Timu ya kampeni ya Dr. Magufuli yasambaratika

Mbona hilo liko wazi. Kampeni za magufuri ni tofauti na utamaduni wa ccm, yeye anailalamikia serikali iliyopo madarakani kwa kutotimiza wajibu wake na kuahidi wananchi 'mahakama ya mafisadi'. wanaoambatana naye wanajiuliza hao mafisadi ni nani kama si wao na rais wao, swali gumu zaidi ni hiyo ahadi ya mahakama anaitoa kifungu kipi cha ilani yao na katiba.

Zaidi msemo wa Tanzania ya magufuri unawachanganya sana...hawamwelewi....na mbaya zaidi kushindwa kumnadi Chenge ni mojapo ya tatizo la kampeni hizo.....ukweli hawafiki mbali....

Mkanganyiko huo ulishatabiliwa na lazime utimie.......

Kuna Clip Ilikua inarushwa Magufuli Aki Sema Nitaunda Maakama ya Mafisadi ili Majizi ya Fungwe Haraka. siku izi Kale Kasehemu wameka Edit.

Nikacheka Sana Wakubwa Wachama Wamesha Mwambia Dogo. Tumekuweka Sasa unataka kuchokonoa Mirija Yetu. Teh teh teh.
 
Nimeambiwa kuwa ile ya kampeni ya CCM iliyoundwa kwa kumsaidia Dr. Magufuli na Mama Samia imesambaratika jana usiku baada ya kikao cha kimkakati. Nimearifiwa na mmoja wa wajumbe wa timu hiyo kuwa kusambaratika kwa timu hiyo kunatokana na sababu mbalimbali. Wapo wajumbe waliosusa baada ya kuona wananchi hawaelewi somo la CCM na kuielewa Ilani. Wananchi wamekuwa hawaelewi wanachoambiwa na sasa wajumbe wanaishiwa cha kusema.

Wapo wajumbe waliosusa kwakuwa wanatuhumiana, na hata na Dr. Magufuli mwenyewe, kuwa ni popo wa kisiasa. Wanaunga mkono harakati za wapinzani kwa kificho na kumharibia Dr. Magufuli majukwaani kwa kutamka maneno ya kukwaza na kukera yanayochochea hasira za wananchi dhidi ya wagombea wa CCM wa ngazi za Urais, Ubunge na Udiwani.

Wapo wajumbe waliosusa kutokana na kutotimiziwa matakwa yao hasa ya malipo kwa kila siku wanayoifanyia kazi. Wajumbe hao wamesema kuwa hawana muda wa kusubiri kulipwa baadaye kwakuwa uchaguzi ni bahati nasibu na lolote laweza kutokea. Wanasisitiza kulipwa marupurupu yao sasa kwa mujibu wa makubaliano ya kichama na kutoahidiwa kulipwa baada ya uchaguzi.

Wapo wajumbe waliosusa kwakuwa hawapewi uzito na umaarufu kama ilivyotarajiwa. Wanamlaumu Dr. Magufuli na viongozi waandamizi chamani, kwa mfano, kumuamini sana Abdallah Bulembo ambaye hana hadhi kichama, kisera na kihela kupewa nafasi ya kutawala majukwaa kama afanyavyo sasa. Wanalalama kuwa watu maarufu wamewekwa kando na sasa wanaanza kuota utando.

Sasa timu imesambaratika. Dr. Magufuli yuko njiapanda kikampeni. Itambidi kupambana kiume ili kuendelea kujieleza mbele ya wananchi. Apambane kivyake sasa na watakaobaki naye!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Umekuwa kirusi cha mzee wa Parkison's
 
Hivi wanaoenda kwenye mikutano ya ccm huwa lazma wavae sare???

Hapo ndio napata picha ya wananchi na wanaosombwa kwenye magar lazma angalau utupie sare
 
Hawa watu walikuwa wana subiri muda muafaka wa kutoa ya moyoni. Kumbuka kuna ile timu ya Lowassa ya watu 30 ambayo alisema ange hama nayo.Timu ile ipo ndani ya CCM na sasa inaanza kufanya kazi na kutoa hukumu kwa Magufuli. Namshauri ndugu yangu Magufuli aanze kutafuta Uraia hata hapo jirani Burundi ili akafiche aibu atakayo kwenda kuipata soon. Chato na Burundi sio mbali sana anaweza kuingia na kutoka usiku kwa usiku.
 
Mungu ameyachanganya lugha ili kuwaepusha watanzania na udanganyifu wao. Yasambaratike tu maana tumechoshwa na ubabaishaji wao.
 
Nimeambiwa kuwa ile ya kampeni ya CCM iliyoundwa kwa kumsaidia Dr. Magufuli na Mama Samia imesambaratika jana usiku baada ya kikao cha kimkakati. Nimearifiwa na mmoja wa wajumbe wa timu hiyo kuwa kusambaratika kwa timu hiyo kunatokana na sababu mbalimbali. Wapo wajumbe waliosusa baada ya kuona wananchi hawaelewi somo la CCM na kuielewa Ilani. Wananchi wamekuwa hawaelewi wanachoambiwa na sasa wajumbe wanaishiwa cha kusema.

Wapo wajumbe waliosusa kwakuwa wanatuhumiana, na hata na Dr. Magufuli mwenyewe, kuwa ni popo wa kisiasa. Wanaunga mkono harakati za wapinzani kwa kificho na kumharibia Dr. Magufuli majukwaani kwa kutamka maneno ya kukwaza na kukera yanayochochea hasira za wananchi dhidi ya wagombea wa CCM wa ngazi za Urais, Ubunge na Udiwani.

Wapo wajumbe waliosusa kutokana na kutotimiziwa matakwa yao hasa ya malipo kwa kila siku wanayoifanyia kazi. Wajumbe hao wamesema kuwa hawana muda wa kusubiri kulipwa baadaye kwakuwa uchaguzi ni bahati nasibu na lolote laweza kutokea. Wanasisitiza kulipwa marupurupu yao sasa kwa mujibu wa makubaliano ya kichama na kutoahidiwa kulipwa baada ya uchaguzi.

Wapo wajumbe waliosusa kwakuwa hawapewi uzito na umaarufu kama ilivyotarajiwa. Wanamlaumu Dr. Magufuli na viongozi waandamizi chamani, kwa mfano, kumuamini sana Abdallah Bulembo ambaye hana hadhi kichama, kisera na kihela kupewa nafasi ya kutawala majukwaa kama afanyavyo sasa. Wanalalama kuwa watu maarufu wamewekwa kando na sasa wanaanza kuota utando.

Sasa timu imesambaratika. Dr. Magufuli yuko njiapanda kikampeni. Itambidi kupambana kiume ili kuendelea kujieleza mbele ya wananchi. Apambane kivyake sasa na watakaobaki naye!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Kazi ipo na bado.......
 
Dr. Makufuli asimlaumu mtu ajilaumu mwenyewe kwa kujiunga na M4C kiujanja.
 
Sasa ataandikaje Lowassa njiapanda wakati siyo kweli?

Kwani ni uongo kwamba hata Bro. Mako amelikimbia jukwaa? Yuko wapi Mwigulu? Kwani ni uongo kwamba Magufuli aliwalalamikia wenzake kwamba mchana wanajidai ccm lakini usiku wanahamia UKAWA?

VUTA-NKUVUTE, Mzee Tupa tupa mimi huwa namkubali!!

View attachment 290426

Mwaka huu atakimbia hata kimvuli chake.
 
Hahaha upinzan naona mmeishiwa na bado tare25 ad mtakimbia jamvin .angalia mktano wa geita sasa iv c mafuliko c sunami nizaid ya sunami .kamat tendaj ya kampen yote ipo na inafanya kaz so peleka hiyo hoja hko ukawaaaaaa

Nashindwa kuwaelewa, mara mseme mafuriko/tsunami etc sio kura, mara mseme mafuriko hayasaidii, sasa hapo ndio umeandika nini???
Japo unajua fika mbinu mnazozitumia ccm kujaza watu kwenye kampeni zenu.
 
Magufuli Leo analeta mauaji ya Rwanda katika kampeni huyo mtu si mzima amechanganyikiwa mfuatilieni vizuri anadai Tanzania ya magufuli,ndio nini haswa!?
Magufuli Mimi nitafanya hili na lile,Najiuliza ameshachaguliwa?Naona karibu atavua nguo tuthibitishe ni yeye.
 
Hapa kazi mdomoni tu# IMG-20150921-WA0072.jpg
 
Mtoa mada una bahati sana kwamba habari yako itakuwa ni ya kuwafurahisha wengi hapa jamvini hasa wale wanaopenda

kutukana. Kwa mfano ungeandika Lowassa njiapanda timu ya kampeni imesambaratika ungetukanwa ungeitwa mnafiki,

Magamba, msaliti, Yuda yaani kila jina. Ila angalau ubunifu wako mzuri hapa utapewa hongera na kuonekana mpenda

mabadiliko.
Kuandika habari sio kuandika tu. Lazima ujue unaandika kuhusu jambo gani na kwa wakati gani. Unatukanwa kutokana na kuandika udaku, uzushi, kashfa zisizo na ukweli na mambo kama hayo sehemu ya siasa ambayo watu wanatumia akili nyingi, muda na mali zao kujadili mambo ya maendeleo. Ni mbaya sana kufikiria kwamba wenye kupenda mageuzi ya kimaendeleo hapa Jamii Forum kazi yao ni kutukana. Kumbuka JF wengi ni Great thinkers na nina amini hivyo nikijua hata wewe ni mmoja wapo, Sasa unapoleta habari za mzaha mzaha na habari zisizo na tija yoyote katika kulisukuma kurudumu hili na maendeleo sioni ni kwanini usitukanwe. Tujifunze kukubaliana na hali tuliyo nayo japo wakati mwingine itikadi zetu zina tofautiana.
 
Back
Top Bottom