CCM wilaya ya Ilala Charles,yule mwigizaji wa ze-Comedy akak Vengu tujiulize kwanini iwe hivyo???

Kuna somo linatutaka tulifuate,Mungu ndiye muweza na anayemjua kila mmoja wake usafi na uchafu wake.Yawezekana UCHAFU wa Lowassa ni mdogo sana kulinganisha na UCHAFU wa wengine.

Ninapenda UTU,HESHIMA,na UBINADAMU maana hivi vyote vyatoka kwa aliyetuumba

notice kama ya baba mwenye nyumba!
 
Hivi mnapoandikaga habari kama hizi huwa mpo chooni au geto la kunywea pombe ya moshi na viroba!?

hivi joti yuko hapa .....kofia hoyee ....kifimbo hoyee huyu nae alikuwa wapi wakati anazungumza si jangwani pale au alikuwa chooni
 
huo ndio ukweli,
kwanini tunaichagua ccm pamoja na hayo ni kuwa chama hiki mkutano wake mkuu ni imara kuliko mtu maarufu yeyote hata mwalimu nyerere alikuwa na kura moja tu. na hakuwa na nafasi ya kumtengeneza raisi nyumbani kwake!
rejea! chama chako cha chadema kinawatu wawili tu wenye nguvu kuliko wote, mtei na mkwewe. walimfukuza zitto, slaa na wakamuweka lowasa. bahati mbaya elimu zao na uwezo wao kisiasa ni mdogo na wapo ktk chama kisichojua na kisichoweza kusimamia misingi ya usawa na demokrasia!
nadhani jifikirie upya, kama unayowaza ni sahihi na yanatoka moyoni, fanyia utafiti mpya chama chako labda kuna kitu utaona. ila hili ni kwa wale wote wenye mioyo safi, kama ndio mabadiliko kwa maslahi ya mtu mmoja poa!

Naamini hata shule za kata walifundisha umuhimu wa punctuation. Ningekushauri ufikirie kwanza kabla ya kuanza kutumia keyboard yako. Ulichoandika hakieleweki when I try to analyze it. Sorry mum.
 
Nimeambiwa kuwa ile ya kampeni ya CCM iliyoundwa kwa kumsaidia Dr. Magufuli na Mama Samia imesambaratika jana usiku baada ya kikao cha kimkakati. Nimearifiwa na mmoja wa wajumbe wa timu hiyo kuwa kusambaratika kwa timu hiyo kunatokana na sababu mbalimbali. Wapo wajumbe waliosusa baada ya kuona wananchi hawaelewi somo la CCM na kuielewa Ilani. Wananchi wamekuwa hawaelewi wanachoambiwa na sasa wajumbe wanaishiwa cha kusema.

Wapo wajumbe waliosusa kwakuwa wanatuhumiana, na hata na Dr. Magufuli mwenyewe, kuwa ni popo wa kisiasa. Wanaunga mkono harakati za wapinzani kwa kificho na kumharibia Dr. Magufuli majukwaani kwa kutamka maneno ya kukwaza na kukera yanayochochea hasira za wananchi dhidi ya wagombea wa CCM wa ngazi za Urais, Ubunge na Udiwani.

Wapo wajumbe waliosusa kutokana na kutotimiziwa matakwa yao hasa ya malipo kwa kila siku wanayoifanyia kazi. Wajumbe hao wamesema kuwa hawana muda wa kusubiri kulipwa baadaye kwakuwa uchaguzi ni bahati nasibu na lolote laweza kutokea. Wanasisitiza kulipwa marupurupu yao sasa kwa mujibu wa makubaliano ya kichama na kutoahidiwa kulipwa baada ya uchaguzi.

Wapo wajumbe waliosusa kwakuwa hawapewi uzito na umaarufu kama ilivyotarajiwa. Wanamlaumu Dr. Magufuli na viongozi waandamizi chamani, kwa mfano, kumuamini sana Abdallah Bulembo ambaye hana hadhi kichama, kisera na kihela kupewa nafasi ya kutawala majukwaa kama afanyavyo sasa. Wanalalama kuwa watu maarufu wamewekwa kando na sasa wanaanza kuota utando.

Sasa timu imesambaratika. Dr. Magufuli yuko njiapanda kikampeni. Itambidi kupambana kiume ili kuendelea kujieleza mbele ya wananchi. Apambane kivyake sasa na watakaobaki naye!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Mzee tumekisikia. SASA yale mapesa tuliombiwa walitengwa kwa ajili ya kampeni yameisha?
 
Mzee Tupatupa unahabari nyingi sana wewe hebu tueleze kuna habari kwamba hali ni mbaya sana Majimboni kwa kina Mnyika, Lisu, Heche, Msigwa, Mbatia, Lembeli ndiyo sababu Makamanda hao hawashiriki kabisa kampeni za Lowasa mbali na Majimbo yao.

Pia kuna habari chini ya Capet kwamba kuna Makamanda hawakubaliani na ujio wa Lowasa hivyo wamesusa, zaidi inawachanganya jinsi Pandikizi Sumaye mpaka leo hataki kujiunga na mojawapo ya Vyama vinavyounda Ukawa hii maana yake nini ktk Siasa za kilimwengu ilishatokea popote kituko kama cha Sumaye?
 
Yale ambayo lowasa alitumia kuinunua chadema na watu wake ?
Hoja zimeisha kabisa. Ukishabikia lichama linaloenda kujifia lenyewe ni shidaaa. Toroka uje Maccm mwaka huu tena!? Hapana sema hapana kwa masilahi mapana ya Taifa letu. Tumewavumilia sana kwa madudu yao miaka yote, sasa tuseme basiiiiii. Chagua Ukawa chagua Lowassa.
 
Mbona hilo liko wazi. Kampeni za magufuri ni tofauti na utamaduni wa ccm, yeye anailalamikia serikali iliyopo madarakani kwa kutotimiza wajibu wake na kuahidi wananchi 'mahakama ya mafisadi'. wanaoambatana naye wanajiuliza hao mafisadi ni nani kama si wao na rais wao, swali gumu zaidi ni hiyo ahadi ya mahakama anaitoa kifungu kipi cha ilani yao na katiba.

Zaidi msemo wa Tanzania ya magufuri unawachanganya sana...hawamwelewi....na mbaya zaidi kushindwa kumnadi Chenge ni mojapo ya tatizo la kampeni hizo.....ukweli hawafiki mbali....

Mkanganyiko huo ulishatabiliwa na lazime utimie.......

CCM wako kivingine katika Kampeni mwaka huu wanaangalia nini wananchi wanahitaji kwa sasa, Kinana anashambulia Chama chake, Magufuli anashambulia Serikali yake huu ni Mkakati wa hali ya juu Sana ni ngumu kuelewa.

Magufuli anaposema ntaunda Mahakama ya Mafisadi hatoi Kichwani kwake iko kwenye llani ya CCM
 
Magufuri akiwa dodoma nilimsikia akisema anapambana na wapinzani, wapinzani hao wapo ndani ya chama chake ccm. Hivyo akasema kikulacho kinguoni mwako, anatumia nguvu nying kupambana na wapinzan waliondani ya chama na nguvu ndogo kupambana na vyama vingne. So magufuri naamini yeye peke yake anaweza, wananchi wanampenda yeye binafsi na wala sio chama chake. Aliposema kikulacho kinguoni mwako watu walishangilia sana tena kwa mda mrefu, magufuri amebebeshwa mzigo mzito sana namfananisha na YESU ktk kipindi hiki. Wamwachie aendelee peke yake na wasanii wake hao wengne wanamharibia tu!
 
VUTA-NKUVUTE kuna newpost umeweka jioni ya leo inamhusu Magufuli imeunganishwa na thread ipi?

Nimeambiwa kuwa ile ya kampeni ya CCM iliyoundwa kwa kumsaidia Dr. Magufuli na Mama Samia imesambaratika jana usiku baada ya kikao cha kimkakati. Nimearifiwa na mmoja wa wajumbe wa timu hiyo kuwa kusambaratika kwa timu hiyo kunatokana na sababu mbalimbali. Wapo wajumbe waliosusa baada ya kuona wananchi hawaelewi somo la CCM na kuielewa Ilani. Wananchi wamekuwa hawaelewi wanachoambiwa na sasa wajumbe wanaishiwa cha kusema.

Wapo wajumbe waliosusa kwakuwa wanatuhumiana, na hata na Dr. Magufuli mwenyewe, kuwa ni popo wa kisiasa. Wanaunga mkono harakati za wapinzani kwa kificho na kumharibia Dr. Magufuli majukwaani kwa kutamka maneno ya kukwaza na kukera yanayochochea hasira za wananchi dhidi ya wagombea wa CCM wa ngazi za Urais, Ubunge na Udiwani.

Wapo wajumbe waliosusa kutokana na kutotimiziwa matakwa yao hasa ya malipo kwa kila siku wanayoifanyia kazi. Wajumbe hao wamesema kuwa hawana muda wa kusubiri kulipwa baadaye kwakuwa uchaguzi ni bahati nasibu na lolote laweza kutokea. Wanasisitiza kulipwa marupurupu yao sasa kwa mujibu wa makubaliano ya kichama na kutoahidiwa kulipwa baada ya uchaguzi.

Wapo wajumbe waliosusa kwakuwa hawapewi uzito na umaarufu kama ilivyotarajiwa. Wanamlaumu Dr. Magufuli na viongozi waandamizi chamani, kwa mfano, kumuamini sana Abdallah Bulembo ambaye hana hadhi kichama, kisera na kihela kupewa nafasi ya kutawala majukwaa kama afanyavyo sasa. Wanalalama kuwa watu maarufu wamewekwa kando na sasa wanaanza kuota utando.

Sasa timu imesambaratika. Dr. Magufuli yuko njiapanda kikampeni. Itambidi kupambana kiume ili kuendelea kujieleza mbele ya wananchi. Apambane kivyake sasa na watakaobaki naye!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Uligusa sigara kali kabla ya kuandika nini? maana katika majadiliano hoja huwa mbalimbali ili kupima mafanikio ya chama(CCM) kisha inafanyika final resolution kisha watu wanaenda kufanya kazi.Huyo mmbea aliyekupa info feki au kama umetunga peleka kwenye mahaba huku ni KAZI TU! mipasho kwa malo*
 
Back
Top Bottom