rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,121
- 25,831
Unazi wako unapitiliza sasa,Xabi Alonso ni mmoja ya wachezaji ambao ninawakubali sana since akiwa Liverpool hata misimu yake 2 akiwa Madrid my point ni kwamba kwa mwaka 2012 hakuperform vizuri ukilinganisha na Andrea Pirlo na hiki ndio watu wengi wamelalamika,Xabi Alonso hakuna kiungo yoyote england na nchi zingine za ulaya ukimuondoa Busquets kwa ukabaji anamfikia,yeye ndie alikuwa ufunguo wa liverpool,Pique acheni nyie we unadhani hadi Shakira kaoza mchezo?kamuacha mtoto wa rais,sasa Marcelo mnataka tumuweke Evra,si mseme tu muache unazi!
Doh! Am not biased kama wewe, kwenye ukweli will say it kama ulivyo, kwangu mimi football comes first, ushabiki wa team au mchezaji utafuata later.
Ila wewe ukweli ukipingana na mapenzi na ushabiki wako inakua taaabu,yatakutoka mapovu hapo kama una kifafa!
Now back to the bussiness, wale defenders watatu wa Juventus na Italia, Andrea Barzagli, Leonardo Bonucci na Giorgio Chiellini, nadhani walikua bora kuliko defending partnership yoyote ile ulaya for the past season na ndio maana walimaliza season unbeaten in the league na Italia ilifika fainali ya Euro, but where r they kwenye Fifa IX or Uefa IX?
Casillas naye yupo hapo kisiasa tu, kadrop sana amebaki kuwa mpika majungu tu,kama siku za mwisho za Raul
gutierez nilikuwa nakuheshimu sana lakini naona sasa unaweka unazi mbele zaidi,Busquet ni bora kuliko Iniesta kuliko Xavi? Katika tuzo za FIFA ukiacha Messi na CR7 wanaofatia ni either Xavi au Iniesta why sio Busquet? System ya uchezaji wa Barca most of the time wao ndio wanaposess mpira huo ubora wa kukaba unatokea wapi? Bosquet anapata advantage kucheza kwenye timu ambayo most of time inamiliki mpira kwa mtazamo wango Xabi Alonso ni mkali kuliko Sergio BusquetBusquets ni kiungo bora,ktk wachezaji wote Brca kwanza hapotezi mpira,Yaya ni mpira wa kiafrika ndio wa2 wanamsifia ila pasi anapoteza kama mnachunguza kiumakini,sio rahisi kwa timu ya ushindi kuchukua namba,angalia mechi Barca ikifungwa Busquets hakuwemo anajua kuposition namba yake.
Supersport wamekaa kibiashara zaid wao ndio wameipromoti sana EPL kama wangekuwa wanapromoti league nyingine tungeweza kuona wachezaji wazuri zaidi ukweli timu ya uefa imechaguliwa vizuri ya fifa sijui walitumia vigezo gani kuwaweka watu kama Dan Alves wakaacha watu kama Philip lahm
Vigezo na masharti havizingatiwi...........Hapa nchini pana wanaojiita wataalam wa soka kwa kuangalia sana DSTV (super sport) na kujifanya wako juu ya wataalamu wa soka wa FIFA kwa kuikosoa timu yake ya 2012 kwa kutochagua tu wachezaji wanaochezea EPL, sasa UEFA nayo imetoa kikosi chake cha 2012 ambamo hakuna mchezaji wa EPL!
Uefa Team of the Year 2012: Iker Casillas (Real Madrid), Sergio Ramos (Real Madrid), Gerard Pique (Barcelona), Thiago Silva (AC Milan/Paris St-Germain), Philipp Lahm (Bayern Munich), Andres Iniesta (Barcelona), Xavi Hernandez (Barcelona), Andrea Pirlo (Juventus), Mesut Ozil (Real Madrid), Lionel Messi (Barcelona), Cristiano Ronaldo (Real Madrid).
Punguzeni ukasuku, mtu timamu hutafuta ukweli ulipo.
Haina Sub?
Hapo kwa Pigue ningemuweka Chiellini
Heh huko pana soka juri wee acha tu, tatizo tulilonalo ni ukoloni wa LUGHA tu hapa na uwezo wa TV zetu kujitegemea.Sidhani kama kuna bara jingine lina soka la hali ya juu kama ulaya kwa sasa, labla kidogo South America nako ni ligi ya Brazil na Argentina tu.
Sawa ndugu, lakini ukifuatilia DSTV walikuwa na channel kama tatu hivi wakati wanaingia nchini na mpaka leo SS3 pawe na mechi England kati ya QPR na Swansea itaoneshwa hapo wakati labda Italia pana big match kati ya Juventus na Inter utaikuta SS7. Sasa mwenye cable, mathalani, atakuwekea hiyo SS3 na channel zingine haweki!!!!!!!! Hapo ndipo tunapoona DSTV wanaipromoti EPL kwa nguvu zote.Kwa hiyo ilitaka Dstv/supersport wafanye kazi kwa hasara?
EPL ndio ligi inayotazamwa na watu wengi Duniani hasa kutokana na kampeni za Skysports na kelele zao kwamba EPL ndio best league, so Dstv kama kampuni yoyote ile ya kibiashara itabroadcast program zenye audience wengi, hilo haliitaji mjadala!
Lakini haohao Supersport ambao wewe unataka kuleza mbwela zako hapa wanaonesha, Bundasliga, La Liga, Seria A, Uefa Champions League, Europa na kutokana na ukanda uliopo hadi Ligi ya Brazil inaoneshwa kwa nchi kama Mozambique na Angola.
Kama huoni ligi nyingine ni wewe tu na sio tatizo la Supersport au Dstv.
Watu wengine wana scotoma!
Siku moja jaribu kuangalia mechi mbili kwa wakati mmoja, channel moja ikionesha ligi ya England na nyingine ikionesha ligi ya Germany uone tofauti ya makelele.Supersport wamekaa kibiashara zaid wao ndio wameipromoti sana EPL kama wangekuwa wanapromoti league nyingine tungeweza kuona wachezaji wazuri zaidi ukweli timu ya uefa imechaguliwa vizuri ya fifa sijui walitumia vigezo gani kuwaweka watu kama Dan Alves wakaacha watu kama Philip lahm
Sawa ndugu, lakini ukifuatilia DSTV walikuwa na channel kama tatu hivi wakati wanaingia nchini na mpaka leo SS3 pawe na mechi England kati ya QPR na Swansea itaoneshwa hapo wakati labda Italia pana big match kati ya Juventus na Inter utaikuta SS7. Sasa mwenye cable, mathalani, atakuwekea hiyo SS3 na channel zingine haweki!!!!!!!! Hapo ndipo tunapoona DSTV wanaipromoti EPL kwa nguvu zote.
tatizo lenu mnaangalia wachezaji wanaokaa sana na mpira wengi wenu,lakini hamuoni umuhimu wa Busquets,ndio maana list ikipangwa hao kina Xavi au Iniesta hawamalizi au wanaanzia sub,Alonso rafu nyingi nae,Busquets ana control ya juu wengi wenu hamlitambui ebu cheki hapagutierez nilikuwa nakuheshimu sana lakini naona sasa unaweka unazi mbele zaidi,Busquet ni bora kuliko Iniesta kuliko Xavi? Katika tuzo za FIFA ukiacha Messi na CR7 wanaofatia ni either Xavi au Iniesta why sio Busquet? System ya uchezaji wa Barca most of the time wao ndio wanaposess mpira huo ubora wa kukaba unatokea wapi? Bosquet anapata advantage kucheza kwenye timu ambayo most of time inamiliki mpira kwa mtazamo wango Xabi Alonso ni mkali kuliko Sergio Busquet
hahahaha kwa msimu huu nakupa ya celtic ya scotland,kaka mimi nafuatilia hadi mazoezi nipo makini tafuta mkdand kama hauniaminitangu apate namba nitajie mechi ambazo Barca kapigwa hrf S. Busquets hakuwemo
au Matts Hummels wa Dortmund................ huyu dogo Pique anaishi maisha ya showbizz na last season hakuwepo kiwanjani for nearly a half a season na karudi ana matatizo na mwalimu wake..anaingiaje kwenye hizi timu hata sielewi! halafu si kwamba watu wanataka wachezaji wa premier league kama mnavyojiaminisha.kila mtu anauatazama mpira wa miguu kwa muono wake na hiyo ndio raha ya mchezo huu,controversy!binafsi sioni kama Marcelo alikuwa msimu mzuri kama ashley cole,au Alves mbele ya Lahm..........au Xavi mbele ya Pirlo! FIFA na UEFA kuna siasa pia wakuu....................those guyz hukosea pia.....remember Cannavaro na world cup ya 2006!?
sio unazi napitiliza ni ukweli halisi nazungumza na yanaonekana dhahiri na mafanikio yao mnayaona,Alonso mzuri sana ila ktk list ya Spain ikipangwa namba 1 nkabisa hakosi anaanzwa Busquets wengine wanafuatia hata Del Bosque alishasema hayo,si unazi kitu bora lazima usifie mimi sidati unazi wa waingereza na kukuza wachezaji wao hata matunda hatuyaoni,Busquets kaanza mdogo na mafanikio kibao kishapata kila kombe kabeba medani hadi ya makombe ya kuku huko sontipeder,linyola,sabadell,terrasa,arenys der mar nkUnazi wako unapitiliza sasa,Xabi Alonso ni mmoja ya wachezaji ambao ninawakubali sana since akiwa Liverpool hata misimu yake 2 akiwa Madrid my point ni kwamba kwa mwaka 2012 hakuperform vizuri ukilinganisha na Andrea Pirlo na hiki ndio watu wengi wamelalamika,
sijasema Evra anastahili na yeye kwa sasa kiwango kimeshuka tofauti ukilinganisha misimu 3 iliyopita kwa left back Philip Lahm,Jordi Alba na Ashley Cole walikuwa bora kuliko Marcelo ambaye mara nyingi alikuwa anachezeshwa winga wa kushoto huku Fabio Coentrao akicheza beki wa kushoto kuhusu Pique huyu hata ukiweka best defenders waliofanya vizuri kwa 2012 hawezi kuwepo (Chielini,Hummels,Kompany,Ramos).Alikuwa majeruhi na Pep alimpiga benchi sana akawa anamchezesha Mascherano
Busquets namba 1 hakuna ubishi wewe ndio uanze karibu uanachama Spainanza tena kuangalia mpira.
Busquets namba 1 hakuna ubishi wewe ndio uanze karibu uanachama Spain